Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Cde. Seth Bernard Masalu, anawaomba wakazi wa Mwanza wote na watanzanania kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji utakaofanyika Novemba 27, 2024 kwa Kuwachaguwa Wagombea wote wa Chama cha Mapinduzi katika nafasi zote...
Wakuu,
Tunaendelea kula popcorn wakati tunaendelea kuangalia movie.
====
Katibu wa Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kata ya Iwawa Benjamin Mahenge amewasihi wanaccm kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura za ndio wagombea wao na kuachana na wa vyama vya upinzani ambao kazi yao ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita.
Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo, amewataka viongozi wa vyama vya upinzani kuacha malalamiko yanayohusiana na uandikishwaji wa wanafunzi wenye umri wa miaka 18 katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kauli hiyo ameitoa alipokuwa...
Matembezi ya vijana yanayopangwa na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) yana hasara kadhaa zinazoweza kutokea kwa vijana wasomi na wasioajiriwa katika jamii kutokana na matembezi haya.
1. Kutengwa Kijamii
Matembezi yanaweza kuonekana kama shughuli za kijamii, lakini kwa vijana...
Ule ukatili wa Hitler huenda ukaonekana Tanzania miaka 10 ijayo kuanzia sasa. Hawa vijana wa CCM wamefunzwa kukilinda chama .
Wameapa kulinda chama. Hawana mpango kabisa na ulinzi wa rasilimali za Taifa hili teule. Wanalinda chama kwa hali yoyote kwa mgongo wa kulinda amani Ni wakati wa kuomba...
Haiwezekani kuwaacha vilaza waliofeli eti ndio news makers huku mitandaoni na kuchukua credits eti wao ndio wasemaji wa Taifa.
Wito wangu kwa vijana makini na waliolelewa na kufunzwa vyema na wazazi pamoja na vyombo vya chama cha Mapinduzi na Serikali kuingia rasmi mitandaoni na kuwapa...
NDUGU MOHAMMED ALI KAWAIDA (MCC) KUONGOZA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA,17 SEPTEMBA 2024
📍UVCCM TAIFA
17 Septemba,2024
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) anatarajia kuongoza kikao Cha baraza kuu la UVCCM Taifa Leo tarehe 17 Septemba,2024 makao makuu ya...
KAWAIDA AKIWASILI OFISI ZA MAKAO MAKUU YA UVCCM DODOMA
📍UVCCM TAIFA
16 Septemba,2024
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) Akiawasili ofisi za makao makuu UVCCM Taifa kwa ajili ya kuongoza kikao Cha Kawaida Cha kamati ya Utekelezaji
#KijanaNaKijani...
MWENYEKITI KAWAIDA(MCC) AONGOZA KIKAO CHA KAWAIDA CHA KAMATI YA UTEKELEZAJI MAKAO MAKUU YA UVCCM DODOMA
📍UVCCM TAIFA
16 Septemba,2024
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) Ameongoza kikao Cha Kawaida Cha kamati ya Utekelezaji Maka makuu ya UVCCM Dodoma, tarehe 16 Septemba...
UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dodoma umewaonya wanasiasa wenye nia ovu ya kukichafua chama hicho na viongozi wao na badala yake kuwataka wajikitike kwenye sera za kujenga vyama vyao na taifa kwa ujumla.
Kanuni ya UVCCM ndiyo inasema kwamba sisi kama vijana kazi yetu ni kwenda kuwa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amewaasa wanasiasa wa vyama vya upinzani kuwa watulivu, wakati huu ambao serikali inafanya uchunguzi juu ya kukithiri kwa vitendo vya utekaji na mauaji vinavyochafua taswira ya Taifa.
Chanzo...
UVCCM YAGAWA SIMU 20,KADI ZA CCM 8,000 NA UVCCM 1,000 KUZIDI KUIMARISHA USAJILI WA WANACHAMA KIELEKTRONIK, MKOA WA LINDI
Mwenyekiti wa jumuiya ya umoja wa Vijana wa CCM ndugu Mohammed Ali Kawaida jana tarehe 12 Septemba,2024 amewasili Mkoani Lindi kwaajili ya Hamasa day katika wilaya ya...
Binafsi mimi ni mwana CHADEMA ila nilichojifunza tunachofanya wana CDM ni kama ushabiki wa Yanga na Simba.
Kwenye Siasa kuna kitu kinaitwa propaganda, tufikirishe ubongo kuna muda inayoonekana Nyeusi sio kila wakati ni Nyeusi inaweza kuwa Nyeupe.
Ni bora UVCCM wanaelewa ila wanashupava vichwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii ndio taarifa yao .naiweka kama ilivyo pasipo kuweka neno langu hata moja wala nukta.
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Dodoma umelaani vikali matukio yote ya utekaji na uhalifu yanayoendelea kujitokeza nchini, ikiwemo kuuawa kwa Mjumbe wa...
Tuliosoma vyuo vikuu tuliona. Vijana waliokuwa UVCCM ndo wengi wao walikuja kuajiriwa Serikalini na kuingizwa kwenye vyombo vya dola ikiwemo usalama wa Taifa.
Mimi niliosoma nao waliokuwa mstari wa mbele huko UVCCM wengi saivi ndo Watendaji Wakuu katika taasisi mbalimbali za Serikali na wana...
Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama .
Kawaida...
ali kibao
ally kibao atekwa
ally kibao auawa
amos makalla
chadema
dhidi
dhihaka
kibao
kifo
mohammed
mohammed ali kawaida
mwenyekiti
radhi
taifa
uvccmuvccm taifa
wajibu
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Tanga wa CHADEMA Husein Ally jana Sep 5, 2024 alichukuliwa na Mwenyekiti wa UVCCM pamoja na green gurd ambao walimpeleka ofisi za CCM Masiwani Ground wakampiga. Baada ya hali kuwa mbaya inasemekana waliwaita polisi kumchukua, viongozi wengine wa BAVICHA walipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.