uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Aina hii ya Nidhamu mbovu na ya Kishamba ya Mashabiki wa Yanga SC kuwa nje Uwanja wa Taifa huku Waziri Kabudi akiwa na Kikao Kizito inaitwaje?

    Na wenye Akili tunajua tu kuwa ni Injinia Hersi (Rais wa Yanga SC) ndiyo Kawaleta hapo kwa Makusudi na Kimkakati zaidi.
  2. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga, mpo tayari kutoka kwenye soka la ushindani, ili kumiliki uwanja

    Naona wachambuzi uchwara wakiwabaga Simba na Yanga kuwa ni wazembe wanashindwaje kumiliki uwanja Mashabiki kila msimu wanatoa pressure, wanataka timu zichukue ubingwa na kufanya vyema kimataifa Kumiliki uwanja ni laZima simu ipunguze matumizi ya gharama za usajili, mishahara na benchi la...
  3. JamiiForums Tanzania Hamas waushambulia uwanja wa ndege wa Ben Gurion.Ndege zashindwa kutua

    Habari za karibuni kabisa zinasema uwanja mkuu wa ndege wa Israel wa Ben Gurion umepokea makombora kadhaa kutokea upande wa Gaza ikidhaniwa ni Hamas ndio walioyarusha. Hapo juzi na mapema leo Houth nao walirusha makombora ya Balistic kutoka Yemen kuulenga uwanja huo huo na kusababisha vingora...
  4. JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), yalidhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Augustine Vuma, leo Alhamisi Machi 20, 2025 imetembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga, ambapo imeeleza kuridhishwa na hatua iliyofikiwa ya asilimia 75 ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga wafikia Asilimia 75, kukamilika Juni 2025

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), kuwa kiwanja cha ndege cha Shinyanga kitakamilika mwezi juni mwaka huu. Amesema hadi sasa ujenzi wa kiwanja hicho umefikia asilimia 75 ambapo njia za kuruka na kutua ndege...
  6. JamiiForums Tanzania Kwahiyo serikali imeshindwa kulinda uwanja wake wa Mkapa Hadi wakodi makomandoo wa Yanga

    Hi nchi Ina vituko sana Uwanja ni mali ya serikali alafu maamuzi ya ulinzi yanayohusu uwanja yanatolewa na makomandoo wa Yanga Ilitakiwa Simba walipofika uwanjani wakutane na walinzi wa uwanja waliowekwa na mmiliki wa uwanja wa Mkapa ambaye ni serikali ndio wawambie hichi mnaruhusiwa kuingia...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mo Dewji, Azam na GSM wamejenga uwanja unaotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni.

    Timu ya Singida Black Stars inatarajia kuzindua uwanja wake mkoani Singida, uzinduzi utafanyika Marchi 24 kwa mchezo wa Kirafiki dhidi ya Yanga SC. Uwanja unaitwa AIRTEL STADIUM ambao wao ndio wameujenga kwa kushirikiana na wengine kama Azam, GSM, NBC, SBS na MO DEWJI. Credit: Nassib Mkomwa
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya kushindikana kuwahamisha wapalestina, Gaza sasa kujengewa uwanja mpya wa ndege

    Jumuiya ya nchi za kiislamu OIC hapo juzi ilipitisha mpango wa kuijenga upya Gaza uliasisiwa na mawaziri wa nchi za kiarabu wiki mbilli zilizopita, Katika mpango huo jumla ya dola za Marekani bilioni 53 zitatumika kufanya ujenzi huo awamu kwa awamu. Miongoni mwa miradi ya ujenzi huo ni pamoja...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini uwanja wa Benjamin Mkapa unatumika kwa matumizi yasio ya Mpira?

    Wakuu nimewaza Kama uwanja/pitch inatumika kwa matumizi kama mikutano na matamasha kwanini pitch isichoke? Mfano, matamasha ya kidini (waislam & wakristo) kwanini wanaruhusiwa kufanyia pale? Uwanja unaingiza mapato makubwa wanashindwaje kumaintain mambo ya uwanja? Je ni lini uwanja utakua...
  10. JamiiForums Tanzania Msigwa Atoa Ufafanuzi Taarifa ya CAF Kuufungia Uwanja wa Mkapa, Kuhusu Derby Asema Waulizeni TFF

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa ametoa Ufafanuzi Taarifa ya CAF Kuufungia Uwanja wa Mkapa, Kuhusu Derby Asema Waulizeni TFF ambapo amesema ukaguzi ulipokuwa ukifanyika nyasi zilikuwa zimekatwa mpaka chini hivyo kupelekea kuchimbika baada ya mechi ya Simba SC dhidi ya Azam FC. Hata hivyo...
  11. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tafadhalini leteni Mechi zenu Uwanja wa Namboole hapa Uganda kwani mnakubalika na msipeleke Amahoro Rwanda kwa Yanga SC wengi

    Na GENTAMYCINE nitakuwa wa Kwanza kuwapokeeni na kuwapa kila aina ya Ushirikiano na mtafanya vyema Kimichezo.
  12. JamiiForums Tanzania Unaidhinisha zaidi ya Bilioni 30 kukarabati uwanja alafu haufuatilii unaendelea na shughuli zako.Huyo ndiye Mgombea anayeomba kurudi ikulu

    Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma! Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na...
  13. JamiiForums Tanzania Unaidhinisha zaidi ya Bilioni 30 kukarabati uwanja alafu haufuatilii unaendelea na shughuli zako.Huyo ndiye Mgombea anayeomba kurudi ikulu

    Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma! Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na...
  14. JamiiForums Tanzania Shirikisho la Soka Afrika CAF limeufungia Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Inasemekana Shirikisho la Soka Afrika CAF limeufungia uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kutokana na ubovu wa eneo la kuchezea (pitch). Ripoti inaonyesha pitch mbovu na inazidi kuzorota. Wameitaka TFF kuchagua kiwanja kingine kwajili ya Robo fainali ya Shirikisho ya Simba hapo tarehe 9 April Huu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Simba kuzuiwa kufanya mazoezi, Je inamfanya kutofika uwanja kucheza mechi? Kanuni ya 31.

    Baada ya Mashabiki wengi wa soka kuumizwa na usitishwaji wa derby wamekuwa wakitaka kujua, Je hata kama simba angekuwa alikosewa kikanuni, tukio hilo linampa fursa ya kugomea mchezo! JIBU NI NDIYO. Kanuni ya 31 ya Tff/tplb inasomeka hivi; "Timu yoyote itakayo kosa kufika uwanjani bila ya...
  16. JamiiForums Tanzania Leo hii Jean Baleke ni wa kucheza Samia Cup ya Mtaani yenye Uwanja Mita 50?

    Kwani Yanga SC kama hamumtaki mnashindwa nini kumlipa tu Fedha zake ili arejee Kwao Kisangani akatunge Nyimbo?
  17. JamiiForums Tanzania Sheria au kanuni inajieleza yenyewe miaka na miaka yakwamba timu mgeni itafanya mazoezi kwenye uwanja husika kwa muda ambao match husika itachezwa

    Hapo vip!! Ukitafakari na kuchambua kisheria hili dai la yanga yakwamba hawakupata taarifa..unaona wameamua kuingiza siasa kwenye mpira wetu. Hivi kati ya sheria au kanuni na taarifa ipi yenye nguvu...Simba amebase kwenye sheria na kanuni,yanga amebase kwenye utaratibu wa kisiasa. Na je kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Simba haikufanya mazoezi uwanja wa Jamhuri Morogoro ikapoteza mechi muhimu

    Kuna watu wanachukulia poa utaratibu na haki iliyopewa timu ngeni kufanya mazoezi katika uwanja utakaochezewa mechi siku moja kabla ya mechi. Wachezaji wanapokuwa wamefanya mazoezi katika uwanja wa vita watakaoenda kuutumia, hili ni suala la kiufundi na linasaidia kuandaa wachezaji kimwili na...
  19. JamiiForums Tanzania Mechi ya Karne Yachezwa Nje ya Uwanja: Siasa, Figisu Figisu na Mchezo wa Giza kwenye Ligi Yetu!

    Hii saga ya kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga ni noma sana, na inatia mashaka kinoma. Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, na kwa bahati mbaya au kwa makusudi, mechi kubwa zaidi Tanzania imeahirishwa kwa sababu ambazo zinaonekana kama zimetengenezwa makusudi. Simba walikuwa na haki yao ya...
  20. JamiiForums Tanzania Video: Hali ilivyo uwanja wa Mkapa kuelekea mechi ya Yanga na Simba, mashabiki wanasuasua kuingia uwanjani

    Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa Yanga na Simba ni tofauti na matarajio ama ilivyo zoeleka. Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…