Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Salim Morcase Septemba 11, 2025 katika kipindi cha Maskani ya Chalinze, Kupitia 97.5 Chalinze FM amewakumbusha wananchi wa Mkoa wa Pwani wajibu wao katika kulinda amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mheshimiwa Rais, Wabunge na Madiwani...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amefungua rasmi Soko na Kituo cha Mabasi cha Kisasa Chuini, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Katika hotuba yake, Rais Dkt. Mwinyi ameagiza kuimarishwa kwa usafi, kuzuia biashara nje ya maeneo...
Mkuu wa jeshi la polisi nchini Camillus Wambura amesema jeshi hilo halitovumilia mtu au kikundi cha watu watakaojaribu kuvunja amani ya nchi kwa namna yoyote ile.
IGP Wambura amesema hayo katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Agosti 11, 2025 katika Shule ya...
Wakuu
=====
Ni kweli LHRC imelaani kauli zisizo na mashiko za Maria Sarungi zenye mashiko ya uchochezi na uvunjifu wa amani? mwenye ukweli wa taarifa atupe ukweli.
Ni wazi kabisa ACT wazalendo walisaini maadili ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 mwezi October kuonesha kuwa walilidhia kanuni hizo, wanajua kanuni hizo ziliwaelekeza kuwaelimisha wafuasi wao kuwa hawataruhusiwa kuwa na simu eneo la uchaguzi wakat uchaguzi ukiendelea, pia wanajua wazi kuwa...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi.
"Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025...
Friends and our enemies,
Kauli za Gwajima ziko wazi,alichokitaka kiko wazi na lengo lake lilikuwa wazi nalo ni kuugombanisha Umma na serikali hususani mamlaka za juu za nchi hii.
Hapa namnukuu...
"HUENDA HAWA WAKUU WA VYOMBO VYA USALAMA NI WAZALENDO,SASA WANAPOSIMAMIA UZALENDO WANAISHIA...
Kwa kuwa suala la amani ni jukumu la kila mtanzania kabla ya wizara yenye mamlaka husika moja kwa moja. Ni kwa nini wenye mamlaka husika wasingewaweka wazi watu hawa wabaya ili sisi raia tuwatambue kuliko kutupa jiwe gizani?
================
Watanzania wameombwa kuendelea kudumisha muungano...
Uvunjifu wa amani ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu, hasa Kifungu cha 89. Inahusisha kutumia lugha ya matusi, ugomvi, au kuleta fujo zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Iwapo watapatikana na hatia, wahalifu wanaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miezi sita, bila chaguo la kulipa...
Kwenye Baraza la Eid mmedai kuwa uchaguzi ujao wapinzani msiwe ni sehemu ya kuvunja amani na kuleta chokochoko
Hizi ni Kauli za Ajabu na mara nyingi nina Doubt uwezo wa mashekh wa Bakwata.
Big Up Viongozi wa KIKRISTO , Viongozi wa KIKRISTO are birds who never meant to be caged, huwa...
Imefikia mahali ambapo viongozi wa upinzani, viongozi wa kidini, taasisi za kijamii za ndani na nje, ofisi za ubalozi, watu binafsi mmoja mmoja au kama vikundi, nk, wakatamka jambo lolote kama mashauri au kukosoa kuhusu mustakabali wa uongozi nchini Tanzania wenye kuboresha haki, uongozi bira...
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Wa Dar Es Salaam Ally Bananga akijibu kuhusu kuzuiliwa kwa maandamano ya mara kadhaa hasa ya vyama vya upinzania, ameeleza kuwa mara nyingi wapinzani hawazuiwi kufanya maandamano bali baadhi ya maandamano yao hutanguliwa na kauli ambazo...
Wakuu,
Juzi Ally Hapi alivitaka vyombo vya dola kuwachukulia hatua CHADEMA wanaotaka uchaguzi usifanyike bila ya mabadiliko kufanyika, akisema ni kisingizio kwa kuwa hawajajiandaa.
Kauli hii inazidi kukandamiza wapinzani na wananchi kwa ujumla kwenye uhuru wa kutoa maoni yao pale wanapoona...
Namshauri Katibu Mkuu wa CHADEMA ndugu John Mnyika aahirishe kwanza uchaguzi mkuu, kwa sababu kuna viashiria vya uvunjifu wa amani au ikiwezekana Lissu na Heche wawekewe pingamizi la kisheria kwa kauli zao wamevunja kanuni za uchaguzi, tubaki na wagombea wawili tu
Sioni sababu yoyote ya watu kukusanyana kwa ajili ya zoezi la kwenda kuchukua fomu tu ya kugombea, kwangu naona ni ishara kuwa wanaofanya hivi lengo lao wakishindwa kwenye uchaguzi ionekane wameibiwa kura, period.
Kanuni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa za 2024, mwongozo wa uchaguzi na mwongozo...
Kuna wimbi kubwa sana la watanzania ambao wameupuuza huu uchaguzi wa serikali za mitaa na Mimi nikiwepo. Niwapongeze kwa kuchukua maamuzi yao kikatiba na kibinafsi kufanya maamuzi bila bugudha. Hii ndiyo sehemu pekee mtanzania anayo maamuzi binafsi bila mtutu wa polisi, vitisho vya viongozi wala...
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime, ameeleza kuwa Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA, ambayo yalikuwa yamepangwa kufanyika Septemba 23 katika jiji kuu la kibiashara, Dar es Salaam. Marufuku hiyo imetolewa kwa lengo la kudumisha amani na usalama...
ali kibao
ali kibao auawa
ccm
chadema
jeshi la polisi
kuelekea 2025
maandamano ya chadema
marufuku kuandamana
polisi kuzuia maandamano
siasa tanzania
utekaji tanzania
uvunjifuwaamani
Msajili wa vyama vya Siasa amepiga Marufuku Kongamano la Chadema mkoani Mbeya lililokuwa kifanyike kesho Jumatatu.
Msajili amesema matamko ya Chadema yanaashiria uvunjifu wa Amani. Amesema kwa mfano Bavicha wanasema " Siku hiyo tutaweka hatma ya nchi yetu Tanzania kama ambavyo Vijana wa Kenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.