usiogope

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr leader

    Usiogope kuwa na machaguo yako

    Mwanaume usiogope kuwa na machaguzi yako hii dunia sio ya waoga Siku hizi kuna wanawake wana list ndefu kama CV ya kazi: Anataka mwanaume mwenye pesa, gari, nyumba, connection, akili, nguvu… full package! Ukiuliza : “wewe unaoffer nini?” Anabaki na mwili na vibes tu. Hapo ndio mwanaume...
  2. H

    Samia usiogope magereza ya the hague kuna milo mitatu sio kama bongo

    mpendwa Samia kama utapata bahati ya kwenda the hague kwenye detention yao unauhakika wa kula milo mitatu tena iliyo pangiliwa kitaalumu kwa virutubisho vizuri. Hata kipindi cha break ukiwa mahakamani utapewa msosi na huku usalama wako ukiwa umehakikishiwa sio kama huku Samia kipenzi...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Usiogope unaweza Kumiliki Biashara ya Kituo cha Kuchaji Magari ya Umeme

    Teknolojia ya usafiri inabadilika kwa kasi. Dunia nzima inasogea kwenye magari ya umeme (EVs), na ili kuendesha mapinduzi haya kunahitajika kituo cha kuchaji (EV Charging Station). Kwa sasa, gharama ya kufunga kituo cha kibiashara cha kuchaji magari (hasa DC Fast Charging) inakadiriwa kati ya...
  4. Binti wa zamani

    Ujumbe wa wiki: Hatovunjika ukimkalia

    Wiki inaisha safi, mashangazi tukiongoza 3 -1, kifua mbele hakuna unyonge. Nawakumbusha tu, ukimkalia usoni wala usiogope kuweka uzito wa mwili wote, akizidiwa kwa kukosa hewa atakunyanyua mwenyewe (na mara nyingi akishavuta hewa anakushusha tena umfunike ajilie mema ya nchi). Pia, akishuka...
Back
Top Bottom