usiri

Osiris (, from Egyptian wsjr, Coptic ⲟⲩⲥⲓⲣⲉ) is the god of fertility, alcohol, agriculture, the afterlife, the dead, resurrection, life, and vegetation in ancient Egyptian religion. He was classically depicted as a green-skinned deity with a pharaoh's beard, partially mummy-wrapped at the legs, wearing a distinctive atef crown, and holding a symbolic crook and flail. He was one of the first to be associated with the mummy wrap. When his brother, Set, cut him up into pieces after killing him, Isis, his wife, found all the pieces and wrapped his body up. Osiris was at times considered the eldest son of the god Geb and the sky goddess Nut, as well as being brother and husband of Isis, with Horus being considered his posthumously begotten son. He was also associated with the epithet Khenti-Amentiu, meaning "Foremost of the Westerners", a reference to his kingship in the land of the dead. As ruler of the dead, Osiris was also sometimes called "king of the living" as he is the first god-king of Earth in ancient Egypt, therefore considered the blessed dead "the living ones". Through syncretism with Iah, he is also the god of the Moon.Osiris was considered the brother of Isis, Set, Nephthys, and Horus the Elder, and father of Horus the Younger. The first evidence of the worship of Osiris was found in the middle of the Fifth dynasty of Egypt (25th century BC), although it is likely that he was worshiped much earlier; the Khenti-Amentiu epithet dates to at least the first dynasty, and was also used as a pharaonic title. Most information available on the myths of Osiris is derived from allusions contained in the Pyramid Texts at the end of the Fifth Dynasty, later New Kingdom source documents such as the Shabaka Stone and the Contending of Horus and Seth, and much later, in narrative style from the writings of Greek authors including Plutarch and Diodorus Siculus.Osiris was the judge of the dead and the underworld agency that granted all life, including sprouting vegetation and the fertile flooding of the Nile River. He was described as "He Who is Permanently Benign and Youthful" and the "Lord of Silence". The Kings of Egypt were associated with Osiris in death – as Osiris rose from the dead so they would be in union with him, and inherit eternal life through a process of imitative magic.Through the hope of new life after death, Osiris began to be associated with the cycles observed in nature, in particular vegetation and the annual flooding of the Nile, through his links with the heliacal rising of Orion and Sirius at the start of the new year. Osiris was widely worshipped until the decline of ancient Egyptian religion during the rise of Christianity in the Roman Empire.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Zamani tuliamini Albino hawazikwi wanapoteaga kumbe wanatekwa, ni nani aliendesha huo mtandao kwa usiri mkubwa kwa muda mrefu ?

    Hapo zamani kwa miaka mingi tuliaminishwa kwamba Albino hafi anapotea. Kumbe nyuma ya pazia wanatekwa wakihusoshwa zaidi na imani za kishirikina wakiwa kama sehemu za kafara. Ni kwa muda mrefu sana haya yaliendelea, ni nani au kina nani walikuwa waendeshaji wa huu mtandao ?
  2. Inside10

    Askofu Mwijage: "Amani Haiwezi Kuwepo Kama Kuna Janja Janja Na Usiri".

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Jovitus Mwijage amesema amani haiwezi kuwepo katika nchi mambo yanaendeshwa kwa ujanja ujanja, usiri na uongo. Askofu Mwijage amesema kiongozi hapaswi kutumia katiba kwa vipengele tu vinavyomlinda yeye huku vingine vikitupwa mbali bali katiba inapaswa kufuatwa...
  3. MIMI BABA YENU

    Mkutano wa John Heche na Waandishi wa Habari ni Chadema kujichanganya kisheria. Usiri wao utawagharimu

    Kuna taarifa kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche atazungumza na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam. Chadema imeamua kufanya mkutano huo kwa siri, usiri huo utawaponza hasa...
  4. Binti wa zamani

    Anayejua namna ya kutuma hela kwa usiri naomba anifahamishe

    Kabla ya yote NRNE ✌🏽👊🏽 Kuna mtu kanipa raha sana leo nataka nimtunuku, naomba anayejua namna ya kutuma fedha iwe kwa simu au online bila jina kuonekana anijulishe. Mtumiwaji yupo Tanzania, so usisuggest cashapp au venmo. Naomba namna nyingine mbali na kutumia wakala ambayo ni lazima niende...
  5. Bei Rahisi Electronics

    Usiri ni nguzo ya mafanikio

    USIRI NI NGUZO YA MAFANIKIO. __________________________________________________ Si muda wote unatakiwa kueleza dhamira yako kwa watu unatakiwa kujua kuwa adui wa mtu ni watu. Sio ajabu yule unaemjengea dhana njema ndio akawa ni adui wa siri kwako kwahiyo ni vyema kuwa msiri kwenye mambo muhimu...
  6. G

    Watanzania wenye depression hawawezi kushirikisha watu wengine kwa sababu matatizo yao hufika mpaka vijiweni, hakuna usiri !!

    Baada ya mlolongo wa vifo vya Depression ikiwemo cha jana usiku mwanafunzi kujirusha ghorofani niseme tu kwamba watu wanapitia mengi sana, huwa inashauriwa kufunguka matatizo yako kwa watu wa karibu kundoa machungu lakini kwa hapa bongo hali watu wengi huyatunza rohoni. Shida ni kwamba watu...
  7. S

    Consession na lease agreements zinapoandaliwa muda huu, watendaji serikalini wakumbuke maana ya usiri kazini (confidentiality)

    Kosa la kuruhusu mkataba kuvuja na wasiotakiwa kuuona limeshafanyika na gharama ya kujitetea zimekuwa kubwa kwa upande wa serikalini. Mijadala imekuwa ni mingi kutoka kwa watu wa kada mbalimbali juu ya masuala ya kisheria. Nani alivujisha siri za serikali? Wahusika wanajuana na wameshaiona...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    ''Mikataba Imeisha'' ya Clouds Tv ni program ya kidhalilishaji inayokiuka haki ya usiri mfanyakazi anapomaliza muda wake

    Clouds Media Group wamiliki wa Clouds TV, wameanza kupunguza wafanyakazi kwa namna ya kidhalikishaji na ukiukaji mkubwa wa haki ya Usiri na faragha. Tumeona watangazaji kadhaa wakianikwa mitandaoni kwamba mikataba yao imeisha na wameachwa. Tunaomba uongozi wa Clouds Media kuacha mara moja...
  9. BARD AI

    Nini kipo nyuma ya Mkataba wa miaka 100 ya ukodishaji wa Bandari ya Dar es Salaam kwa DP World?

    Wakuu, kuna tetesi zinasambaa kuwa baadhi ya Wabunge wamelipwa fedha ili kuupigia kura ya ndiyo mkataba huo wenye utata. Pia inatumika nguvu kubwa kuonesha vigezo vyote vimefuatwa ambapo kwa sasa kuna wanaoitwa Wadau wameitwa kwaajili ya kujadili kwa haraka halafu itaingizwa kwenye maelezo ya...
  10. S

    Usiri watanda ajali ya Naibu Waziri Tamisemi

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais (Tamisemi), Dk Festo Dugange amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya gari Habari za uhakika ambazo Mwananchi limezipata, zinaeleza Dk Dugange alipata ajali hiyo usiku wa kuamkia Aprili...
  11. comte

    CHADEMA kwa Magufuli mlilazimisha nchi iambiwe anaumwa nini ila kwa mwasisi wa chama chenu mnaheshimu haki ya usiri wa mgonjwa

    Mnyika amesema mzee Masinde pamoja na kutambua kuwa anaumwa ugonjwa huo lakini hakutaka ufahamike kwa familia na ndugu wa karibu ili kutozua taharuki na kuwafanya wakate tamaa. =========== Akitoa salamu za rambirambi mbele ya familia ya marehemu, Mnyika amesema Masinde alifariki kwa ugonjwa wa...
  12. U

    Ni zaidi ya Usiri, toka nimejiunga JamiiForums 2010 hakuna anayenijua, completely anonymous

    Jamani tuambiananeni Ukweli, Mimi Sasa ni miaka 12 toka nimekuja jamii forum, Ila hakuna binadamu yoyote anayejua Mimi ni nani, najua rafiki, staff mate na ndugu wamesoma mada zangu nyingi Ila hakuna aneyejua mimi ni nani. Hivi is jamii forum the most secured social media platform ever...
  13. SULEIMAN ABEID

    Mchango wa mbunge mpina bungeni, ahoji usiri mkubwa katika mikataba ambayo serikali inaingia kwa niaba ya wananchi

    Mheshimiwa Spika, Serikali imekuwa ikiingia mikataba mingi kwa ajili ya shughuli za kiuchumi na kijamii na kwa bahati mbaya sana mikataba hii hutuzwa kwa siri kubwa, wabunge na wananchi wamekuwa wakilalamikia utekelezaji dhaifu wa baadhi ya mikataba bila kupata majibu fasaha. Lakini pia taarifa...
  14. Victor Mlaki

    Kelele za ukimya na usiri wa mama wa Kiafrika

    UVUMILIVU NA USIRI WA SIS OSINACHI NWACHUKWU UNAMUONESHA MAMA WA KIAFRIKA NA KELELE ZA UKIMYA. Mama wa Kiafrika anapitia safari iliyojaa kelele za ukimya zinazomtaka awe mstahimilivu na kikubwa zaidi awe msiri juu ya madhila yote anayoyapitia katika KIFUNGO cha staha. Siandiki kumtetea Mwanamke...
  15. THE BIG SHOW

    Usiri wa Hayati Magufuli na kutokuwa muwazi matokeo yake ndiyo haya. Rais Samia songa mbele

    Friends and Our Ugly Enemies, People like Ndugai,hata wakitokea wakafanya jambo lenye tija,hawawez Tena kuaminika na mtanzania yyte mwenye akil timamu,it's unfortunate ndo hivyo ameshakuwa speaker wa bunge lakin hakika ni disgrace to our parliament na nchi kwa ujumla, Just imagine speaker wa...
  16. Frumence M Kyauke

    Tabia ya usiri inawafanya wanaume washindwe kutoa taarifa pale wanaponyanyaswa

    Ukizungumza unyanyasaji wa kijinsia wengi huwaza wa upande mmoja, kwamba ni dhidi ya mwanamke lakini uhalisia ni tofauti kwani hata wanaume hunyanyaswa isipokuwa si wepesi kuzungumza. Hayo yalielezwa mapema wiki hii wakati wa kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia lilioandaliwa na Norwegian...
  17. J

    Hakuna usiri wowote kwenye mitandao ya simu ndio maana hata sauti za akina Nnauye na Makamba zilivujishwa. Tusikuze mambo!

    Kama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee. Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano. Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi. Mungu wa mbinguni awabariki sana!
  18. Musa Meizon

    SoC01 Tambua Nyakati: Usibaki unapotakiwa kuondoka

    Ukweli ni kwamba, ni jambo kubwa sana kutambua NYAKATI, ni muhimu kujua muda gani ufanye Nini? Uwe wapi? na hatima au matokeo ni Nini? Habari yako Mpenzi msomaji. Leo napenda kukuepusha na hatari ya kutotambua nyakati katika MAHUSIANO YA KIMAPENZI. Watu wengi wanapoteza muda kubaki na wenza...
  19. Analogia Malenga

    Mteja ana haki ya faragha na usiri

    Biashara yoyote huweza kutumia mtandao kupata wateja. Wanaotangaza biashara mtandaoni wanapaswa kutambua Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) inaambua haki ya faragha ya mlaji Faragha ni pamoja na kutosambaza taarifa za mteja wako bila makubaliano naye. Tangaza biashara yako bila kuanza...
  20. A

    Usiri wa Mikataba vs Uwazi

    Ndugu wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Ninaomba kuuliza swali: je, tuendelee na utaratibu huu wa mikataba kuwa siri au tubadilishe utaratibu mikataba iwe wazi ili kila mtu ajue mashariti ya hiyo mikataba kama yana faida au lah? Nimeuliza swali hili kutokana na mjadala...
Back
Top Bottom