uvunjifu wa amani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yakutana na January Makamba

    Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na mwanasiasa January Makamba. - Mkutano huo wa Tume na Makamba, ambaye amepata kuhudumu nafasi mbalimbali ikiwemo uwaziri katika awamu tofauti za...
  2. Fbn

    Kwa nini tume iliyoundwa inaomba taarifa za uvunjifu wa amani sio matukio ya mauwaji?

    Jambazi anaweka wezi kuomba wananchi wajue kilichotokea ndio haya. Hii tume inataka kujua nani kavunja amani tu ?. Kama mumeona wanacho kisema ni wazi vifo sio kazi yao.
  3. Analogia Malenga

    PostGE2025 Tume ya Jaji Chande yaomba wananchi watume taarifa za uvunjifu wa amani zilizotokea wakati wa uchaguzi

    Tume imeanza rasmi utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Sheria ya Tume za Uchunguzi (Sura ya 32). Inawaalika wananchi na wadau wote kutoa taarifa, ushahidi, maoni na mapendekezo yatakayosaidia kufahamu ukweli wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025...
  4. N

    Baada ya maandamano ya D9 kufeli habil atakuja na story gani tena?

    1. Kwa diaspora , poleni sana mlikuwa mnashadadia sana sana maandamano ya fujo yatokeee mjifariji huko kwenye barafu kuwa mna ushawishi kwa hivyo vi send wave zenu na remitly za dola 30 mpaka 100 sasa ngoma imebuma rasmi. 2. Mlikuwa na katoto kajinga kanajifanya kamehack systems za BOT ...
  5. U

    Ni bora kabisa vyama vingi vikazuiwa mara moja marufuku kwani ndiyo zao la vurugu na uvunjifu wa amani

    Wakati wa chama kimoja amani na utulivu mkubwa lakini muda huu ni vurugu. Vyama vingi zao la ukosefu amani Vizuiwe
  6. R

    PostGE2025 Msigwa: Anayekutuma ushiriki uvunjifu wa amani anakupoteza, kaa nyumbani tafakari

    "Watanzania wote heri ya miaka 64 ya uhuru, uhuru wetu ndo maisha yetu. Watanzania siku hii ya uhuru tutafakari safari yetu, tutafakari nchi yetu, tuilinde nchi yetu. Kataa kushiriki matendo ya kuvunja sheria, matendo ya uvunjifu wa amani, sisi ni watanzania. Tanzania kisiwa cha amani kuna faida...
  7. Mafyangula

    PostGE2025 Jaji: Masaju wanasheria msiwe chanzo ya uvunjifu wa amani kwenye taifa

    Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju amewaasa wanasheria kutokuwa chemichemi ya uvunjifu wa amani kwenye taifa.
  8. Wakusoma 12

    PostGE2025 Vijana tusiwe wachochezi na chanzo cha uvunjifu wa amani

    Wakuu, nimeona niweke hili wazi kabisa kwa sababu mambo yanayojitokeza mitandaoni na mtaani si ya kubeza. 1. Kila mtu anapenda kuona mabadiliko na maendeleo, lakini hakuna kinachojengwa kwenye vurugu. Historia imeonyesha mara zote: fujo zikianza, wa kwanza kuumia ni vijana wenyewe. 2...
  9. R

    PostGE2025 Rais unda tume ya kuchunguza mauaji ya halaiki wakati wa uchaguzi na si uvunjifu wa amani

    Correct naming ni hiyo. Tusimpambe maiti kuwa amesinzia. Ni kuwa Mwanadamu amekufa.
  10. DuaZaMama

    PostGE2025 Polisi: Tunaendelea kuchunguza matamko yenye kuashiria uvunjifu wa amani

    Jeshi la Polisi linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya kiusalama nchini na kuchukuwa hatua kwa ukiukwaji wowote ule wa sheria za nchi. Aidha, kumekuwepo na makundi mbalimbali, watu binafsi ambao wameendelea kujitokeza na kutoa matamko yenye kuashiria uvunjifu wa amani na kujenga chuki...
  11. DuaZaMama

    PostGE2025 Jumuiya ya taasisi za Kiislamu waiunga mkono Tume Huru ya Uchunguzi wa uvunjifu wa amani

    Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu nchini wameiunga mkono hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa bungeni jijini Dodoma wakati akifungua Bunge la 13. Aidha, jumuiya hiyo pia imeunga mkono Tume Huru ya Uchunguzi wa uvunjifu wa amani uliojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu, tume ambayo...
  12. CHADEMA

    PostGE2025 Msimamo wa CHADEMA kuhusu tume iliyoandaliwa kuchunguza “matukio ya uvunjifu wa amani” baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025

    MSIMAMO WA CHADEMA KUHUSU TUME ILIYOANDALIWA KUCHUNGUZA “MATUKIO YA UVUNJIFU WA AMANI” BAADA YA UCHAGUZI WA OKTOBA 29, 2025 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma wa Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa kwamba haiitambui Tume ya Uchunguzi iliyoteuliwa na Ndg. Samia...
  13. R

    The so called tume, kama ingelikuwa let say inakubalika, ichunguze mauaji ya HALAIKI na si UVUNJIFU WA AMANI

    Bado kuna denial kutoka serikalini na hususan Mkuu. Haya let us pretend kuwa tumeikubali tume ingawa kamwe haitakubalika. Basi kazi yake iwe ni KUCHUNGUZA MAUAJI YA HALAIKI NA SI UVUNJIFU WA AMANI. Issue hapa ni mauaji ya HALAIKI, mengine yatakuja by default in the cause of kuchunguza MAUAJI...
  14. Mhaya

    ‘Bongo Zozo’ ajivua Ubalozi wa Utalii Tanzania kufuatia mauaji ya waandamanaji

    Kutokana na hali ya uvunjifu wa amani na kupotea kwa utu nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu rasmi katika nafasi yangu ya Balozi wa Utalii. Nimesikitika sana kuwaangusha Watanzania kwa ujumla, pamoja na ndugu yangu aliyeniteua, Mheshimiwa Hamisi Kigwangalla, na marafiki wengi niliowapata...
  15. R

    GE2025 Rais Samia: Nitoe onyo kama Mama, Wote waliochochea uvunjifu wa amani, watambue vurugu huishia kupimana nguvu na uwezo wa kujihami

    Akizungumza Novemba 3, 2025 baada ya kuapishwa kwake, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alitoa kali kwa wale waliohusika na vurugu zilizojitokeza baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29. Chanzo: TRT Afrika
  16. M

    GE2025 RC Morogoro: Wanaoratibu vitendo vya uvunjifu wa amani uchaguzi mkuu kukiona

    Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima, ametoa onyo kali kwa makundi au watu wenye nia ya kuanzisha fujo ama vurugu wakati wa kipindi cha uchaguzi Mkuu wa Tanzania, akisisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vipo imara na makini kuhakikisha amani na utulivu vinaendelea kudumishwa nchini...
  17. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Polisi Katavi wahimiza wanafunzi kuwa wazalendo na kutojihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani

    Polisi wameamua! Kila kundi walipa semina ya bure kabisa katika kipindi hichi cha uchaguzi. Yani uchaguzi wa mwaka huu umekuwa kama vita maana hizi elimu ni kama vile kuna vita vinakuja hivi ============== Wanafunzi Shule ya Sekondari Mazwe Kata ya Ipwaga Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi...
  18. Mafyangula

    GE2025 Mgombe urais UPDP: Hakuna kura inayoibwa, isipokuwa Watanzania hawajitokezi kupiga kura

    Kumbe kura aziibiwi? Naendelea kuaamini kuna vyama vingine ni matawi ya halali kabisa ya CCM ================== Mgombea Urais wa Tanzania kupitia United People’s Democratic Party (UPDP), Twalib Kadege amesema hakuna kura inayoibwa, isipokuwa Watanzania hawajitokezi kupiga kura
  19. Mafyangula

    GE2025 Sisi kama Jumuiya ya wafanyabiashara wa Kariakoo tuko mbali kabisa na watu wenye nia ovu za uvunjifu wa amani

    Wafanya Biashara Kariakoo Wamemsifu Mgombea wa Urais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Kufuta Tozo Zipatazo 384 Ambazo Hapo Awali Zilikuwa ni Kero Kubwa. "Sisi kama Jumuiya ya wafanyabiashara wa Kariakoo tuko mbali kabisa na watu wenye nia ovu za uvunjifu wa amani, maslahi yetu yana thamani kubwa...
  20. M

    GE2025 Bwege: Mabadiliko hayawezi zuiliwa na mtu yeyote. CCM kuzuia mabadiliko kwa nguvu ya dola kunaweza kutokea uvunjifu wa amani

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge mstaafu wa Kilwa, Selemani Bungara maarufu Bwege amesisitiza kuwa mabadiliko hayawezi kuzuiwa na mtu yeyote, amedai kuwa kitendo cha Chama cha CCM kuzuia mabadiliko kwa kutumia nguvu ya dola yanasababisha uvunjifu wa amani, ameongeza kuwa hata...
Back
Top Bottom