uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jemsic

    JamiiForums Tanzania SoC03 Vyama vya upinzani vitakuza uwajibikaji wa chama tawala

    Picha na Ebony FM UTANGULIZI Nafasi ya upinzani katika kukuza uwajibikaji wa chama tawala ni tata na limedumu kuwa swala mtambuka. Vyama vya upinzani vinaweza kuchukua jukumu hili muhimu katika kuwajibika kwa serikali ya chama kilichopo madarakani kwa namna mbali mbali ikiwa ni pamoja na kutoa...
  2. Abuxco

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuleta mabadiliko ya kweli katika utawala bora na uwajibikaji kupitia sensa ya watu na makazi

    Sensa ya watu na makazi ni zoezi muhimu linalofanywa na serikali kwa lengo la kukusanya takwimu sahihi na za kina kuhusu idadi ya watu na makazi, na tabia zao. Sensa hutoa taarifa muhimu kwa maendeleo ya kitaifa na kimataifa katika maeneo kama mipango ya maendeleo, usimamizi wa rasilimali,na...
  3. Tonytz

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kukuza ujuzi wa masomo ya kijamii kutaongeza uwajibikaji

    Ujuzi wa masomo ya kijamii ni taaluma ambayo inajumuisha masomo mbalimbali yanayozingatia utafiti wa jamii ya binadamu, miundo ya kijamii, taasisi za kijamii tabia na mienendo katika jamii na mwingiliano katika jamii. Maudhui katika masomo haya ya kijamii huchotwa kutoka vyanzo vya masomo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa kusoma mapato na matumizi yaliyopita kwa wizara

    Kwa kila mwaka, serikali inahitaji makadilio ya mapato na matumizi ili iweze kuendesha nchi na kutekeleza miradi mbalimbali ili kunufaisha wananchi na kuleta maendeleo yaliyo thabiti. Hii pia huchagizwa na uwepo wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ambayo kwa kila mwaka lazima likae...
  5. spm96

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tumaini letu katika afya

    Mabadiliko na mageuzi ya kiutendaji yanayowekwa na kusimamia utawala bora katika kutoa huduma sehemu mbalimbali ni wazi zinaboresha uwezo na ufanisi wa utelekezaji mzuri katika kutoa huduma husika katika ngazi tofauti kwa namna bora na kiyapekee. Miongoni mwa huduma muhimu zenye uhitaji...
  6. Vincent Nestory

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ufanisi na uthabiti katika mambo madogo (msingi/awali)

     Utangulizi Neno “Utawala Bora na Uwajibikaji” huonekana kulenga shabaha yake katika utendaji wa uongozi na mamlaka za “juu” katika Taifa, Bara na Dunia kwa ujumla; na mtazamo huu ndio kikwazo kikubwa zaidi cha kufikia utawala wenye sifa ya kuitwa “bora” na uwajibikaji wenye maendeleo chanya...
  7. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania SoC03 National Suggestion Box: Mfumo jumuishi wa kutoa maoni kidijitali utakaoimarisha ubora wa huduma na uwajibikaji katika sekta zote

    Ili kuboresha huduma zitolewazo katika taasisi, maoni ya wapokea huduma na wananchi kwa ujumla ni ya muhimu sana kwa kuwa kupitia maoni hayo taasisi hutatua changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika mchakato wa utoaji huduma. Ili kulitimiza hilo, taasisi zimekuwa zikitumia njia mbalimbali...
  8. Mathew Leloo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Leo hii uadilifu uzingatiwe

    Katika mada yetu mwaka huu, kama we ni kiongozi jiulize maswal adilifu, nini maana ya uadilifu? Je, Kama viongozi, mnaongoza watu wenu kwa uadilifu? Je, nini hutokea kiongozi Anapokosa uadilifu? Jiulize maswal adilifu: • Je, ninashuku kwamba kitendo Fulani kinaweza kuwa cha haramu au...
  9. Petro Masunga

    JamiiForums Tanzania SoC03 Haya ndiyo yalikuwa moyoni mwangu kuhusu mabadiliko na uwajibikaji

    Naitazamia nchi ya watu wazima, huku nikiwa na kiasi cha tashwishi. na kujiuliza maswali, kama nchi ya watu wazima tunataka nini? hivi mwelekeo wetu ni upi? kiongozi ni yule, na mwongozwa ni huyu. najaribu kuwaweka kwenye kundi moja, lakini hawawekeki. hivyo niliona kila mmoja akiendelea na njia...
  10. L

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji

    Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa JamiiForums kwa kuandaa na kutoa nafasi hii ya kipekee kwa wananchi. Huu ni mtazamo wa mfano mzuri katika uhuru wa vyombo vya habari kwa jamii. Napenda nitoe maoni yangu kuhusu uwajibikaji. Nitaanza kwa kufafanua maana ya neno uwajibikaji. Neno...
  11. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tabia ya uwajibikaji hutengenezwa ndani ya mtu

    TABIA YA UWAJIBIKAJI HUTENGENEZWA NDANI YA MTU Mara nyingi mtu anapopokea cheo au nafasi flani, kwa zile siku za mwanzo huanza kwa kasi ya ajabu, lakini muda unavozidi kusonga mbele, ile kasi inapungua, kwanini inakuwa hivyo? Kuna sababu nyingi ambazo hupelekea jambo hilo kutokea. Familia zetu...
  12. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko katika Sekta ya Madini kwa Utawala Bora na Uwajibikaji

    Sekta ya madini ni muhimu kwa uchumi na maendeleo ya nchi yetu. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto kadhaa zinazoathiri ufanisi na uwajibikaji katika sekta hii. Kwa lengo la kukuza utawala bora na uwajibikaji, mabadiliko yafuatayo yanaweza kutekelezwa: Kuboresha uwazi na upatikanaji wa taarifa...
  13. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na mabadiliko ya malezi

    Wazazi wa kitanzania hawajibiki kwenye malezi ya watoto ambao sio wa kwake mfano: mtoto anaweza kuwa anafanya kosa aisha wanapigana na kuna watu wazima wanawaona na wasiwajaripie kwa kua sio watoto wao. Huu sio uwajibikaji kwenye malezi Kila mwana jamii natakiwa kuhusika moja kwa moja kwenye...
  14. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika ngazi ya Familia

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA FAMILIA ZETU. Utawala bora ni mfumo wa utawala unaosimamiwa na kanuni na misingi ya uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji, utawala wa sheria, uwazi, na haki. Ni mchakato unaolenga kuhakikisha kuwa serikali na taasisi za umma zinatekeleza majukumu yao kwa...
  15. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji katika kupanga Bei za Mazao

    Kupanga bei za mazao ni mchakato wa kuamua au kuweka thamani ya jumla ambayo wauzaji na wanunuzi wanakubaliana kwa ajili ya mauzo ya mazao fulani. Kupanga bei za mazao inaweza kufanywa na pande tofauti, kama vile serikali, vyama vya wakulima, vyama vya ushirika, au wafanyabiashara wengine...
  16. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji katika Sheria na Haki

    UTAWALA BORA NA UWAJIBIKAJI KATIKA SHERIA NA HAKI Siku moja tembo alimwona swala anakimbia kwa spidi kali sana akamsimamisha na kumuuliza, "ndugu yangu mbona unakimbia hivyo? shida nini? Huku swala akihema akamjibu" kijijini kwetu polisi wanakamata mbuzi wote waliopo kule." Kwa mshangao...
  17. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji katika Bajeti ya Nchi

    UWAJIBIKAJI KATIKA BAJETI YA NCHI NA KATIKA WIZARA . UTANGULIZI Uwajibikaji ni wajibu wa kutekeleza majukumu yako na kuhusika katika hatua na maamuzi unayofanya. Ni hali ya kuwajibika kwa matendo yako, matokeo ya vitendo vyako, na athari zake kwa wengine. Uwajibikaji unahusisha kuchukua...
  18. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuimarisha Uwajibikaji kupitia Teknolojia ya Mawasiliano

    Tanzania inakabiliwa na tatizo la uwajibikaji duni kwa viongozi wa umma na watumishi wa serikali katika nyanja mbalimbali. Hali hii imesababisha kushuka kwa kiwango cha utawala bora na kuhatarisha ustawi wa jamii. Hata hivyo, teknolojia ya mawasiliano inaweza kutumika kuleta mabadiliko chanya...
  19. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nyanja ya Kilimo na Uwajibikaji

    Kilimo ni sekta muhimu katika maendeleo ya nchi nyingi za Afrika, ikiwa ni pamoja na Tanzania. Kupitia kilimo, kuna uwezekano mkubwa wa kuleta mabadiliko chanya katika jamii, ikiwa ni pamoja na kuboresha maisha ya mkulima, kukuza uchumi wa taifa, na kupunguza utegemezi wa uagizaji wa chakula...
  20. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko ya Sheria ya Ununuzi wa Bidhaa na Huduma za Serikali Yanavyochochea Uwajibikaji na Utawala Bora

    Sheria za ununuzi wa bidhaa na huduma za serikali zimekuwa na athari kubwa katika kuchochea uwajibikaji na utawala bora nchini Tanzania. Kabla ya Sheria ya Ununuzi ya Umma (2004) na Sheria ya Manunuzi ya Bidhaa na Huduma za Kampuni za Umma (2017), palikuwa na ukosefu wa uwazi na uwajibikaji wa...
Back
Top Bottom