Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Kinondoni, Anna Makete, maarufu 'Mama Makete' amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Hindu Mandali Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Mwananchi Katibu wa UWT Wilaya Kinondoni, Aziat Juma amesema kuwa taarifa za kifo chake walizipokea mchana...