utu uzima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kujichua ni kawaida na afya. Watu wengi huendelea nayo hadi utu uzima ila pale inapokuwa uraibu hadi kususia sex na majukumu basi shida unakuta ni hii

    Sio kwamba eti ni punyeto ndio imefanya umeaanza kuona hakuna utamu katika sex , no , ni afya ya akili ndio director wa hii movie, unakuta mtu anachakata mikono kila muda kwa kutumia energy zake zote na akifanya hivi akili yake hutulia tuli kuliko kama angepata jagina. Usicheze na kitu kinaitwa...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania China: Marufuku kwa walio chini ya Miaka 18 kushiriki Mambo ya Dini

    Dini ni sehemu kubwa sana ya maisha ya mwanadamu. Katika jamii zetu nyingi za Kiafrika, mtoto anapozaliwa tu, huanza kufundishwa misingi ya imani ya wazazi wake. Lakini je, ushawahi kujiuliza inakuwaje pale Taifa linapoamua kwamba masuala ya imani yasiwahusishe kabisa watoto mpaka wafikishe umri...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Utu uzima huanzia miaka 32

    Utafiti wa Cambridge umebaini jinsi ubongo unavyokua kutoka utotoni hadi uzeeni, ukiorodhesha “hatua” tano tofauti za ukuaji na mabadiliko manne makubwa katika umri wa miaka ya 9, 32, 66 na 83. Ukipinga wazo kwamba utu uzima huanza kabla ya miaka ishirini au ishirini na zaidi, wanasayansi...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni wachezaji gani wa soccer walikukosha katika kila kipindi cha utoto wako, teenage yako na utu uzima wako?

    Upande wangu: Utoto: David Beckham Teenage: Christiano Ronaldo Utu Uzima: Mbappe Karibuni.
  5. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Utu Uzima Feki: Kukua kwa Umri Lakini Kukwama kwa Nafsi

    Asubuhi hii ya Pasaka, tunapoamka tukisikia mlio wa mataifa ukisherehekea ushindi dhidi ya kifo, tunakumbushwa kuwa Pasaka haimaanishi tu ufufuo wa Yesu, bali pia ni mwaliko wa kufufuka kwetu—kiroho, kiakili, na hata kijamii. Katika mwangaza huu wa asubuhi takatifu, tunapaswa kutafakari: Je...
  6. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Hatua anazopitia binti wa kisasa kutoka usichana hadi utu uzima

    Zifuatazo ni hatua ambazo mabinti wa kisasa a.k.a watoto wa 2000 wana possibility kubwa kupitia kwasababu hata dada zao watoto wa 1980’s na wa 1990’s wamepitia tayari na sasa wanalipia hesabu yao ya kukengeuka kama wendawazimu. UMRI KUANZIA MIAKA 16 HADI MIAKA 26. Hii ndio stage nyeti na...
  7. Peter Mwaihola

    JamiiForums Tanzania Utu uzima umebadili mtazamo wangu kuhusu mafanikio

    Nikiwa chini ya miaka 20 nilikuwa nawaza sana mambo makubwa makubwa umasikini na shida niliona kama vitu vya kupita. Nilikuwa najiuliza na kushangaa sana inakuwaje mtu anaishi mpaka anafika miaka 30 hana nyumba, hajaoa hata hawazi kununua gari? Huo ni uzembe bwana nilijijibu mwenyewe. Sikuwahi...
  8. je parle

    JamiiForums Tanzania Shikamoo zimekuwa nyingi mpaka nahisi utu uzima mbona mapema sana

    Ndugu zangu wana Jamiii hizi shikamoo kutoka kwa vijana wa dogo wa form 4 au wa vets zimekuwa nyingi mpaka nachanganyikiwa .inafika kipindi naitika kwa kuibia ibia mana nahisi kama bado sio mkubwa kivile wa kupewa shikamoo za kila mara.kwahiyo sasa wakuu tunafanye kuepuka hizi shikamoo? Au...
Back
Top Bottom