uwanjani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kutoka Jumuiya ya Madola : Njaa zinabadili Upepo wa Mbio za Uwanjani Hadi Marathon

    Bofya Hapa Kumsikiliza... Njaa zinabadili upepo wa Riadha Mwanariadha wa Mbio za uwanjani, Mita 5000 ( Track and Field) Faraja Lazaro, ameshauri wahusika wa Riadha, wawekeze kwenye mashindano ya Uwanjani , Pamoja Serikali kuweka fungu Ili Wanariadha wasihame kwenda kwenye Marathon, ambapo Pesa...
  2. Ten Hag akasirika Ronaldo kuondoka uwanjani mechi ikiendelea

    Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amemjia juu Cristiano Ronaldo kwa kitendo cha kuondoka uwanjani wakati mchezo dhidi ya Rayo Vallecano ikiendelea, Jumapili iliyopita Julai 31, 2022 “Sikubaliani na kitendo alichofanya, hii ni kwa mtu yeyote, sisi ni timu na unatakiwa kukaa hadi mwisho,”...
  3. N

    Kuanzia round ya kwanza: tuwaombee njaa Orlando Pirates wako uwanjani muda huu

    Yaani tungeingia nusu fainali , hizi habari za kuombeana njaa wala zisingekuwepo kwa kweli maana kama siyo namba 9 tungekuwa wa 10. Anyway wakati dua mbaya tunaelekeza kwa Etoile du sahel ya Tunisia na Es Setif ya Algeria kumbe wale wapuuzi wa soweto Orlando pirates walikuwa na viporo vitatu na...
  4. M

    Yanga SC mlipeni yule Mganga wenu wa kutumia Njiwa Uwanjani halafu mwambieni Mayele kwa yanayompata amlaumu Dada wa Saluni Magomeni Mapipa

    Na huyo Demu wake wa hapo ndiyo aliyepandikizwa Kummaliza na Klabu moja waliyocheza nayo na akakabwa vilivyo na Mkongo Mwenzake. Halafu Yanga SC hakikisheni yule Dogo ( Mganga wenu ) ambaye huwa anaingia na Njiwa Mweupe kila mliposhinda Mechi zenu mnamlipa Pesa zake kwani Password ya Ushindi...
  5. K

    Kitendo cha Simba kuwasha moto uwanjani dhidi ya Orlando Pirate hakitawaharibia?

    Kabla ya mchezo baina ya Simba na Orlando Pirates Simba walifanya kituko cha kuwasha moto na kuweka duara kwa kuzunguka ule moto. Je, hiki kituko hakitawaharibia?.
  6. Kabwili: Yanga bado wananilipa, nilipagawa, sina wa kumlaumu, narudi uwanjani

    Ramadhan Kabwili amefunguka kuwa klabu yake ya Yanga iliamua kumpa likizo ya muda mrefu huku akiendelea kulipwa na Yanga kama kawaida Anasema alipewa likizo ili akili yake itulie na atafute nafasi ya kuonana na mwanasaikolojia kutokana na kile ambacho kilitokea mitandaoni kumuhusu yeye...
  7. T

    Lini Kibu Denis atarejea tena uwanjani?

    Ni muda sasa huyu mwamba hajaonekana uwanjani na taarifa zake mpaka sasa hatuzijui anaendeleaje! Kukosekana kwake ni pengo kubwa sana kwa timu ya Taifa ya klabu, namaanisha wekundu wa Msimbazi Simba.
  8. Yanga, Biashara United uwanjani leo kwa Mkapa, Kocha Nabi atoa kauli kuhusu mchezo huo

    Wanafainali wa michuano ya Kombe la FA msimu uliopita, Yanga, leo saa moja usiku watakuwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kutafuta nafasi ya kutinga Hatua ya Robo Fainali wakati itakapocheza dhidi ya Biashara United kutoka mkoani Mara. Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi alinukuliwa...
  9. Simba yatoa angalizo mashabiki wake kutowafanyia fujo mashabiki wa timu nyingine uwanjani

    Simba yawaambia mashabiki wake kutowafanyia fujo mashabiki wa timu nyingine uwanjani
  10. Kama Rais Samia ndiye mkuu wa dola la Tanzania kwanini Rais wa Zanzibar amekuwa wa kwanza kutoka uwanjani baada ya sherehe za Mapinduzi kuisha?

    Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru. Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni...
  11. Baada ya CEO wa Simba SC, Barbara Gonzalez kuzuiwa kuingia uwanjani, Simba huenda ikaanza ujenzi wa uwanja wake

    Habari Wanajamvi baada ya kupita siku moja toka ile Derby ya kukata na shoka ya watani wa jadi ambayo ilikuwa na kashkash ya hapa na pale na likishuhudiwa tukio la Madame CEO Babra Gonzalenz kuzuiwa kuingia VVIP leo kiongozi wa Simba crescentius Magori ambaye ni mshauri wa Rais ameandika haya...
  12. C

    Kama ni kweli Bodi ya Ligi wamemzuia CEO wa Simba kuingia kwenye derby basi huu ni uhuni mkubwa

    Nimesoma na kupokea kwa masikitiko taarifa ya kuzuiwa kuingia uwanjani kuangalia mechi ya leo Barbara Gonzales CEO wa Simba. Kusema kweli niliaminishwa shuleni kwamba wazungu walituita Waafrika (washenzi) yaani watu wasio wastaarabu kuwa walitunyanyasa kwa kutuita hivyo. Ila nimejifunza na...
  13. Niliapa na nilimaanisha Kazi imeisha Yanga SC anakufa 'nyingi' tarehe 11 Disemba, 2021 Wana Simba SC wote 'furikeni' Uwanjani

    Sijawahi kufeli Kitu kama tu nikikiamua!! Na nimewaweza na kuwashika patamu kweli kweli kwani Nyodo zao ndizo zimeniibua Chimbo ili nije kuifanyia Kazi Simba SC yangu. Yanga SC kama wakitaka Kukibadilisha nilichowafanyia Wakubali Mmoja wa Kiongozi wao au Mmoja wa Mfadhili wao au Mmoja wa...
  14. T

    Azam Media ongezeni kamera uwanjani

    Salaam, Naomba nianze kwa kuipongeza kampuni ya Azam kwa kuliheshimisha soka la bongo kwa kurusha LIVE matangazo ya mechi za ligi kuu ya NBC. Ombi langu kwenu AZAM MEDIA ni kuwa mtume timu ya wataalamu wenu waende uingereza,spain au ujerumani wakajifunze namna ya kurekodi na kurusha matangazo...
  15. Walimu Arusha watakiwa kwenda uwanjani Sheikh Amri Abeid kesho kwaajili Rais Samia

    Kesho kunafanyika maadhimisho ya wiki ya Usalama barabarani mkoani Arusha ambapo mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan. Katika kuhakikisha shughuli hiyo inafana, walimu wote wa shule za sekondari na msingi Arusha, wameagizwa kwenda kuhudhuria bila kukosa shughuli hiyo. Walimu pekee ambao...
  16. M

    Wana Simba SC wenzangu tafadhali tumkope Akili Beki Dickson Job na tumpe Mshambuliaji wetu John Boko ili zimsaidie Kiufanisi Uwanjani

    Kama leo ningepewa Furushi la Fimbo za Mianzi au Mipera na kuambiwa nimchague mchezaji wa Taifa Stars aliyenikera ilipocheza na Madagascar na nimchape nazo nina uhakika Mshambuliaji wangu wa Simba SC angezikoga kama siyo Kuzichezea sana. Haiwezekani Beki wa Yanga SC ninayemuhusudu (...
  17. C

    Kwa mujibu wa bodi ya ligi leo washabiki waliojaa uwanjani ni wa KMC

    Ikumbukwe waliojaza uwanja wengi ni yanga na wale wa simba waliojaa kushangilia kmc hata simba ikienda mikoani hali huwa hivyo watajaa wa simba na wa yanga kushangilia team pinzani Sasa bodi ya ligi mwishoni mwa msimu kwenye takwimu zao ni kwamba hawa ni mashabiki wa KMC, mkae mkijua hilo.
  18. Mchezaji kutapika uwanjani. Hii kiafya maana yake nini?

    Jana kwenye mechi ya Biashara united na Al ahal ya libya ( speling) kwenye mashindano ya kombe la shirikisho barani afrika, tuliona mchezaji mmoja wa Al ahal akitapika maji uwanjani. Sababu zilizotolewa japo sio za kitaalam ni kwamba mchezaji alikunywa maji mengi, baada ya kukutana na joto kali...
  19. Kiongozi anatakiwa kuwa kama refa uwanjani

    Wakuu Leo naomba tupate elimu kidogo kwenye mada inayohusu nidhamu ya uongozi na wajibu. Kwenye nchi zetu za Kiafrika viongozi huwa wanajisahau sana wanapofika kwenye nafasi za uongozi kutokana ulimbukeni wa madaraka na mali na kusahau jukumu la uongozi. Kiongozi wa taifa inatakiwa afanye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…