utekaji nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    Jeshi la Polisi linaendeleza hofu ya utekaji nchini

    Tukio la kukamatwa kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Malori Tanzania (TATAMATA), Godlove Materu limerejesha hofu ya utekaji nchini, kutokana na mtindo wa ukamataji unaofanywa na Jeshi la Polisi nchini. Materu Materu (45), ambaye ni mkazi wa Chapwa, Mji wa Tunduma, Wilaya ya...
  2. Genius Man

    D25 wananchi tutaandamana kushinikiza usitishwaji wa mauwaji na utekaji nchini sisi hatukubaliani nayo na lazima wahusika tuwawajibishe

    D25 wananchi tutaandamana kushinikiza usitishwaji wa mauwaji na utekaji nchini sisi hatukubaliani nayo na lazima wahusika tuwawajibishe
  3. M

    Askofu Gwajima: Watekaji wana nguvu kuliko vyombo vya dola

    Askofu Gwajima amesema hakubaliani kabisa na utekaji. Ameongeza kuwa watekaji sasa hivi waa ujasiri wa kukupigia simu na kusema watakuteka, na watu watakusahau. Kuna watu wamekimbia nchi kwa kuogopa kutekwa. Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
  4. Mhaya

    Watanzania Waishio Marekani Waandamana Kupinga Utekaji Nchini Tanzania

    Watanzania waishio Marekani wameandamana hii leo kupinga vurugu na utekaji, wakishikilia mabango yenye bendera ya Tanzania
  5. R

    Mbatia amuuliza murilo: Kwa moyo wako, moral inner ssense hujui wanaoteka?

    Sikiliza kwa makini hoja ya Mbatia kuhusu polisi na utekaji NA MAJIBU YA mULILO https://www.youtube.com/watch?v=HFAXCAzPP7c
  6. Waufukweni

    Bashungwa alikumbusha Jeshi la Polisi kukomesha matukio ya utekaji nchini

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuendelea kuzingatia maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha linashughulikia masuala ya jinai ikiwemo kukomesha matukio ya utekaji nchini. Mbali na hilo, ameliagiza jeshi hilo kudhibiti...
  7. M

    Mwanaharakati kutoka Kenya anayeishi na kufanya kazi Tanzania adaiwa kutekwa

    A Kenyan activist working in Tanzania has allegedly been abducted. --- Kwa mujibu wa Mwandishi wa BBC Isabella Kituri, mwanaharakati Mwabili Mwagodi ametoweka akiwa nchini Tanzania. Kituri alieleza kuwa juhudi za mwajiri wake kutoa taarifa ya kutoweka kwa Mwabili zilikataliwa na polisi kwa...
  8. W

    Tujikumbushe: Magufuli alivyokemea matukio ya Utekaji nchini 2019

    Magufuli alisema Watanzania wanajua kuchambua mambo na lilipotokea tukio la kutekwa kwa Mo zilikuja habari nyingi kwamba waliohusika na utekaji ni Wazungu wa aina fulani lakini suala hilo lilipomalizika liliacha maswali mengi zaidi. Aliongeza kuwa walijaribu kulichoma moto gari lakini baadaye...
  9. M

    Sheikh Ponda alivyoeleza ukubwa wa tatizo la utekaji nchini.

    Gwajima yuko sahihi sana, alichokieleza siyo taarifa mpya kipya katika jamii. Taasisi na watu mbalimbali influential ikiwemo TLS, Shura ya maimamu, Maaskofu wamelipigia kelele sana hili tatizo la utekaji nchini. Hapa chini ni Sheikh Ponda akiwa katika kongamano la TLS akieleza ukubwa wa tatizo...
  10. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Luhaga Mpina: Rais hana kinga ya kutokosolewa. Watu wanatekwa ninyi mnapongezana, wanaoikosoa serikali wasizuiliwe

    CCM Kuna Watu wachache Wazalendo kwelikweli, Juzi alisiamam Dr Gwajima , Leo kasimama Mwanasiasa machachari , Luaga Mpina ============== Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameibuka na kukemea vikali vitendo vya utekaji vinavyoendelea kuripotiwa nchini Tanzania, akitaka uwajibikaji wa...
  11. Papaa Mobimba

    PreGE2025 CHADEMA Serengeti kuandamana ili kupinga vitendo vya utekaji vinavyoendelea nchini

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Serengeti kimelaani vikali matukio ya utekaji kuendelea hapa nchini yakihusisha viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa, kwamba vitendo hivyo vinaleta hofu kubwa kwa jamii. Hayo yamebainishwa jana na Katibu wa Chadema Kanda ya Serengeti Jacksoni...
  12. Dalton elijah

    Sababu Kuu Za utekaji Nchini Tanzania

    TLS tuliitisha Mdahalo wa Kitaifa kuzungumzia Utekaji Baadhi ya sababu kuu zinazochangia utekaji kulingana na mjadala ule ni pamoja na Udhaifu wa mifumo ya utendaji wa Jeshi la Polisi ( Colonial Mentality ) na kutotenganishwa kwa shughuli za Upelelezi na Uchunguzi kutoka Jeshi la Polisi na...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Mwenyekiti BAVICHA, Deogratius Mahinyila anatoa tamko muda huu sakata la Utekaji nchini

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Deogratius Mahinyila anazungumza na Vyombo vya Habari muda huu akizungumzia sakata la utekaji nchini huku akianza kueleza namna ambavyo Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, alivyotekwa na kupotea tangu...
  14. W

    PreGE2025 Askofu KKKT, Isaac Laizer: Tunatakiwa kuombea roho za wizi wa kura na utekaji nchini

    "Wizi umeota mizizi katika nchi yetu watu wanaiba kila kitu, wanaiba kura. Na ninyi mmeshuhudia juzi tu kwenye mambo haya ya kura kura pamoja na kwamba tumesikia ucaguzi umekuwa huru na wa haki, si kweli. Na wengine kwa ajili ya kutaka kupata nafasi wamewaua wengine, ndugu zangu tunapaswa...
  15. Brain Kingdom

    Utekaji Tanzania, Je ni ishara Serikali, na Vyombo vyake na CCM Kukosa Maarifa ya Uwajibikaji Kidemokrasia na Kikatiba?

    Taifa lenye misingi ya maarifa ya ukatiba thabiti na Demokrasia haliwezi kuwa na watu dhaifu katika kuishi kutenda haki na wajibu kwa misingi katiba na sheria, pia kuheshimu muundo wa demokrasia. Taifa lolote hutegemea maarifa ya tasnia ya sheria, political administration, policies...
  16. BigTall

    Matukio ya Utekaji yanaumiza na kutupa hofu Wananchi hasa tunapoona Wahusika hawapatikani, Serikali ifanye maamuzi magumu

    Nimekaa nikatafakari kuhusu matukio ya utekaji yanayoendelea Nchini, sisi Wananchi tumekuwa tukiumia kadiri siku zinavyoenda, matukio ya utekaji yanaendelea, imani yetu kwa vyombo vya Ulinzi inaanza kupotea. Mawazo hayo yamekuja baada ya kuona tukio la Mfanyabiashara Deogratius Tarimo...
  17. JanguKamaJangu

    BAKWATA yataka uchunguzi huru mauaji, utekaji

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Septemba 16, 2024 akiwasili katika Baraza la Maulid yanayofanyika kitaifa mkoani Geita. Picha na Bakwata Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limeungana na wadau wengine kusisitiza uchunguzi huru dhidi ya matukio ya utekaji na mauaji ya raia. Kauli ya...
  18. B

    Rais wa Kitaa Ney wa Mitego avunja Ukimya Kadhia ya Utekaji, Atoa Pole Kifo cha Ali Kibao, mamlaka twambieni vijana wenzetu wako wapi

    Yule Rais wa Watu Rais wa Kitaa ametoa wito kwa watu wote wenye mapenzi mema kuungana kukemea hali ya kutisha inayoshamiri na kuharibu Taswira ya Nchi yetu. Msanii huyo wa Nyimbo za mziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo fleva ameonekana kupokelewa ujumbe wake na idadi ya watu wengi kwenye...
Back
Top Bottom