uzi maalumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uzi maalum wa mashabiki wa Mbeya City FC

  2. C

    Uzi wa kupeana mbinu za kuondoa vitambi na kutengeneza mwili - Karibuni tupeane maarifa

    Wanajamvi, natumaini ni siku nyingine njema kwa kila mtu ambayo Mungu ameifanya. Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kuondoa vitambi, kutengeneza mwonekano bora wa mwili na kuimarisha afya. Naomba yeyote mwenye weledi katika haya achangie hapa ili kuwasaidia watu wanaohanganika na matatizo haya...
  3. Tujikumbushe mechi zetu za utotoni, timu tulizochezea na mafanikio tuliyoziletea

    Habari zenu ndugu zangu. Baada ya kuwajulia hali, ningepeenda niende moja kwa moja kwenye mada iliyonileta hapa. Bila shaka asilimia kubwa ya vijana tuliozaliwa na kukulia Dar es Salaam miaka ya 90, tuliwahi kucheza au kupitia michezo mbali mbali kama vile karate, ngumi, soka (mpira) na michezo...
  4. Uzi maalumu wa mbinu za kushinda kesi za kucheat(Me/ke)

    Habari ya mchana wana JF. Siwezi kusema sijawah kukamatwa kuwa na cheat, nimekamatwa mara kadhaa lakini sijawahi kukubali kuwa nakataa sijacheat. Mbinu yangu ni kukataa katu katu. Njoo tupeane mbinu za kizamani na kisasa za kujibu kesi za kucheat pale unapofumwa na mpenzi wako. Nb. Huu uzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…