Rais Samia ameanzisha Soko la TMX mauzo ya mazao yaongezeka kwa asilimia 300 imani ya wakulima imeongezeka
Chini ya Rais Samia Serikali imeimarisha udhibiti wa biashara ya mazao ya kilimo kwa kutumia mfumo rasmi wa masoko kupitia Tanzania Mercantile Exchange (TMX). Kupitia mfumo huu, wakulima...