uwazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Heko mahakama huru za Tanzania kwa kusikiliza mashauri, kuamua na kutoa haki kwa uwazi

    Hongera mawakili na wanasheria mbalimbali nchini, kwa weledi, umahiri na umakini katika kusikilizana kupeana fursa za kujieleza kisheria, kutafakari na hatimae kufikia hitimisho la mashauri mabalimbali pasina kuacha shaka na bila kupoteza wakati kwa pande zote husika. WaTanzania wote tuna imani...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwa nini matokeo (apparitions) ya "Bikira Maria" yanafanyika sirini na si kwa uwazi?

    Yesu alifanya huduma yake hadharani (public ministry). Sasa haya matokeo ya mama yake yaliyoripotiwa kwa nini ni ya kusiri (private) tu kiasi cha kuligharimu kamisa katoliki miaka kadhaa ya uchunguzi wa ukweli (authenticity) wa matokeo hayo? Kwa nini kama mambo haya ni kweli yasitokee kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania yashindwa mtihani wa uwazi wa fedha

    Tanzania imeshindwa kufaulu mtihani wa uwazi wa matumizi ya fedha wa marekani huku kenya ikifaulu mtihani huo Swali :Wewe unafikiria ni kwanini Tanzania imeshindwa mtihani huo ? Mwisho tunamsubiri mzee wa makanusho aka Msigwa ila Msigwa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa

    Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa. T-CAMS inaleta uwazi, ufanisi na uhakika wa malipo katika sekta ya uwakala wa forodha, kwa manufaa ya mawakala, waagizaji wa mizigo na Serikali.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania

    Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania Utangulizi Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo inayorahisisha biashara...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania

    Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania Utangulizi Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo inayorahisisha biashara...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mufti mkuu wa Tanzania: wito wa uwazi kuhusu sakata la kuondoshwa Sheikh Walid

    KBARUA YA WAZI KWA MUFTI MKUU WA TANZANIA: WITO WA UWAZI KUHUSU SAKATA LA KUONDOSHWA SHEIKH WALID Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania Yah: Ombi la kuweka wazi sababu za kuondoshwa Sheikh Walid ili haki na ukweli ujulikane Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Kwa heshima na taadhima...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Mazungumzo ya kuhamisha Wananchi wa Sinza yasifanyike kwa mafungu hotelini, tushirikishwe na uwazi uwepo

    Serikali ilitangaza kuanza kwa mchakato wa kuboresha eneo la Sinza ili kulifanya kuwa la uwekezaji na kwamba Wananchi watapewa maelekezo ya kuyaachia maeneo yao kwa makubaliano maalum ya uwekezaji. Kikao kilichopita kati ya wawakilishi wa Serikali na Wananchi kwa asilimia kubwa hakikuwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Responded Sospeter Mtwale: Serikali imejipanga kuhakikisha biashara ya kaboni nchini inatekelezwa kwa uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii

    Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM – TAMISEMI), Sospeter Mtwale, amesema Serikali imejipanga kuhakikisha biashara ya kaboni nchini inatekelezwa kwa uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii ili kuwanufaisha wananchi na Taifa kwa ujumla. Bw...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna changamoto ya uwazi katika utoaji wa zabuni ndani ya Chama cha Ushirika CEMACo

    Mimi ni mmoja wa wadau wa shughuli za ushirika katika Wilaya ya Manyoni, na napenda kuwasilisha changamoto kubwa inayohusu uwazi katika utoaji wa zabuni ndani ya Chama cha Ushirika CEMACo. Kwa mujibu wa taratibu za kawaida, zabuni mbalimbali hutangazwa kwa uwazi kupitia mbao za matangazo na...
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mpango wa Serikali kuendeleza upya maeneo ya Sinza unahitaji uwazi na uwajibikaji

    Natoa wito kwa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuuangalia kwa karibu mpango wa uendelezaji upya wa eneo la Sinza, Dar es Salaam, unaoratibiwa na Manispaa ya Ubungo, kutokana na kuwepo kwa viashiria vya shinikizo na ukosefu wa uwazi. Kwa muda sasa, wananchi wa Sinza tumekuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tume ya Utumishi wa Mahakama: Mfano wa Uwazi, Uharaka na Uadilifu Kwenye Ajira za Umma.

    Uzi huu ni maalum Kwa kutoa pongezi kwa Tume ya Utumishi wa Mahakama kama mfano wa Uwazi, Uharaka na Uadilifu Kwenye Ajira za Umma. Nawapongeza kwa dhati Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa namna wanavyosimamia mchakato wa ajira kwa uharaka, uwazi na weledi mkubwa. Hili ni jambo la kuigwa...
  13. JamiiForums Tanzania Visanga vya ukweli na uwazi baaina ya mimi na wachungaji

    MIMI: Maandiko yanaonesha kuwa Adam alikuwa na watoto ‎wawili: ‎Kaini na Habili. CARDINAL: ndio, Alikuwa na Watoto wawili. MIMI: Hakuna moto mwingine...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Samia awashukuru Tume ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Uchaguzi wa Uhuru na Uwazi

    *Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo. Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Kassim Majaliwa: Uchaguzi utakuwa huru wa haki na uwazi, Oktoba tukapige Kura

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wananchi kujitokeza kushiriki uchaguzi kwa kuwachagua viongozi, ambapo amesema uchaguzi huo utakuwa huru, wa wazi na haki huku akitoa rai kwa Wananchi kutopata hofu ya kujitokeza kupiga kura akidai kuwa wasiwe na shaka ya usalama. Ameyasema hayo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tunahamasisha maadili na uwazi ndani ya CCM

    Katika chaguzi nyingi za kura za maoni ndani ya CCM, asilimia 60 hadi 80 ya walioshinda wamekuwa ni wale walioanza kampeni miaka 2 hadi 3 kabla ya mchakato kuruhusiwa rasmi na chama. Wamewekeza siyo tu muda, bali pia wamenunua ushawishi ndani ya mfumo wa chama kuanzia ngazi ya mashina hadi mkoa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tujenge demokrasia inayozingatia uwazi, uwajibikaji na nidhamu ndani ya CCM

    Mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni msingi muhimu wa demokrasia ya ndani ya chama. Mwaka huu, tumeshuhudia mwitikio mkubwa wa wajumbe kushiriki, jambo linaloonesha nguvu ya chama na uaminifu wa wanachama wake katika mchakato wa kidemokrasia. Hata hivyo, yapo maeneo...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini magroup ya michango ya sherehe yanakosa uwazi na uaminifu ? majina mengi katika orodha ya michango huwa ni ahadi sio kiasi wanachotoa

    Huwaga nachoka sana na michango ya harusi, sendoff na sherehe nyinginezo. Ahadi na Michango kwa ajii ya Harusi ya Bwana fulani inayotegemewa kufanyika tarehe xxxx Robert - 100,000 Wile - 200,000 Abdul - 150,000 Salma - 100,000 Katope - 100,000 Hapo aliechangia nzima unakuta ni moja tu Wile...
  19. JamiiForums Tanzania Kauli ya kikwete "zakuambiwa changanya na zako" na ile kauli nyengine ya kusifia uchaguzi wa Kenya kuwa wa uwazi zaidi inatupa picha gani ?

    Kauli ya kikwete "zakuambiwa changanya na zako" na ile kauli nyengine ya kusifia uchaguzi wa Kenya kuwa wa uwazi zaidi inatupa picha gani ? Nilimsikia kikwete anasema ukienda kupiga kura "za kuambiwa chanyanya na zako" pia alisema uchaguzi wa Kenya ni wa uwazi sana kiasi kwamba mtu anaweza...
  20. JamiiForums Tanzania Mikopo na Mzigo Mkubwa wa Madeni Nchini Kwetu Tanzania: Wakati wa Uwajibikaji, Uwazi na Mpango Madhubuti wa Kulipa-100 Trillion

    Katika kipindi cha miaka ya karibuni mpaka budget ya jana ikisomwa na Mh. Nchemba, mzigo wa madeni kwa taifa letu la Tanzania umeongezeka kwa kiwango kikubwa sana na cha kutisha. Takwimu za zilizotolewa hata jana zinaonyesha kuwa deni la taifa limevuka zaidi ya shilingi trilioni 100...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…