uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Uteuzi wa Viongozi Baraza la Manabii na Mitume Tanzania, Gwajima na mzee wa upako watajwa

    17 February 2023 Rais wa baraza la manabii na mitume Tanzania Dr. Joackim Peter Kimanza ... shalom waTanzania tupo mbele yenu katika uamsho wa kuwafikia watanzania mpaka ngazi za Vijiji.. kuweza kufikia hilo mimi kama rais wa baraza ninawateua wafuatao ... Toka maktaba :
  2. TASWA wampongeza Waziri Dkt. Pindi Chana kwa uteuzi, yatuma salamu kwa Simba, Yanga

    Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kinampongeza Dk. Pindi Hazara Chana kwa kuteuliwa na Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo mwanzoni mwa wiki hii. Pia TASWA inampongeza Said Othman Yakub kwa kuteuliwa na Rais Samia kuwa...
  3. UTEUZI: Antony Diallo, George Waitara wateuliwa Uenyekiti TANAPA na TFRA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu George Marwa Waitara kwa kipindi kingine kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) Anthony Diallo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania...
  4. Hongera Rais Hassan kwa uteuzi wenye ubora wa kimataifa wa Gilead Terri kuongoza TIC

    Hello hello JF Ikulu kuna watu na search committee inafanya kazi Mungu wa ajabu sana huyu Dogo Terri ni mnyama sana kichwani nimemuwazia sana na sikujua yuko wapi tangu enzi za TPSF akiwa na Simbeye na Shamte. I have been praying for him to be remembered to serve this country at some point...
  5. R

    Joti na Katiba Mpya; Wasanii na uteuzi, kilio cha maslahi

    Joti amebeza mchakato wa katiba mpya kwamba hauna tija; nimejiuliza msanii wa Tanzania anawezaje kuwatukana mashabiki zake Bila aibu? Kwamba Joti anajionaa anafaa kuwa DC? Anaona uchawa unalipa? Na kwamba hapo alipofiko ndo mwisho? Mhe. Rais anataka watu wanaosema ukweli siyo wanafiki; wasanii...
  6. Public Servant kukataa uteuzi wa Rais, not only embarrassment, but also insubordination of the Highest Order! They deserve summary dismissals

    Kitendo cha public servant kukataa uteuzi wa Rais wa nchi, it's not only ni kitendo cha kumu embarrass the appointing authority ambaye ni rais wa nchi, but also ni kitendo cha Insubordination of the highest order or degrees!. Wahusika hao, they deserves summary dismissals with no right to...
  7. Ipo changamoto katika mamlaka ya Uteuzi

    Wasalaam. Baada ya sintofahamu ya baadhi ya Wateule kukataa kuapishwa katika nafasi waliyoteuliwa, kumezuka na maswali na minong'ono mingi isiyo na sababu. Lakini, yote haya yamesababishwa na kuwepo kwa mawasiliano hafifu baina ya upande wa uteuzi na yule aliyeteuliwa. Kwa akili zangu...
  8. Mamlaka ya uteuzi iwe makini na uteuzi wa Mawaziri wa maeneo haya

    Wasalaam JF, Nitoe rai na angalizo kwa maslahi mapana ya usalama, ulinzi yazingatiwe, vizazi na vizazi vya hao watu na iwe Mvua, iwe jua, iwe mbalamwezi iwe Giza totoro, kuchunguza muhimu sana, sina wivu na mtu bali kwa maslahi ya taifa, utaifa na uzalendo. Sio kila mtu ni wa kumpeleka wizara...
  9. Mamlaka ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya izingatie kupandisha vyeo Makatibu Tawala na Makatibu Tarafa, isiokoteze watu kiholela

    Hello hello JF, Utii na heshima kwa Jamhuri ni pamoja na katika jambo lolote kuambatanisha ujumbe wenye maudhui yaliojaa lugha ya utii, heshima na unyenyekevu mkubwa iwe ni katika kukubali au kukataa jambo lolote. Uteuzi wa wakuu wa wilaya ufuate utamaduni wa consultations, ama kupandisha vyeo...
  10. Je, unaweza kuacha mshahara wa milioni 7.8 na kuwa Mkuu wa Wilaya anayelipwa milioni 3 kwa mwezi?

    Mambo yamekuwa mambo. Wewe ni mtumishi wa taasisi fulani unalipwa mshahara wa Tsh.Mil.7.8 Unateuliwa kuwa DC ili upate mshahara wa Tshs mil.3 na shangingi Je, utakubali teuzi au utakataa?
  11. S

    Watanzania bado tuna akili mbovu ya kuona uteuzi ni kuula na sio kutumikia taifa, huku tukibariki ufisadi

    Nimewahi kulizungumzia hili, na nitalizungumza tena. Watanzania bado tuna akili mbovu sana ya kuuona uteuzi kama fursa ya "kuula" au kufaidika kibinafsi. Tunalaumu ufisadi, huku mtu anaefanya kazi TRA asiponunua gari miaka miwili baada ya kuanza kazi tunamwona mjinga! Ni wazi kwamba kama jumuia...
  12. Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth Maganga wadaiwa kukataa uteuzi

    Salaam Wakuu, Japheth Maganga aliyetuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera akataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya alioteuliwa na Rais Samia hivi karibuni. Japhet kasema, baada ya Kushauriana na Familia yake, alimuandikia rais Samia kumshukuru kwa kumteua pia na kumuomba atengue uteuzi...
  13. Ili nipate uteuzi ni lazima kuwa kada wa CCM au niwe Chawa wa Mama?

    INTRODUCTION Eeh bwana ehh habari zenu Nikiri Mimi sio shabiki kabisaa wa siasa. Yaani sina Kadi ya chama chochote na sifikirii kuwa na Kadi ya chama chochoteee kileee. Na kifupi huwa sifatilii zile habari za siasa zaidi ya hizi ambazo zinapostiwa insta kwenye page za habari za labda msingwa...
  14. Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao. Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 100 ambao ni kama ifuatavyo: A)...
  15. Uteuzi - Waliomo Raha na karaha

    Moshi/mikoani. Joto kwa wateule wa Rais linazidi kupanda baada ya mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan kukamilisha kuunda safu ya uongozi wa juu wa chama hicho huku akiendelea kutimiza ahadi yake ya kuisuka upya Serikali. Kufuatia ahadi hiyo ambayo haijulikani ukomo wake, baadhi ya...
  16. UTEUZI: Rais ateua Wenyeviti wa Bodi LATRA, Airtel na Tume ya Haki za Binadamu

    Prof. Ahmed M. Ame ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (LATRA). Amemteua Eliud Betri Sanga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Airtel Tanzania akichuku nafasi ya Gabriel Malata aliyeteuliwa kuwa Jaji. Jaji Mstaafu Mathew...
  17. J

    CCM yafanya Uteuzi wa Viongozi wa Sekretarieti ya Taifa Chongolo Katibu Mkuu Sophia Mjema Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi akichukua mikoba ya Shaka

    HII HAPA TAARIFA RASMI TOKA CHAMA CHA MAPINDUZI ( CCM )
  18. R

    Ili kuondoa ukakasi wa teuzi zinazofanywa, uteuzi wowote unaofanywa uoneshe sheria iliyotoa mamlaka ya kuteua

    Kukosekana Kwa sheria inayotoa mamlaka ya kuteua kunawafanya watendaji WA Ofisi ya Rais kutokutumia nguvu Sana kutekeleza majukumu yao. Endapo Rais atamtaka Zuhura Yunusu kuweka katika press zake za kuteua na kutengua vifungu vya Sheria au katiba basi washauri WA sheria ofisini kwake Watakuwa...
  19. Tulimuona Kafulila mjinga, kumbe kusifu unalamba uteuzi

    Wengi tulimwona chizi,wengine tufikiri anakaribia kupelekwa Mirembe. Kumbe Kafulila alishausoma mchezo ni mwendo wa kusifu na kuimba mapambio yenye sifa na utukufu. Na mimi Ngongo nalianzisha, Mama anaupiga mwingi. Hakuna kama Mama. 2025 ni yeye tu hakuna mwingine. Uchumi umepaa kipindi cha Mama.
  20. Je, kukataa uteuzi wa Rais kunaweza kuchukuliwa kama uhaini?

    Kuna baadhi ya kada huapa kiapo cha utii kwa Rais. Je, iwapo ikatokea mtu mwenye kiapo hiki amegomea uteuzi alioteliwa na Rais, je anaweza kuchukuliwa kama mhaini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…