uume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BarakaMkekusi

    Aliyefanikiwa kutumia dawa za kuongeza uume nahitaji msaada

    Aliyewahi tumia dawa za kuongeza uume na kufanikiwa nahitaji anipe recommendation. Kama hutaki kucomment unaweza kuja PM Kama hujawahi tumia tafadhali achana na hii thread 🤣🤣 Ushauri wa kipuuzi sihitaji. Side effects nazijua kwahyo sitaki comment zakijinga
  2. Mhaya

    Fahamu kuhusu Uume Kuvunjika (Penile Fracture)

    Leo wanajamiiforum tuzungumzie kuvunjika kwa Uume "Mbolo" ambayo kitaalamu uitwa Penile fracture hii hali uwa ni yenye kuhitaji Matibabu ya dharula au haraka yani ni medical emergency 🚨— ingawa ya jina hilo, lakini hakuna Mfupa ndani ya uume. Hii hali inaweza kukutokea ukiwa unaichapa au huko...
  3. M

    Uume na korodani ngozi inababuka sana inatoa magamba magamba kama nyoka. Msaada wa dawa

    Msaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua...
  4. MamaSamia2025

    Uume unaosimama vizuri ni suluhisho la changamoto nyingi kwenye ndoa/mahusiano

    Wanawake wanakuwaga na changamoto za hapa na pale zisizotabirika ila kupitia uume uliosimama vyema huwa tunawatuliza kupitia lile tendo. Mwenye visirani visivyoeleweka dawa yake ni mtinyama. Piga mashine kisawasawa. Kijana tunza sana afya yako ya uzazi. Jiepushe na punyeto. Kaa mbali na porn...
  5. M

    Uume hausimami baada ya kutumia tadalafi mara 40 kwa miaka 3 wakati Tofauti Tofauti

    Habar wakuu,ushauri wenu mim Nina miaka38 kwakipindi kirefu nlikua na changamoto ya nguvu zakiume kuwa ndogo wakat mwingine uume kushindwa kusimama wakati wa tendo, Sasa katika kuhaingaika sana mahospital miaka3 iliyopita nkakutana na Prof wa urology akapima Kila kitu hakuona shida,akashauri...
  6. Inside10

    Arumeru: Akatwa Uume na Mkewe kisha kutupwa uvunguni mwa Kitanda Usiku Manane

    Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Baraka Melami (40) mkazi wa kitongoji cha juhudi kijiji cha Olevolosi kata kimnyaki wilayani Arumeru Mkoani Arusha amekatwa uume wake na mkewe anayejulikana kwa jina la Anna Melami miaka (30) usiku wa kuamkia tar 19 saa saba usiku. Akisimulia kisa hicho...
  7. VictoriaGreenHerbal

    Nawezaje kuongeza uume bila madhara?

    NAWEZAJE KUONGEZA UUME BILA MADHARA? Wanaume wengi wamekuwa wakijiuliza: “Je, inawezekana kweli kuongeza uume angalau inchi moja au mbili bila madhara?” Jibu ni NDIO. Lakini kwanza lazima ujue chanzo cha tatizo lako. Mara nyingi linatokana na urithi wa kimaumbile, tohara ya utotoni, maradhi...
  8. VictoriaGreenHerbal

    Kwanini Uume Unashindwa Kusimama Vizuri Baada ya kufikisha Miaka 30?

    Kupiga punyeto (kujichua) mara nyingi huchukuliwa kama kitu cha kawaida, lakini ukweli ni kwamba ni tatizo linalosababisha madhara makubwa kiafya na kisaikolojia. Watu wengi wanaozoea kufanya hivi hawaoni dalili mapema, lakini baada ya muda hujikuta wakipoteza nguvu za kiume wakifika miaka 30...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Uume wako sio rafiki yako zaidi ni adui yako mpaka ujifunze kuudhibiti

    UUME WAKO SIO RAFIKI YAKO. NI ADUI MPAKA UJIFUNZE KUUDHIBITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli * Uliwahi kujiuliza Kwa Nini siku hizi huwezi kujisimamia? Huwezi kujiamrisha? Maisha yanahitaji Malengo, malengo huhitaji Mipango na mikakati, Mikakati huhitaji Focus, nidhamu. Nidhamu...
  10. Mme Mwenza

    Ukweli kuhusu "Kibamia'

    Habari zenu! Kuna hofu inazidi kutanda dhidi ya wanaume wengi kuhofia maumbile yao ya uume. UKWELI NI KWAMBA.. Maumbile ya uume yapo sawa ondoa hiyo hofu. Yapo sawa kivipi...? maumbile ya mwenza wako. mrefu,mfupi au mnene. unavo mtreat au sex style zako. Mf. mwanaume ni mfupi, akisex na...
  11. Dr isaya febu

    Uume kulala baada ya bao la kwanza

    Ni kawaida kwa wanaume wengi kushuhudia uume “kulala” au kulegea mara tu baada ya kumaliza tendo la kwanza la ngono (kufika kileleni / kumwaga shahawa). Hali hii husababishwa na mabadiliko ya kimwili na homoni baada ya kufika kileleni (kumwaga shahawa). Lakini kwa wanaume wengine, inaweza kuwa...
  12. Tumbili in town

    Tatizo la uume kusimama moja kwa moja

    Niaje wajuba! Kuna jamaa yangu hapa uume / warhead yake imesimama moja kwa moja Leo ni siku ya tano anashindwa afanyaje, Mkasa upo hivi alikula demu wa jamaa lwa kumhonga Hela tangu siku hiyo haijalala, uzuri kinachomsaidia ni kwamba jamaa ana kibamier, Mpeni ushauri mwanetu
  13. W

    Kuchelewesha kutahiri mtoto wa kiume ili asiwe na maumbile madogo ni ujinga, ukubwa wa uume unafuata asili ya baba mzazi

    Kuna imani potofu kuwa kutahiri mtoto akiwa mdogo husababisha uume kuwa mdogo ukubwani, au kwamba ukichelewesha, uume utakua zaidi, hii si kweli. Nchi kama Marekani yenye watu wa asili nyingi na kutahiri wavulana wakiwa wachanga ni mfano mzuri sana. Wamarekani weusi wengi licha ya kutahiriwa...
  14. Los santos

    Nimejibana na zipu kwenye uume

    Habarini wadau ,nilikuwa nimeenda kujisaidia haja ndogo sasa katika haraka haraka za Kuwai nikajibana na zipu ngozi ya chini ya uume na katika kutumia nguvu kutoa nikasababisha msuguano ambao umeleta kidonda Sasa nataka mnisaidie nitumie mbinu gani pakauke mapema ,manake naona nikienda kuoga...
  15. Damaso

    Fahamu kwa uchache kuhusu Uume wa nyangumi

    Huu Ni Uume wa nyangumi aina ya blue whale, na ndio unaaminika kua Ni uume mrefu kuliko Uume wa kiumbe chochote kilicho hai duniani. Unafikia urefu wa inchi 94.45, sawa kabisa na urefu wa futi 8 au mita 2.5 Yaani uume tu wa nyangumi umempita urefu mchezaji wa mpira wa kikapu wa kitanzania...
  16. Dalton elijah

    Watano waongezewa nguvu za kiume Hospitali ya Benjamini Mkapa

    Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) imesema kati ya asilimia 40 hadi 50 ya wanaume wanakabiliwa na tatizo la nguvu za kiume, huku wengi wakifika hospitalini hapo kutafuta huduma ya upandikizaji wa uume. Mkurugenzi Mkuu wa BMH, Prof. Mabere Makubi, akizungumza leo Machi 4, 2025 jijini Dodoma...
  17. Godinho7

    Msaada wa dawa ya fangasi sehemu za siri

    Habari Ndugu, Mara nyingi nimekuwa nasumbuliwa na muwasho kwenye kichwa cha Uume , Nikipima mkojo naambiwa fangasi nyingi kwenye mkojo. Je, Dawa yake nini?
  18. TUKANA UONE

    Kama umeukaribisha mwaka mpya wa 2025 Kwa kunyonya Uume au Uke inapaswa utambue umeshajipalia Mikosi ya mwaka mzima!

    Huo ndiyo ukweli ukubali ama uukatae! Janamke au Janaume ambalo hulijui umekutana nalo tu huko kwenye Viwanja vya starehe,tambua limekuachia Mikosi ambayo itakuandama mwaka mzima ! Kibaya zaidi ili uonekane unayaweza mambo ukaona umlambe na kumnyonya Uke au Uume! Your finished my friend,huu...
  19. R

    Wakati nyoka na mijusi dume wana uume mbili (hemipenes), ona maajabu matatu ya kipekee kwa majike!

    AJABU LA KWANZA: Haijalishi nyoka au mijusi majike watajamiiana na madume mangapi, lakini wana uwezo wa kuamua ni yai la dume yupi ndio lirutubishwe. Yaani, watajamiiana na madume hata mia mbili, lakini wataamua mfano yai la dume wa hamsini aliyempanda, ndio litakalorutubishwa. Kama jike...
  20. Y

    Kutoka damu kwenye uume

    Habarini Wana JF Kama mada inavyosema kwa siku ya Jana nilikua nipo kwenye shoo na mtoto mzuri Sasa katika purukushani za yeye kukwepesha mzigo nikajikuta nimeigongeza pembeni Yani njee ya tundu ambapo baada ya mdaa damu zilianza kutoka ila nikiangalia kwa njee nipo vizuri na inasimama ila...
Back
Top Bottom