Sikuelewa nia ya Koplo Laurent Trafiki wa Kiluvya

dattani

Member
Jul 16, 2011
99
201
Siku ya Jumatano tarehe 26 August 2020 majira ya saa moja na nusu asubuhi eneo la Kiluvya nilisimamishwa na Trafiki na akaniambia niweke gari kando.

Akaniambia nimekwenda kinyume na sheria za barabarani hivyo nastahili kuchapwa viboko! Nilivyoona anaongea lugha za mzaha na mimi kiukweli nilikuwa nawahi dharura, nilijitambulisha kwake kwa kumpa kitambulisho changu na kumwomba anisaidie tukoe muda.

Basi aliniambia nimpe leseni yangu nikampa, mara akaniambia chukua kalamu na karatasi, nikaanza kutafuta kalamu na karatsi (huku nikianza kupoteza uvumilivu kwani alikuwa anazidi kunichelewesha kwenye dharura niliyoitiwa).

Baadae akatajia namba yake ya simu na kuamuru niiandike kwenye kikaratasi na mwishowe akanitaka nimalizie kwa kuandika jina lake "Laurent".

Baada ya hapo, mara akaniambia" utakapomaliza dharura yako nitafute kwa namba yangu", anasema hayo huku anaondoka na leseni yangu. Nikamuuliza utambulisho gani ananipa kuonyesha kuwa kachukua leseni yangu? Akajibu, "usiwe na wasiwasi wewe muda wowote utakaokuja utanikuta hapa kiluvya, ukinikosa nipigie kwa namba uliyoiandika"! Hapa ndio niliposhindwa kumwelewa nia yake na nikamkomalia kuwa hawezi kuondoka na leseni yangu, ndipo aliponiambia kama hutaki nitakuandikia fine!

Kiukweli nilishachukizwa kwa kitendo cha kunipotezea muda nikamjibu tu 'ANDIKA' bila hata ya kuendelea kuhojiana naye kwani nilishachelewa vya kutosha na nilianza kuhisi nitapoteza self-control baada ya muda mchache!! Akaniandikia fine, akanikabidhi karatasi ya fine na leseni yangu, nikaendelea na safari.

Kwa bahati nzuri pamoja na kucheleweshana kule nikaiwahi dharura, mambo yakaishia vizuri, nikapata furaha nikamshukuru Mungu na kuisahau issue ya Cpl Laurent baada kulipa hiyo fine kwa simu.

Sasa leo kwenye kuchambua makaratasi mezani kwangu ghafla nakutana na namba ya Cpl Laurent na kikaratasi cha fine, ndio nikasoma kosa nililoandikiwa: Offence relating to overtaking use of lanes at intersections. Hilo eneo barabara linajengwa na kingo za barabarazote zimekingwa na mapipa all the way, I am not sure kama kuna intersections ! Kilichonifikirisha akili leo sio ile fine niliyolipa, la hasha; kizungumkuti ni mazingira ya kuandikiwa fine:

1. Sikumwelewa kwanini aling'ang'ania kubaki na leseni yangu bila kunipa stakabadhi yeyote ya kutambulisha kuwa leseni yangu imechukuliwa na askari wa usalama barabarani. Na je kwa mnaoelewa sheria za usalama barabarani, sheria inamtaka trafiki kuchukua leseni ya dereva kwa kuwa ametenda kosa ambalo halikusababisha ajali yoyote badala ya kumwonya ama kumwandikia fine papo hapo? Kuchukua leseni huwa ni mbadala wa fine? Je leseni ingerudishwa kwa masharti gani?

2. Kwanini nilivyomtaka anirudishie leseni yangu akanitishia kuniandikia fine? Na baada kumwambia aandike akaniandikia kwa kujivuta, sijui alikuwa anatafuta na makosa mengine ya gari labda! Leo hapa natafakari: hii fine imeandikwa kwa kuwa nimekataa kumwachia Cpl Laurent leseni yangu au kwa sababu nimetenda kosa kinyume na sheria za usalama barabarani?

Kwa wanajamvi mnaozielewa sheria naomba mnisaidie kuelewa NIA ya koplo laurent wa kiluvya, ili pia nami nijue nifanye nini nikikutwa tena kwenye hali hiyo kwani huwa napita hapo kila siku na sometimes hata mara 6 kwa siku. Natanguliza shukrani wana jamvi.

laurent.jpg
Inkedlaurent1_LI.jpg
 
ungemminyia elfu mbili chini ya leseni msingefika huku inaitwa ya kubrashia viatu
 
Umeonewa.

Ungeacha leseni halafu badae ushikane nae shati vizuri.

Bora nilale polisi kuliko kulipishwa fine za kijinga.
 
Leseni anaichukua pale unapokuwa umetenda kosa ili akuandikie fine na akisha kuandikia inatakiwa akurudishie leseni yako....
 
Siku ya Jumatano tarehe 26 August 2020 majira ya saa moja na nusu asubuhi eneo la Kiluvya nilisimamishwa na Trafiki na akaniambia niweke gari kando.

Akaniambia nimekwenda kinyume na sheria za barabarani hivyo nastahili kuchapwa viboko! Nilivyoona anaongea lugha za mzaha na mimi kiukweli nilikuwa nawahi dharura, nilijitambulisha kwake kwa kumpa kitambulisho changu na kumwomba anisaidie tukoe muda.

Basi aliniambia nimpe leseni yangu nikampa, mara akaniambia chukua kalamu na karatasi, nikaanza kutafuta kalamu na karatsi (huku nikianza kupoteza uvumilivu kwani alikuwa anazidi kunichelewesha kwenye dharura niliyoitiwa).

Baadae akatajia namba yake ya simu na kuamuru niiandike kwenye kikaratasi na mwishowe akanitaka nimalizie kwa kuandika jina lake "Laurent".

Baada ya hapo, mara akaniambia" utakapomaliza dharura yako nitafute kwa namba yangu", anasema hayo huku anaondoka na leseni yangu. Nikamuuliza utambulisho gani ananipa kuonyesha kuwa kachukua leseni yangu? Akajibu, "usiwe na wasiwasi wewe muda wowote utakaokuja utanikuta hapa kiluvya, ukinikosa nipigie kwa namba uliyoiandika"! Hapa ndio niliposhindwa kumwelewa nia yake na nikamkomalia kuwa hawezi kuondoka na leseni yangu, ndipo aliponiambia kama hutaki nitakuandikia fine!

Kiukweli nilishachukizwa kwa kitendo cha kunipotezea muda nikamjibu tu 'ANDIKA' bila hata ya kuendelea kuhojiana naye kwani nilishachelewa vya kutosha na nilianza kuhisi nitapoteza self-control baada ya muda mchache!! Akaniandikia fine, akanikabidhi karatasi ya fine na leseni yangu, nikaendelea na safari.

Kwa bahati nzuri pamoja na kucheleweshana kule nikaiwahi dharura, mambo yakaishia vizuri, nikapata furaha nikamshukuru Mungu na kuisahau issue ya Cpl Laurent baada kulipa hiyo fine kwa simu.

Sasa leo kwenye kuchambua makaratasi mezani kwangu ghafla nakutana na namba ya Cpl Laurent na kikaratasi cha fine, ndio nikasoma kosa nililoandikiwa: Offence relating to overtaking use of lanes at intersections. Hilo eneo barabara linajengwa na kingo za barabarazote zimekingwa na mapipa all the way, I am not sure kama kuna intersections ! Kilichonifikirisha akili leo sio ile fine niliyolipa, la hasha; kizungumkuti ni mazingira ya kuandikiwa fine:

1. Sikumwelewa kwanini aling'ang'ania kubaki na leseni yangu bila kunipa stakabadhi yeyote ya kutambulisha kuwa leseni yangu imechukuliwa na askari wa usalama barabarani. Na je kwa mnaoelewa sheria za usalama barabarani, sheria inamtaka trafiki kuchukua leseni ya dereva kwa kuwa ametenda kosa ambalo halikusababisha ajali yoyote badala ya kumwonya ama kumwandikia fine papo hapo? Kuchukua leseni huwa ni mbadala wa fine? Je leseni ingerudishwa kwa masharti gani?

2. Kwanini nilivyomtaka anirudishie leseni yangu akanitishia kuniandikia fine? Na baada kumwambia aandike akaniandikia kwa kujivuta, sijui alikuwa anatafuta na makosa mengine ya gari labda! Leo hapa natafakari: hii fine imeandikwa kwa kuwa nimekataa kumwachia Cpl Laurent leseni yangu au kwa sababu nimetenda kosa kinyume na sheria za usalama barabarani?

Kwa wanajamvi mnaozielewa sheria naomba mnisaidie kuelewa NIA ya koplo laurent wa kiluvya, ili pia nami nijue nifanye nini nikikutwa tena kwenye hali hiyo kwani huwa napita hapo kila siku na sometimes hata mara 6 kwa siku. Natanguliza shukrani wana jamvi.

View attachment 1566484View attachment 1566509
Mkuu Mbona sasa umekuja kunichongea huku? Na kukumbuka vizuri tutakutana tena.
 
Pole

pole mkuu. Hao Trafiki wanakera sana. Kuna dereva tour wa Arusha alisema liwalo na liwe akawagonga nakuwajeruhi vibaya yalikuwa yanalia kwa uchungu kama mitoto midogo
 
Back
Top Bottom