Wasaalam wote humu.
YAH; MREJESHO NA SHUKRANI KWA WANANCHI.
6 Julai, 2025
UTANGULIZI; mapema tarehe 06 Julai, 2025 majira ya saa 2 asubuhi hivi, niliomba ushirikiano wa jamii kwenye kufuatilia na kupata location kamili kuhusu, madai ya uwepo wa ukatili sugu kwa mtoto huko Mtaa wa Kidemi...
My Take
Mafuta sio Mali ya Muungano kama ilivyo Dhahabu,yakihundulika Zanzibar lazima Bara mnunue.
======
Soure: TanzaniaInvest
Uganda, Tanzania, Zanzibar Sign Tripartite MoU to Strengthen Petroleum Sector Cooperation
The MoU, formalized during a ceremony attended by top officials, including...
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametetea uamuzi wa nchi yake kusitisha ushirikiano na Shirika la Umoja wa Mataifa la Nguvu za Atomiki,IAEA, akimtuhumu mkuu wake kwa mwenendo wa kile alichokiita uharibifu.
SiasaMashariki ya Kati
Iran yatetea uamuzi wake wa kusimamisha ushirikiano na IAEA...
Wanaukumbi.
Bunge la Iran limepitisha muswada wa kusimamisha ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Kudhibiti Nguvu za Atomiki, IAEA. hatua iliyochukuliwa kufuatia vita kati ya Israel na Jamhuri hiyo ya kiislamu.
Spika wa Bunge Mohammad Bagher Ghalibaf hapo awali alitangaza kwamba mpango wa...
Maonesho ya Nne ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefanyika hivi karibuni huko Changsha mkoani Hunan, China, na kushirikisha zaidi ya watu elfu 30 kutoka nchi 53 za Afrika, mashirika 11 ya kimataifa, na zaidi ya kampuni 4,700 kutoka China na nchi za Afrika. Katika miaka ya hivi...
https://www.youtube.com/watch?v=DHqu2q18Qzg
"Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili kama nyenzo ya diplomasia."
"Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara iliidhinishiwa jumla ya...
afrika
afrika mashariki
balozi
balozi mahmoud thabit kombo
bunge
bunge la 12
dodoma
kikao
mahmoud thabit kombo
mambo
mambo ya
mambo ya nje
mashariki
mei
mkutano
mkutano wa 19
nje
tarehe
thabit kombo
ukumbi
ushirikianoushirikiano wa afrika mashariki
waziri
Habarini!
Ni wazi wala bila kuzunguka namna Lissu na wenzie walifanya kampeini ya kumtoa Mbowe ilitumika baadhi ya namna zimeacha madonda machungu kwa Mbowe akini kwa team yake na heshima yake kisiasa.
Pia sitaki niwe na upande kama mshauri pia team mbowe haikujiandaa vya kutosha kupokea...
Ushuru uliowekwa na Marekani unaweza kuwa na athari mbaya kwa nchi zinazoibuka kiuchumi kama China nan chi za Afrika, lakini wakati huohuo, hatua hiyo ya Marekani itawezesha ushirikiano wa nguvu zaidi kati ya China na Afrika katika biashara na uwekezaji kwenye seta muhimu za uzalishaji, nishati...
Tanzania na Finland kuimarisha Ushirikiano katika Usimamizi wa Amani na Usuluhishi wa migogoro
Rais wa Jamhuri ya Finland, Mhe. Alexander Stubb amesema Serikali ya Finland itaendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania ili kuhakikisha juhudi za pamoja zinatekelezwa katika usimamizi wa amani na...
Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)
UKIKUBALI UMEKWISHA; UKIKATAA UMEKWISHA.
Jamani tuache utani. Kuna kundi la watu. Ni wanadamu lakini wao hujiiita “malaika wa kibinadamu”. Wakiamua jambo lao wakakujia kutaka utoe ushirikiano wa kulifanikisha, UKIKUBALI UMEKWISHA, UKIKATAA UMEKWISHA...
Na Mwandishi Maalumuu,
Shandong - China
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Oganaizesheni, Issa Gavu, amesisitiza umuhimu wa kuendeleza uhusiano baina ya Tanzania na Jamhuri ya Watu wa China kwa maslahi ya nchi hizo na watu wake.
Pia, amehimiza kudumisha uhusiano wa...
Wakati Marekani ikiendelea na mashambulizi dhidi ya biashara huria duniani, Afrika iko ni mmoja wa wahanga. Na sasa Rais Donald Trump wa Marekani amefungua medani ya kidiplomasia tena ambapo serikali yake inalenga balozi mbalimbali duniani kwa kile alichokiita Donald Trump kuitikisa sera ya...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Azimio la Bunge la Ulaya (8 Mei 2025)
Dar es Salaam, 8 Mei 2025
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetambua azimio lililopitishwa na Bunge la Ulaya tarehe 8 Mei 2025 kuhusu mwenendo wa mashauri ya kisheria yanayoendelea nchini Tanzania. Wakati Tanzania...
Tufungue Pamoja Uwezo Wetu wa Kweli!
Karibu kushiriki katika uchambuzi wetu wa kipekee:
"TUNAUWEZO MKUBWA—TUNAWEZA KUFANYA YOTE TUKIUTUMIA!"
Kwa nini kushiriki?
1. Pamoja, tunaweza kuvunja mazoea ya kujipa udhaifu (kama kusema "sina bahati" au "sikuandikiwa").
2. Kugundua jinsi jamii...
Leo Mei 6, 2025, JamiiAfrica inazindua ushirikiano na IMS na UTPC wenye dhima ya “Kuwawezesha Wanahabari kwaajili ya Jamii yenye taarifa sahihi Tanzania.”
Kupitia ushirikiano huu, Wanahabari, Wataalamu wa Vyombo vya Habari, na Wahariri watashirikiana moja kwa moja na Jamii ili kubaini mahitaji...
Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe Mheshimiwa Suzan Kaganda, amewasili Nchini humo tayari kuanza majukumu yake katika Balozi hiyo huku akiwaomba watumishi kushirikiana ili kutimiza azima ya viongozi wa Nchi hizo mbili katika masuala mbalimbali.
Ametoa kauli hiyo leo Mei 05, 2025, Jijini Harare...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake katika Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam.
Katika ziara hiyo ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Taifa hilo na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu...
afrika
afrika mashariki
balozi
balozi mahmoud thabit kombo
jamhuri
katika
mahmoud thabit kombo
mambo
mambo ya
mambo ya nje
mashariki
nje
thabit kombo
ushirikianoushirikiano wa afrika mashariki
waziri
ziara
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kijamaa ya VietNam zimeafikiana kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano wa kiuchumi na Kijamii ikiwa ni juhudi za kukuza maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa mataifa yote mawili.
Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa mazungumzo kati ya Waziri wa Mambo...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kijamaa ya VietNam zimeafikiana kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano wa kiuchumi na kijamii ikiwa ni juhudi za kukuza maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa mataifa yote mawili.
Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa mazungumzo kati ya Waziri wa Mambo...
Hali ya kisiasa Tanzania sasa ni ngumu, na CHADEMA iko kwenye wakati wa changamoto kubwa. Wananchi wanapigwa na polisi, viongozi kama Tundu Lissu na John Heche wanakabiliwa na ukandamizaji, na haki za msingi zinakiukwa. Hapa kuna ushauri wa kimkakati kwa CHADEMA, kwa uchungu na mwelekeo wa...