uwazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 'No reform, no elections' ni sawa na kelele za chura kwenye maji ambazo hazimzuii mwenye kiu kunywa maji kwa uhuru, amani na uwazi

    Makelele na mayowe ya mitandaoni yaliyopambwa na dhana potofu ya no reform no elections, hayana faida wala athari zozote kwenye uhuru na haki za wananchi kukamilisha maandalizi ya mwisho ya kujiandikisha kupiga kura na hatimae kushiriki kikamilifu katika zoezi la uchaguzi mkuu wa kihistoria...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania yasisitiza Uwazi na Uhuru Uchaguzi Mkuu 2025

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameyahakikishia mataifa mbalimbali ulimwenguni kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, utafanyika kwa uhuru, uwazi na haki, kwa mujibu wa sheria mpya za uchaguzi za mwaka 2024. Akizungumza jijini Dar es Salaam...
  3. JamiiForums Tanzania Kesi ya CHADEMA kurushwa live ni hatua ya kihistoria ya uwazi na demokrasia

    Na Mwl. Alfred Maziku – Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuimarisha misingi ya utawala bora, kwa kuruhusu kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi kesi ya kiongozi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Chalamila: Suala la Padri Kitima litakuwa na uwazi lakini kwa kufuata miiko ya taaluma

    https://www.youtube.com/watch?v=glHXp1fBkdU Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila amewataka watanzania kuwa na imani na Jeshi la Polisi katika kipindi hiki wakifanya uchunguzi juu ya waliotekeleza shambulizi dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Dkt...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri mkuu: Serikali tutahakikisha uchaguzi unakuwa wa amani na utulivu, Tume huru ya uchaguzi wametuambia watausimamia kwa uhuru, haki na uwazi

    "2025 huu ni mwaka wa uchaguzi, sisi kama serikali, kama wadau wa uchaguzi, pindi tume huru ya uchaguzi watatoa ratiba tunatarajia nyie ndiyo mtalieleza taifa (Wanahabari) na sisi ushiriki wetu ni kuhakikisha kwamba yale yaliyo muhimu ya kuufanya uchaguzi huu kuwa wa usalama, na kila mmoja...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeto : INEC , ZEC Tume huru za Uchaguzi zenye uwazi na haki

    Mbeto : INEC , ZEC Tume huru za Uchaguzi zenye uwazi na haki Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeutaka Upinzani kutozibeza Tume za Uchaguzi , INEC na ZEC na kudai si huru wakati Chadema na ACT Wazalendo , vimekuwa vikiongeza idadi vya Viti vya Udiwani...
  7. K

    JamiiForums Tanzania TUWE NA UWAZI KWENYE KILA KITU TUNACHOFANYA KUELEKEA UCHAGUZI 2025

    Ninaomb a sana tuwe na uwazi katika kila jambo tunalolifanya kuelekea uchaguzi wa 2025. Tuige nchi ya jirani yetu ya Kenya ilivyo na uwazi kwenye masuala ya uchaguzi. Leo kule Kenya waombaji wote walioomba nafasi ya Mwenyekiti wa IEBC wanahojiwa mubashara (Live) kupitia luninga ya Citizen...
  8. M

    JamiiForums Tanzania review ya ukweli na uwazi au uongo

    napenda fahamu kweli changamoto zilikuwepo au mwandishi katoa taarifa sio sahihi
  9. JamiiForums Tanzania PSSSF yampa pole Mdau aliyelalamikia huduma yao, yatoa ufafanuzi na kusisitiza inazingatia Maadili, Uaminifu, Weledi na Uwazi

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com anayetambulika kwa jina la Mkumbwa Jr kulalamikia huduma ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) upande wa Dodoma kuwa siyo nzuri, mamlaka hiyo imetoa taarifa ya ufafanuzi. Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ PSSSF Dodoma tofautisheni...
  10. JamiiForums Tanzania Haki, Uwazi na Heshima ya Taifa; Jibu kwa Ado Shaibu

    Wito wa Ado Shaibu wa kuwekwa wazi kwa ripoti ya mauaji ya Mzee Ali Kibao unapaswa kuchambuliwa kwa kina, hasa kwa kuzingatia dhamira ya kweli ya haki na uwajibikaji. Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha msimamo wa uwazi na uwajibikaji, akitoa maelekezo thabiti kwa vyombo vya dola kuhakikisha...
  11. JamiiForums Tanzania Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi: Tunataka mfumo wa kodi uwe rafiki kwa walipakodi, uimarike kwa uwazi

    Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi imefanya kikao na wadau wa kodi mkoani Iringa, ikilenga kupokea maoni na mapendekezo kuhusu changamoto za kodi na tozo mbalimbali zinazokwamisha maendeleo ya biashara. Mjumbe wa Tume na Mwenyekiti wa kundi dogo la Tume, Balozi Mwanaidi Maajar, amesema kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Bila kuwa na Uwazi na Uwajibikaji, CHADEMA itakufa

    Uwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini asionhelee mambo ndani? Kufanya mambo kwa Uwazi kunaleta uwajibikaji. Wananchi wanatakiwa waambiwe...
  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Bila kuwa na Uwazi na Uwajibikaji, CHADEMA itakufa

    Uwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini asionhelee mambo ndani? Kufanya mambo kwa Uwazi kunaleta uwajibikaji. Wananchi wanatakiwa waambiwe...
  14. JamiiForums Tanzania Uwazi siyo Utupu (Transparency is not nakedness)

    Moja ya sifa za uongozi imara ni pamoja na UWAZI katika kufanya mambo na utoaji taarifa kwa wadau juu ya mwenendo wa shughuli na matokeo. Hata hivyo, moja ya kosa viongozi wengi WAWAZI ambalo hufanya ni kudhani wanaweza kuwa wawazi kwa kila kitu. Kuwa muwazi katika kila kitu kunafanya taasisi...
  15. JamiiForums Tanzania Dini ipo ndani ya moyo wako. Dini ni upendo. Dini ni uwazi. Dini sio haya mashirika mnayoenda kuyafaidisha na kutimiza itikadi zao.

    Mmekuwa manipulated kwa enzi na enzi kumuunganisha Mungu na dini. Mmekuwa brainwashed kuona njia ya kumifikia Mungu ni dini. Mungu sio dini, Dini sio Mungu. Dini hizi ambazo viongozi wenu wanalindwa na mabaunsa huku wakiwahamasisha msiwe na hofu Mungu yuko na nyie. Dini hizi ambazo viongozi...
  16. JamiiForums Tanzania Wimbi la ndugu wa damu kuhusiana kimapenzi linaongezeka au uwazi umeongezeka?

    Kwa mzazi inaweza isikuingie akilini kwamba watoto wako unaoishi nao nyumba moja wanaweza kuwa na uhusiano wa kimapenzi, ila ukweli uko hivyo, yapo matukio mengi ya aina hiyo ambayo yanaendelea kushika kasi kwenye jamii. Hii inahusisha ndugu wa damu, ndugu wa familia au ukoo na hata baba na...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali Sasa Ituambie kwa Uwazi: Nani Anagharamia Uhamishaji wa Raia toka Ngorongoro Kwenda Msorero, Kuwajengea na Posho Walipwayo? Bunge linajua?

    Nisahihishwe, lakini nimejaribu kuisoma Budget ya serikali lakini sijaona mahali ambapo mabilioni yamepitishwa kuhamisha Wamaasai toka Ngorongoro kwenda Msomero Handeni wao na mifugo yao, kujengewa nyumba, ujenzi wa shule na zahanati kijijini hapo na miundo mbinu mingine. Wasiwasi wangu...
  18. JamiiForums Tanzania CCM jitahidini kuweka uwazi na uwajibikaji katika kodi za wananchi,nina sisitiza hakuna mbadala wenu.

    uwajibikaji ni kitendo cha kutekeleza sera,sheria na utaratibu kwa uadilifu na uwazi,kuna faida kadhaa za kuwepo uwajibikaji naelezea kama zifuatavyo kujenga misingi imara ya uongozi,uadilifu,utekelezaji wa shughuli za kijamii na kuweka mfumo zuri kati ya serikali na wananchi,inapotokea...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Ngao ya jamii haina hamasa kwasababu mapato yote yanaenda TFF na taasisi zingine kwa lengo la kuisaidia jamii lakini zinaishia mifukoni mwa wachache

    Hela unayopatikana wanadai wanarudisha kwa jamii ila hatujawahi kushuhudia hata beseni wamepeleka zahanati Sababu iliyopeleka mechi hii isiwe na hamasa ni "Tucheze sisi hela wapate wao? " kuanzia mwaka jana ngao ya jamii iliongezwe timu ziwe badala ya mbili, ni kufosi Yanga na Simba zikutane...
  20. JamiiForums Tanzania Kama hewa itatoka katika eneo lililo na uwazi, je ni kitu gani huzuia hewa isitoke nje ya uso wa dunia?

    Habari za jioni wadau.... Kama mnakumbuka nilileta mada kuhusu chanzo au asili ya Oxygen, Nashukuru wadau walinipa elimu nzuri kuhusu Oxygen na nikaelewa vyema. Leo pia nina swali kuhusu Oxygen au hewa. Kwa mujibu wa sayansi, asili ya hewa au mazingira yake ni lazima iwe katika eneo ambalo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…