utumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Call for Interview Utumishi 2025: Ajira Portal, PSRS August, 2025

    Called for Interview UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) August, 2025 Job recruitment Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) on behalf of various government institutions would like to inform all job applicants who applied for a job that the interview is expected to...
  2. B

    Ajira za Utumishi

    Ninaomba msaada wadau ninapoandika barua ya maombi utumishi address yao lazima iandikwe kwa Secretary, PSRS?
  3. A

    Kulikoni website ya Utumishi haipost tena nafasi za mafunzo nje ya nchi

    Website ya Utumishi ilikuwa msaada kwa watumishi kuona nafasi za mafunzo yenye ufadhili nje ya nchi. Lakini mwaka huu hakuna mafunzo yanayoonekana kwenye sehemu ya mafunzo, post ya mwisho ni ya december 2024. Matangazo ya nafasi za mafunzo wamehamishia kwenye kurasa zipi?
  4. Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI August, 2025

    Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI August, 2025) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025. UTUMISHI is a government organization responsible for recruiting and...
  5. Utumishi Niliingia Oral Interview Lakini Bado Sioni Jina

    Nilibahatika kufaulu written interview ya kule sekreatieti ya ajira na nikafanya Oral interview. Lakini hadi sasa sijaiona jina langu kwenye mikeka inayotoka. Mwalimu wa Primary ngazi ya diploma, na pia naona kila mkeka unaotoka watu wa diploma ya primary wanatusahau kabisa ila wale wa...
  6. Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI July, 2025

    Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI July, 2025) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025. Talent sourcing solutions UTUMISHI is a government organization...
  7. GE2025 Polepole anageuka mbogo anapoulizwa maswali: Kinachomtesa ni kiapo chake cha utumishi wa umma, si barua

    Husika na mada tajwa hapo juu: Viapo vinanguvu sana nadhani nguvu inatoka ule mstari wa mwisho unaoposema "Ee Mungu nisaidie" Tunamuona ndugu yetu polepole anahangaika na press huku akigeuka mbogo pale anapoulizwa maswali magumu na waandishi wa habari hizi ni stress. mimi ninamshauri aombe...
  8. J

    Circular na waraka za utumishi wa umma kwanini zinafichwa?

    Habari Wana jamvi naomba kuuliza kwa wataalamu wa utumishi wa umma hususani Maafisa utumishi wa umma hivi Kuna haja gani ya kuficha waraka mbalimbali zinazowaongoza watumishi wa umma katika kudai haki zao kama vile uhamisho, kufanya recategorization, kudai malimbikizo ya mshahara na posho Ikiwa...
  9. Maafisa Utumishi na roho ya korosho!

    Hellow jamii, ni matumaini yangu mko poa na wazima wa afya njema sana. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwajili ya hilo. Guys, katika pita pita zangu vyuoni na taasisi mbalimbali nimekuwa nikiiskia hii kauli " MAAFISA UTUMISHI WANA ROHO MBAYA SANA" na hawaishii hapo wanaenda mbali kwa kutoa shuhuda...
  10. John Mnyika: Tumetaka Jaji ajitoe kwenye kesi yetu kutokana na Historia yake katika Utumishi

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akiizungumzia kesi Namba 8323/2025 ambayo inahusisha zuio la muda kwa Chama chake kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa itakapoanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu-Dar es Salaam. Kesi hiyo...
  11. Msaada wenu kwenye interview utumishi kada ya msaidizi wa hesabu II

    Msaada kwa wanaohitaji aptitude interview questions kada ya msaidizi wa Kumbukumbu II, nimeyaambatanisha maswali na mshindwe nyie tu.
  12. M

    Waliowahi kufanya oral & written interview kwa kada ya public Administration utumishi, interview zao zikoje?

    Hello Guys I hope you are doing well, naomba usaidizi kwa swali nililoulza hapo juu. Natanguliza shukran.
  13. Matokeo ya admission officer ii utumishi yametoka

    Japo sijachaguliwa kwa kuendelea na hatua inayofuata kwa sababu ya uchache wa watu wanaohitajika,lkn naamini uwezo ninao...ni suala la muda tu,huenda mambo yakakaa sawa siku moja. Mimi ni huyo number 57 hapo nimepata 91% but NOT SELECTED Tuzidi kukaza wadau, better days are coming.
  14. Materials za maandalizi ya Interview za PSRS UTUMISHI (Civil Engineers)

    Habari ndugu wana JF. Mimi ni muhitimu wa B. Eng (Civil), mwaka 2024. Nakiri kuwa sijawahi kufanya interview yeyote utumishi hata sehemu nyingine. Nawaombeni wale mabraza na dada zangu na wakubwa zangu wengine waliopo kwenye fani hii na wana uzoefu na interviews katika nafasi zinazotangazwa...
  15. Singida: Halmashauri ya Mkalama yafafanua madai ya baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kuchelewesha vibali vya Uhamisho

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika Baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi wanashikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI Halmashauri imetoa ufafanuzi kuhusu hoja hiyo... TAARIFA KWA UMMA YAH: UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA POTOFU INAYOSAMBAA...
  16. K

    DOKEZO Responded Baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi wanashikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI

    Mimi ni Mtumishi X kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Singida, kumekuwa na tatizo la Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kushikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI. Mtumishi akienda kudai wanatoa maneno makali au wakisema kuwa barua hizo bado hazijawafikia...
  17. A

    Malalamiko kwa tume ya Utumishi wa umma

    Ajira portal wanaendesha usaili ambao haujakidhi vigezo kuchuja wanaogombania nafasi. Kuna usaili ambao umefanyika jumamosi ya tar. 31/06 ambapo moja ya mwajiri ni makumbusho ya Taifa. Kwenya nafasi ya wahifadhi daraja la pili kulingana na tangazo mwombaji alitakiwa kuwa na shahada ya biolojia...
  18. Kwa nini ajira za TRA zinakiuka kanuni za utumishi? Je, wako juu ya sheria?

    Amani iwe nanyi! Ajira zote za serikali husimamiwa na Sekretarieti ya Ajira, ambapo baada ya mchakato kukamilika, majina ya waliopangiwa vituo hutolewa katika tovuti ili kila mmoja kuona. Hii imekuwa tofauti kwa TRA, ambao walianza vizuri kwa kutoa majina ya walioitwa kwenye usaili. Cha ajabu...
  19. Hivi mnataka kuniambia hakuna mtu amewahi kufanya written ya admission officer ii utumishi humu jukwaani?

    Wadau tunauliza mara kwa mara but hakuna anaetoa jibu,mnataka tufeli ndo mfurahi? Kuna paper 14/06/2025. Tupeni muongozo bwana.
  20. K

    Kuzuiliwa kuingia kwenye usaili utumishi

    Habari zenu wakuu. Ndugu yangu amezuiliwa kufanya oral interview kwa sababu ya utofauti wa majina. Majina kwenye vyeti vya taaluma na Nida yapo sawa. Jina lake katika cheti cha kuzaliwa lipo tofauti kidogo. Kaenda na Affidavit ya kukonfirm kua majina yote hayo ni yake. Written interview...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…