uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kwanini Rais ameteua Mkuu wa Mkoa kutoka chama kidogo na kuacha vikubwa?

    Ni jambo la kushangaza. Oooh tutateua kutoka vyama vya upinzani pia Sasa nauliza kwanini usimteue Lema, Msigwa, Sugu au Lissu? Au hawa sio wapinzani?
  2. W

    Uteuzi wa Wakuu wa Mkoa umekaa kimkakati, Hongera sana Rais Samia

    Nimpe Hongera Rais wetu mama Samia Suluhu, kwa teuzi za wakuu wa mikoa alofanya. Nimependa kwani imekaa kimkakati zaidi na hasa kwa kuangalia uwezo na kushabihiana kwa wasifu wa wakuu hao na mikoa waliopangiwa. Mfano kwa uchache: Mhe. Makala kupangiwa Dar, huyu ni mtu wa shughuli, na ni...
  3. B

    DPP mpya Slyvester Mwakitalu ni muumini wa mamlaka ya DPP kunyima watu dhamana, atabadilika?

    Wakili Mwanadamizi Slyvester Mwakitalu ni moja ya Mawakili waliokuwa chini ya DDP aliyepita na ambao walisimama kidete kutete Jamhuri kuhusu watuhumiwa kunyimwa dhamana. Alisimama kwenye kesi ya wakili Mwenzake Tenga katika review ya Mahakama Kuu nakusimamia haki ya watuhumiwa kunyimwa dhamana...
  4. Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

    Salaam Wakuu, Huu ndo uteuzi rais kafanya. Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Bw. Mwakitalu kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP), Hamduni Mkuu wa TAKUKURU, Amos Makala kawa mkuu wa Mkoa wa Dar, Kafulila kawa mkuu wa Mkoa Arusha, Chalamila kawa mkuu wa Mkoa Mwanza, Queen...
  5. Uteuzi wa Biswalo ni kutonesha kidonda cha Umma, lakini akapumzike salama

    Uteuzi wa Biswalo Mganga umeniumiza na kunikumbusha maumivu ya taifa hasa kwa wanaharakati, Wafanyabiashara, na yeyote aliyekuwa kinyume na utawala wa Mwendazake, Biswalo alikuwa mkono imara wa mateso ya Watanzania, huyu alikuwa wino halisi wa kitabu cheusi cha utawala uliopita. Biswalo ni roho...
  6. B

    Mwalimu Mishael Muze alikataa uteuzi wa Rais ili aendelee na kazi ya Ualimu

    Wengi wamekuwa wakiuliza kama kuna Mtanzania mwenye ujasiri wa kukataa uteuzi wa Rais. Ukweli ni kwamba wapo na imepata kutokea kwa Mwalimu Mishael Muze ambaye alikataa uteuzi wa kuwa mkurugenzi wa maendeleo na kuendelea na kazi yake ya Mkuu wa Shule ya Sekondari Mwenge Mkoani Singida...
  7. TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

    Rais Samia amefanya teuzi za Majaji wa Mahakama wa Rufani, Mahakama Kuu na Kumwongezea muda Jaji Mahakama ya Rufani.
  8. Uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu kupingwa Mahakamani, Yadaiwa hana Maadili, zuio la kuapishwa kwake laandaliwa

    Nimesoma uteuzi wa Majaji uliofanywa na Mh Rais ,nimeelekeza Mawakili wangu waweke pingamizi mara moja la kuzuia kuapishwa kwa aliyekuwa DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu,hana sifa wala maadili ya kuwa mwamuzi wa haki za Watanzania,anastahili kuwa jela au jehanamu. Mytake : NI AIBU...
  9. Zanzibar: Rais Mwinyi afanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali

    Rais Hussein Mwinyi amemteua Mshenga Haidar kuwa Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO). Vilevile amemteua Nassor Ameir kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF). Shariff Ali anakuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji (ZIPA) huku Suleiman Hamis...
  10. N

    Tofauti ya Mbunge wa Jimbo, Viti Maalumu na wa Uteuzi wa Rais kimaslahi ni vipi?

    Hivi wabunge wa viti maalum nao maslahi yao ni sawa na wale wa Jimbo? So Bashiru na Polepole nao wanakamata shilingi milioni 11?
  11. K

    Kalamu ya Mperembaji wa Rushwa kwa uteuzi wenye harufu ya Rushwa

    Viongozi walioteuliwa na Mwenyekiti wa CCM ni ishara kwamba hakuna kiongozi ndani ya chama hicho. Nianze na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, kwa kipindi chote alichokaa Ruvuma hakuna jambo unaloweza kusema amefanya lakiubunifu na lenye tija kwa mkoa huu. Leo hii unamteua akapange mipango ya chama, means...
  12. UTEUZI: Rais Samia Suluhu afanya teuzi za Wenyekiti wa Bodi, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi

    UTEUZI: Rais Samia Suluhu afanya teuzi mbalimbali za Taasisi
  13. Hoja binafsi: Vyama vya siasa viwe makini sana kwenye uteuzi wa wagombea wenza katika chaguzi zijazo ama sivyo Katiba imulikwe

    Wasalaam wakuu, Hili ni wazo langu tu kwaajili ya kuleta afya ya kiuongozi kwa Tanzania yetu ili kupunguza hatari za kiuongozi zinazoweza kutokea na nchi kujikuta ikiangukia kwenye mikono ya watu ambao hawakujiandaa kuwa kwenye nafasi fulani fulani za kiuongozi. Katiba yetu iko wazi jinsi...
  14. Ushauri kwa Rais juu ya uteuzi wa Wakuu wa Mkoa/Wilaya, Wakurugenzi /DED

    MH. RAIS , Numeona nitumie jukwaa hili kukupa ushauri wangu kuhusu kupanga safu mpya ya wakuu wa Mikoa, wilaya na wakurugenzi ( DED) . Ili ufanisi uwepo kwa serikali yako yakupasa kuondoa wachumia tumbo wote ( praise team ) ambao walikuwa tayari kujidhalilisha au kufanya maamuzi yeyote...
  15. Uteuzi BAKWATA wa Masheikh wa mikoa, Makadhi, Makatibu wa makadhi na makatibu mabaraza ya masheikh wa mikoa

    UTEUZI BAKWATA Masheikh wa mikoa, Makadhi, Makatibu wa makadhi na makatibu mabaraza ya masheikh wa mikoa wateuliwa Akiongea na waandishi wa habari leo, Msemaji wa samaha Mufti sheikh Khamisi Mataka amesema Baraza la Ulamaa katika kikao chake cha tarehe 04/04/2021 chini ya Mwenyekiti wake...
  16. Ushauri: Ili kulinda heshima yako Mataragio usikubali huo uteuzi wako, kataa waachie cheo chao

    Hii ni kwa sababu Mamlaka ya Uteuzi haikuamini tena na ndio maana nafasi yako akapewa mtu mwingine , Kilichotokea ni kwamba huyo aliyepewa nafasi yako ameonekana kituko , duni na hatoshi na ndio maana ametenguliwa ukarudishwa tena , hii haimaanishi wewe unafaa , jiongeze mwenyewe ndugu. Wewe...
  17. F

    Ushauri kwa Rais Samia: Nafasi za uteuzi wa Ma DED na wakuu wa taasisi amwachie Dkt. Mpango huku yeye akibaki na Ma DC, RC, Mabalozi nk

    Habari zenu Wana wa JF siasa. Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii. Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk...
  18. K

    Nawashauri CHADEMA iende mahakamani kupinga uteuzi wa wale wabunge 19

    Nawashauri uongozi wa CHADEMA kuwa sasa ni muda muafaka kwenda Mahakamani kupinga uteuzi wa wale Wabunge 19 walioingia Bungeni bila kufuata sheria, kanuni na taratibu. Ninaamini Sheria itachukua mkondo wake.
  19. Tusaidiane kujua katika uteuzi wa Jana wa makatibu wakuu wa wizara waliotenguliwa akina nani na ingizo jipya akina nani

    Great thinker tusaidiane kuchambua uteuzi uliofanyika Jana na Mh.Rais ili kutambua ingizo jipya ni akina na CV zao kwamba walikuwa wapi kabla ya uteuzi, na waliotenguliwa ni akina nano Nimeomba great thinker nikiamini huku ndio kunakopatikana habari za usahihi kiliko social media zozote,
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…