utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Jinsi ya Kujua Kama Mtu Anakufikiria Bila Yeye Kukuambia ( baada ya kuifanyia utafiti mwenyewe kwa miaka 12 )

    Kuna kitu niligundua kwa muda, na sikijui kama ni coincidence au kuna kitu kingine kinaendelea. Sio sayansi, au sheria maalum… ni kitu kinatokea tu ukianza kuangalia vizuri. mara ya kwanza nilihisi akiki yangu ina connect kwenye internet wirelessly maana nikihisi tu simu itaita, ghafla inaanza...
  2. Uchanganuzi wa michango ya mwanamke kwenye uchumi katika utafiti wa 2025

    Womenomics Tanzania 2025. ~Utafiti kuhusu Wanawake katika Nguvu Kazi, Biashara, na Uongozi. Takwimu Muhimu (2025) 80%: Kiwango cha ushiriki wa wanawake katika nguvu kazi. 54%: Idadi ya biashara ndogo na za kati (MSMEs) zinazomilikiwa na wanawake. Dola bilioni 1.7Nakisi ya mtaji kwa...
  3. Utafiti: 1990 Hadi 2005 miaka hiyo ngono ilikua rahisi sana kuipata kuliko Sasa, sababu ni hizi 2

    Habari za asubuhi Katika tafiti yangu hii nimekuja na sababu kuu 2 ambazo ukizifatilia kwa undani utaungana namm kwenye hili suala 1. Kipindi hicho kulikua hakuna na huduma za miamala ya simu hizo binti akipinga mzinga/kirungu lazma afate geto kwa miguu yake, kulikua hakuna mambo ya kutuma...
  4. Utafiti: Asilimia 90 ya watanzania upata choo kikubwa kila baada ya siku 3

    Salamu Nmekua nikifanya utafiti na nikagundua asilimia kubwa ya watanzania upata choo kikubwa kila baada ya siku 3 na hii sio ishara nzuri hasa katika upande wa lishe na afya kwa ujumla. Mtu anaekula mlo kamili yani protin, wanga , mafuta, maji na vyakula vya nyuz nyuz lazma apate choo kila...
  5. UTAFITI: Madaktari waongoza kwa kuaminika zaidi duniani, Wanasiasa washika mkia

    Utafiti mpya wa kimataifa uliofanywa na Ipsos Global Trustworthiness Index 2024 unaonesha kuwa madaktari ndio taaluma inayoaminika zaidi na watu duniani kote. Zaidi ya asilimia 58 ya washiriki walisema wanawaamini Madaktari, ikifuatiwa na Wanasayansi (56%) na Walimu (54%). Utafiti huo...
  6. Ukiajiri ndugu zako kwenye biashara zako una 95% za kufail

    Hii ni real kabisa, Ndugu ni wezi,wanafiki,masintch, wazembe,wasiopenda mafanikio yako,wadokozi,hawajali chochote kuhusu wewe na fedha zako...nk Ata ukimtafutia kazi sehemu kuna asilimia kubwa sana za yeye kwenda kuharibu. Bora uajiri mtu usiemjua kuliko ndugu yako, Ndugu zetu tunawapenda...
  7. Utafiti kuhusu lathe machine na milling machine

    Greetings wakubwa na wadogo, na kheri ya mwaka mpya. Habarini wanajamii. Nimekuja hapa na utafiti wangu mdogo kuhusiana na kuanzisha small workshop yenye mashine hizi mbili ( Lathe Machine na Milling Machine ). Nafikiria kununua zote mbili kwa mpigo au moja wapo kati ya hizo mbili na kama...
  8. M

    RC Chalamila: Tunafanya utafiti tusajili CCTV Camera ili unachokiona na sisi tukione

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina rubani(drones) kwa sababu baadhi ya camera hizo hutumiwa vibaya na watu kuchunguza maisha ya watu binafsi...
  9. Mambo 7 yanayotabiri uwezekano wa maandamano makubwa nchini yoyote (kwa mtazamo wa utafiti, si vitendo)Nchi za kiarabu zilivyodondoshwa

    ‎1. Legitimacy Collapse (Kupoteza Uhalali) ‎Wananchi wengi wanapoamini kuwa serikali: ‎Haitetei maslahi yao ‎Imekosa uadilifu ‎Imeshindwa kiuchumi ‎utawala hupoteza msingi wake. 2. Economic Trigger (Msukumo wa Kiuchumi) ‎Bei ya chakula, mafuta, ukosefu wa ajira — huwa chanzo kikubwa. 3. Mass...
  10. Utafiti: Utu uzima huanzia miaka 32

    Utafiti wa Cambridge umebaini jinsi ubongo unavyokua kutoka utotoni hadi uzeeni, ukiorodhesha “hatua” tano tofauti za ukuaji na mabadiliko manne makubwa katika umri wa miaka ya 9, 32, 66 na 83. Ukipinga wazo kwamba utu uzima huanza kabla ya miaka ishirini au ishirini na zaidi, wanasayansi...
  11. Kwa utafiti usio rasmi nimegundua kuwa Watanzania ndio wajinga nambari 1 duniani

    Kipimo cha uwezo wa mtu kufikiri au kipimo cha kupima ujinga wa mtu kichwani ni kuangalia jinsi anavyoweza kuchambua jambo analoambiwa au kusikia. Chukua simu zako mbili moja ivike uhusika mwingine, huyo mtu awe maarufu fanya kama unachati naye huyo mtu chukua screen shot weka mitandaoni. Kwa...
  12. M

    Christopher Andendekisye: Utafiti unaonesha wanafunzi wanaporudi nyumbani wanakuwa wamechoka, hawawezi kujisomea

    Christopher Andendekisye, Mkurugenzi mtendaji wa Mwanafunzi Clinic na mdau wa elimu anatupitisha kwenye utafiti kuhusiana na uchovu wanaopata watoto kwa kubeba vitabu na daftari nyingi na kuathirika kimasomo.
  13. Utafiti: Dakika 47 zinatosha kufanya mwanamke awe na furaha

    Utafiti unaosambaa kwenye mitandao unaonyesha kwamba wanawake huzidi kujisikia furaha katika uhusiano wanapopata dakika 47 za umakini bila kipingamizi kutoka kwa wapenzi wao kila siku. Hii inahusisha mazungumzo yenye maana, kufanya shughuli pamoja, au kuonyeshana upendo, na sio kutumia simu...
  14. Taasisi za afya za utafiti za Tanzania zinaendeshwa kiudalali, kiujanja-ujanja na kimchongo

    Sitazitaja majina hizi taasisi zetu., nyingi sana nimeshawahi kuzipelekea proposal za project wengi walikuwa wanashangaa proposal nilizokuwa nawapelekea, wengine unaambiwa appointment ndo imetoka hiyo ni full ubabishaji naandika haya nikiwa ni mtu ambaye nina-uzoefu wa kukataliwa na hizi taasisi...
  15. JamiiCheck inapaswa kufanya utafiti kama kuna ukweli ama kuficha ukweli?

    JamiiCheck ilianzishwa kama jukwaa la kijamii linalowezesha wananchi kuwasilisha taarifa zinazowatia mashaka kwa lengo la kupata msaada wa uthibitishaji. Kupitia huduma hii, wataalamu na wachambuzi wa habari huchunguza vyanzo, kulinganisha ushahidi, na kutoa majibu sahihi kwa wananchi. Hatua...
  16. Utafiti – ZANZIBAR: Asilimia 30 ya Wajawazito wana tatizo la Afya ya Akili

    Wizara ya Afya Zanzibar kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) imefanya utafiti wa Afya ya Akili kwa Wanawake Wajawazito uliofanywa na kubaini kuwa asilimia 30 ya Wajawazito wana tatizo la Afya ya Akili, huku asilimia 26 ya waliokwisha jifungua pia wakikutwa na changamoto hiyo...
  17. Safari yangu ya utafiti Dodoma, nakukaribisha tuijue Dodoma kwa undani

    Kupitia hapa nitaeleza kila kitu kuhusu Dodoma, picha linaanza kama fundi rangi nimekabidhiwa kufanya finishing jengo moja Chamwino Aiseee msiichukulie simple Dodoma uchawi upo, ni nyumba ya brother mmoja kutoka Mbeya (Ngoja nimpe jina, naomba tumuite brother Imma) Huyu Imma bwana kajenga...
  18. Waandishi wa Azam fanyeni utafiti kabla kuongea kitu

    Jana nilikuwa namuangalia Patric Nyembela, mtangazaji wa azam akimuhoji Ahmed Ally, kwenye night gala ya Chan. Kwenye mahojiano hayo, alifanya rejea kwamba kuna mtu mmoja huko Iraq alikuwa na kauli ya vituko sana, na akamtaja mtu huyo kuwa ni Chemical Ally, sio sahihi. Chemical Ally alikuwa ni...
  19. B

    Utafiti binafsi: Mara nyingi ukimpa mdada hela/zawadi bila yeye kukuomba, huko mbeleni ndo atazidi kukupiga vizinga

    Habarini, Kuna huu ushauri unaotolewa na wadada humu jf na baadhi ya wanaume, kwamba ukitaka mdada asikupige vizinga mara kwa mara, usiruhusu mpaka yeye akuombe, mwanaume inatakiwa ujiongeze, utoe bila kuombwa, juzi kati nikajaribu kuiweka hii myth to the test Sample za research yangu zilitoka...
  20. Watu wenye maono na utafiti wa kina kama Polepole wanafaa kutuongoza katika nafasi ya Rais

    Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Nilimsikiliza jana Polepole, ni wanaccm wachache sana wanaweza kuchambua mambo kama yeye, na nathubutu kusema kwa dhati kabisa, hata Rais Mama Samia hawezi na hatoweza kufanya hayo. Wala hawezi kuweka mdahalo na Polepole. Ningependa siku moja hawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…