usonji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Ni Usonji au madawa ndio humpelekea Elon Musk kufanya vitendo vya ajabu akiwa mbele ya watu?

    Elon Musk jana akitokea hadharani akiwa na ngeu usoni ameulizwa kuhusu taarifa za yeye kutumia dawa za kulevya akawa mkali sana bila kukanusha hayo madai.
  2. E

    Autism (usonji)

    Nna kijana wangu ana usonji anahitaji kujiunga kidato cha kwanza.shida ni shule nmekosa kabisa.. nyingi zimemkataa
  3. Lady Whistledown

    Siku ya Usonji Duniani, Usonji sio Ugonjwa

    Siku ya Usonji Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 2 Aprili kwa lengo la kuongeza uelewa na kuhamasisha jamii kuhusu haki za watu wenye usonji Kaulimbiu ya mwaka huu, 2025, ni “Kukuza Neuroanuwai na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (SDGs)”. Kaulimbiu hii inasisitiza umuhimu...
  4. Lady Whistledown

    Siku Ya Uelewa wa Usonji Duniani. Je, unawezaje Kumtambua Mtoto mwenye Usonji?

    Usonji ni changamoto ya Ukuaji ambayo hutokea pale ambapo Ubongo hufanya kazi kwa namna tofauti. Mtoto hupata changamoto hii anapokuwa tumboni na dalili huonekana kuanzia Umri wa Miaka Mitatu na kuendelea Watu wenye Usonji hupata changamoto hasa za Kuwasiliana Kijamii. Kasi ya kukua kiakili...
  5. MsLisa

    Naomba ushauri kuhusu usonji

    Mimi ni mwanamke, 30 yrs mwenye usonji. Jamii/familia yangu wanaona sina tatizo sababu shuleni nilikuwa nafaulu vizuri. Ninapitia changamoto nyingi mnoo. Kuna wakati nahisi kukata tamaa. Anayeweza kunisaidia mawazo /counselling ntashukuru.
  6. Damaso

    Namna bora ya Kuwasaidia Watoto wenye Usonji nchini Tanzania

    Usonji ni ugonjwa wa ukuaji unaoathiri idadi kubwa ya watoto duniani kote, ikiwa ni pamoja na wale wa Tanzania. Kwa bahati mbaya, kutokana na miundombinu duni ya nchi nyingi na rasilimali chache, hususani katika kusaidia watoto wenye usonji juhudi nyingi zimeonekana kukutana na changamoto...
  7. T Kaiza-Boshe

    Kitabu cha Safari ya Ushindi ya Mama na Mtoto Mwenye Usonji (AUTISM)

    Je, umesoma kitabu hiki? Angalia picha ya gamba (cover) lake kitabu hicho. Na, je, unajua maana ya usonji? Kwanza tuujue usonji (Kiingereza, autism) Usonji ni hali ya kuwa na changamoto za akili zinazoathiri uwezo wa mtu kuwasiliana na kuchangamana na wengine, pamoja na kuwa na tabia ya...
Back
Top Bottom