utumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutohama kwa taarifa za Utumishi baada ya kuhamia Halmashauri nyingine

    Mimi ni mwalimu, Nimehama kutoka halmashauri A tangu mwaka 2024 na sasa nipo halmashauri B lakini mshahara na taarifa za utumishi bado zinasoma halmashauri A. Na wanaohusika kuhamisha hizo taarifa ni TAMISEMI na kila ninapowapigia simu majibu ni yaleyale kuwa watahamisha lakini hawajahamisa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali kuhuisha sheria ya Utumishi wa Umma, sura ya 298. Wale waliokuwa wanalipwa mishahara binafsi wajiandae

    Wakuu habari, Kwa taarifa za chini chini, Serikali inaenda kuhuisha sheria hizo kupitia Ofisi ya waziri Mkuu... Kumbuka sheria hasa ya mishahara binafsi inaenda kufanyiwa marekebisho; kuanzia mwezi wa saba watu watapunguziwa mishahara yao.
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Utumishi wa Umma na TAMISEMI mtutendee haki katika Suala la UHAMISHO WA WATUMISHI

    Unakuta mtu una Cheti cha ndoa, umeshathibitishwa kazini, ukiomba uhamisho unakataliwa na kuambiwa uombe kwenye mfumo. Mfumo ukiomba haukuruhusu eti mpaka miaka mitatu. Hii ni kinyume na haki za binaadamu. Mnataka tuishije tunapokuwa mbali na ndoa zetu? Mamlaka husika naomba litende haki Kwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Written Interview za Utumishi matokeo yake ni unfair. Kwanini mfumo hautoi matokeo moja kwa moja unapo-submit mtihani?

    Written interview za online ni unfair kwa sababu mifumo ya mitihani ya online huwa inaleta matokeo moja kwa moja punde tu unapomaliza kujibu mtihani, kwanini mfumo wa Utumishi haujatengenezwa hivyo? Hiyo inatuaminisha kwamba Matokeo hayo sio ya haki ni batili, ya kupangwa. Tunaomba mfumo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Waziri wa UTUMISHI afanye ziara kama Waziri Mkuu, Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri nyingi ni 'Miungu Watu'

    Tumeona ziara ya Waziri Mkuu ikitupa picha halisi juu ya uzembe na kutokuwa na uwajibikaji wa uwazi katika Ofisi za Umma. Tunaomba pia Waziri wa UTUMISHI (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) angeanza ziara ya kupitia hususani katika Halmashauri zote...
  6. JamiiForums Tanzania Utumishi- kuitwa kwenye interview ya kuandika kwa njia ya mtandao -MDA's & lga's - Accounts assistant ii (12/3/2026)

    Tukutane hapa tupeane experience, waliowahi kufanya Interview written ya ACCOUNTS OFFICER II kwa njia ya mtandao.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Naweza vipi kurudi kwenye utumishi wa umma iwapo niliacha mwenyewe kazi?

    Nikiacha kazi mwaka 2015 kutokana na sababu za kiafya na nikapokea mpaka mafao yangu ya PSPF. Lakini sasa nimekuwa fit na naweza kufanya kazi kama kawaida. Nilijaribu kuandika barua utumishi kuomba kurudi maana nilikuwa nikiomba kazi naambiwa nina check namba hivyo siwezi ajiriwa na mimi...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tume ya Utumishi wa Walimu itusaidie Walimu wa somo jipya la Business Studies, hatujui hatma ya mikataba yetu

    Mimi ni moja ya Walimu wenye professional ya biashara tulioajiriwa kufundisha somo jipya la Business Studies ngazi ya Shule za Sekondari. Kutokana na kwamba hatuna professional ya Ualimu tulishindwa kupata TSC no, hivyo tukashindwa kupata mikataba full ya ajira baadhi tukiambiwa tukasome...
  9. JamiiForums Tanzania Kipi Kinachoendelea nyuma ya michakato ya ajira katika Utumishi wa Umma?

    Vijana wengi wamekuwa wakipitia msongo mkubwa wa mawazo wanao sababishiwa na hii sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma na haya ni baadhi ya maswali wanayo jiuliza bila majibu 1; Inakuwaje nafasi za kazi zinatangazwa na watu wanajitokeza kufanya usaili lakini zoezi la kuwapangia vituo...
  10. JamiiForums Tanzania Chawa Philosopy: Serikali Awamu ya 6 inaweza kutoa tamko la kupiga marufuku kuwashangilia au kuwaenzi wastaafu wenye utumishi uliotukuka!

    Siyo siri, serikali ya Awamu ya 6 ina matatizo ya kukubalika na jamii. Sitaingia katika sababu za kufikia hapo. Lakini wakati wa msiba wa baba Yetu Cardinali Pengo, imejidhihirisha wazi kuwa watu wanajua viongozi wanao wapenda. Kwa kushangiliwa kwa upendo na bashasha kubwa Mpango, Makamu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Watumishi wapya wa serikali wanakaribishwa kwenye utumishi kwa kuambiwa wakawe wafanyabiashara

    Kwa siku za hivi karibuni nimekutana na video kadhaa za Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka akiwa katika warsha ya kuwakaribisha watumishi wapya wa umma. Cha kushangaza, video hizo zimejaa mafunzo kwa watumishi hao jinsi gani wanaweza kuwa wafanyabiashara na wakulima. Sijaona mafunzo ya...
  12. JamiiForums Tanzania Dress Code ya wanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma kwanini isiigwe?

    Mwaka jana nilimtimua ofisini binti wa field aliyekuja na sketi fupi iliyokuwa inabada mpaka mistari ya chupi zake zinaonekana. Nikamwambia akabadilishe ndio arudi ofisini. Januari nilienda ofisi moja ya umma kufanya kazi, moja ya afisa aliyetuletea nyaraka alikuwa amevaa jinsi ya kubana mpaka...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ahadi hewa ya Utekelezaji wa Muundo wa Utumishi kwa Sekta ya Afya (Kada ya Uuguzi na Ukunga) kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026

    JE ILIKUWA NI AHADI HEWA YA KUPITISHWA NA KUANZA UTEKELEZAJI WA MUUNDO WA UTUMISHI KWA SEKTA YA AFYA (KADA YA UUGUZI NA UKUNGA) KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 ILIYOTOLEWA NA OFISI YA RAIS – MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA MWEZI MEI 2025? Habari, Kwa masikitiko makubwa napenda...
  14. JamiiForums Tanzania Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI February, 2026

    Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI February, 2026) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025. UTUMISHI is a government organization responsible for recruiting and...
  15. JamiiForums Tanzania Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI January, 2026

    Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI January, 2026) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025. UTUMISHI is a government organization responsible for recruiting and...
  16. JamiiForums Tanzania Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI January, 2026

    Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI January, 2026) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025. UTUMISHI is a government organization responsible for recruiting and...
  17. JamiiForums Tanzania ESS Utumishi kwanini hamruhusu Loan Take Over? Mnatutesa wengi

    Wasalaam Aleykhum Ndugu zangu Ebwana mfumo huu mzuri wa kiutumishi umerahisisha mambo mengi kwakweli. Sie tunafanya mambo mengi wenyewe popote bila kwenda kuweka foleni katika mabenki kote huko bara na hapa Zanzibar pia LAKINI Changamoto ipo Sasa nkiwa bara nilitaka kuhamisha ama kuuza mkopo...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye ujuzi na utumishi. Nimepata kazi kwa kigezo cha diploma lakini nina degree

    Habari wakuu nimekuja kwenu kuomba uelewa nimeajiriwa na diploma lakn nina cheti changu cha degree bado sijakichukua chuoni naomba kujua je itachukua muda gan kazini hadi niweze kukitumia cheti cha degree na kisheria ya utumishi pia inasemaje ni kosa au, Kwa anaejua naomba maelezo niweze...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada Kwa wajuzi wa protocol za usahili katika Tume ya utumishi wa mahakama.

    .
  20. JamiiForums Tanzania Pikipiki kwa Miaka 39 ya Utumishi, hii sio heshima bali Kejeli

    Kauli ya Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, kuhusu kumuaga rasmi Bw. Mfaume Ramadhan baada ya miaka 39 ya utumishi wa umma imeibua mjadala mpana wenye maswali mazito kuliko majibu. Miaka thelathini na tisa si wiki mbili, wala si ajira ya muda mfupi. Ni karibu maisha yote ya mtu—ujana, utu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…