ushirikiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania na Uingereza zasaini Makubaliano ya Kukuza Ushirikiano (Mutual Prosperity Partnership - MPP)

    SERIKALI ya Tanzania na Uingereza zimesaini Makubaliano ya Kukuza Ushirikiano (Mutual Prosperity Partnership - MPP) yanayolenga kuchochea maendeleo katika sekta za kiuchumi zikijumuisha uwekezaji, biashara na miundombinu. Makubaliano hayo yameshuhudiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
  2. JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa TPA na DP World kuongeza shehena na kuleta ufanisi Bandari ya Dar

    Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imejipanga kushirikiana na Kampujni ya DP World ili kuongeza ufanisi wa huduma za kibandari na kuwezesha ongezeko la Meli na Shehena katika Bandari ya Dar es Salaam Akizungumza katika Kikao cha Wadau wa Bandari na Sekta ya Uchukuzi...
  3. JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa mtandao kati ya China na Afrika una mustakabali mzuri

    Kongamano la mwaka 2024 la Maendeleo ya Mtandao na Ushirikiano kati ya China na Afrika lilifanyika hivi karibuni mjini Xiamen, China. Kutokana na maendeleo ya haraka ya mtandao na teknolojia ya kidijitali, ushirikiano kati ya China na Afrika katika nyanja hizi umepata mafanikio makubwa na una...
  4. JamiiForums Tanzania Houth waionya Saudi Arabia pindi ikitoa ushirikiano kwa maadui zake.Waziambia Urusi na China wasiwe na hofu kupita red sea.

    Kiongozi mkuu wa kundi la Houth linalopambana na mataifa matatu yanayoiunga mkono Israel kuendeleza vita Gaza,ameionya Saudi Arabia isije ikafanya kosa la kutoa ardhi yake kufanikisha kushambuliwa kwa Yemen. Onyo hilo limetolewa na Mohammed Ali al-Houthi kupitia mahojiano na kitua cha...
  5. JamiiForums Tanzania FCS yasherehekea Miaka 62 ushirikiano wa Tanzania na Denmark

    Taasisi ya Foundation For Civil Society FCS, imeungana na wadau wengine wa Asasi za Kiraia na ubalozi wa Denmark kusherehekea miaka 62 ya mashirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Denmark. Akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika Machi 21, 2024 Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa...
  6. JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika katika magari ya nishati mpya una mustakabali mzuri

    Adam Selassie ni dereva wa basi dogo mjini Addis Ababa, Ethiopia. Siku hizi anafurahi sana, kwani amepata gari jipya la umeme. Gari hilo limeagizwa kutoka China, na hadi sasa, kuna madereva wengi kama Adam ambao wamebadilisha msbasi yao yanayotumia petroli kuwa mabasi ya umeme. Kwa maoni yao...
  7. JamiiForums Tanzania Mkutano wa kisekta wa ushirikiano katika Sekta ya Ulinzi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki pamoja na mawaziri wenzake wa Ulinzi toka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki katika mkutano wa Kisekta wa Ushirikiano katika sekta ya Ulinzi, tarehe 8 Machi, 2024.
  8. JamiiForums Tanzania Enzi ya Dhahabu ya Muziki wa Afrika Mashariki (2000-2006): Kipindi cha Mapinduzi ya Ubunifu na Ushirikiano

    Bila shaka miaka ya mapema ya 2000 kuanzia 2000 mpaka 2006 ilikuwa ni kipindi cha mapinduzi makubwa katika muziki wa Afrika Mashariki. Ilikuwa ni zama za ubunifu wa hali juu, ushirikiano wa kikanda, na umaarufu wa kimataifa, mara nyingi ikirejelewa kama "enzi ya dhahabu" ya muziki wa Afrika...
  9. JamiiForums Tanzania 'Magari ya Makonda' yakwama kukarabatiwa, mwenyewe agoma kutoa ushirikiano

    Unakaribia mwezi mmoja sasa tangu msafara Ndugu Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, upate ajali kule Sululu, Masasi mkoani Mtwara. Ajali hiyo iliyohusisha magari yapatayo 10, ilitokea tarehe 11 mwezi uliopita na kusababisha uharibifu wa magari kadhaa yakiwamo ya...
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024. Rais amesema "Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
  11. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi laahidi kutoa ushirikiano Maandamano ya CHADEMA (MWANZA)

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikitarajia kufanya maandanamano ya amani jijini Mwanza Februari 15 mwaka huu, Jeshi la Polisi limetoa rai kwa viongozi na wafuasi wa chama hicho kuwa wanalo jukumu mahsusi la kuhakikisha wanazuia lugha za uchochezi, kejeli na matusi kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Matokeo ya ushirikiano kati ya China na Afrika yafanya Kombe la Afrika kung'aa zaidi

    Michuano ya 34 ya Kombe la Mataifa ya Afrika inaendelea nchini Cote d'Ivoire. Kwenye lango la kuingia katika Uwanja wa Olympic wa Abidjan, mji mkuu wa kiuchumi wa Cote d'Ivoire, mashabiki kutoka nchi mbalimbali waliokuwa wamevalia bendera za nchi zao na kushikilia pembe ya kupuliza wamejaa...
  13. JamiiForums Tanzania Askari watuhumiwa kuteka mtu tangu Oktoba 2023, Polisi hawatoi ushirikiano

    Jeshi la Polisi limetuhumiwa kutotoa ushirikiano kwa watu wanaofikisha malalamiko ya kupotelewa Ndugu zao ambao inadaiwa wametekwa na Askari wa Jeshi hilo.
  14. JamiiForums Tanzania Kuna ile siku ambayo unaenda kazini halafu kichwa hakina ushirikiano na wewe

    Mazee Leo tarehe 7/2/2024 ndiyo ile siku nimekuja ofisini alafu kichwa hakina ushirikiano na mimi Suluhisho: Kwakua nimejiajiri, nakwenda lunch ndefu mpaka mpira wa Nigeria na South Africa uishe Suluhisho hili weka mbali na watoto au wale wafanyakazi walioajiriwa
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Bw. Wang Yi barani Afrika na Latin Amerika yaonesha kuwa China inaendelea kupanua ushirikiano wa kunufaishana duniani

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bwana Wang Yi, amemaliza ziara ya kidiplomasia ya mwaka huu kwa kuzitembelea Misri, Tunisia, Togo na Cote d'Ivoire, ikiwa ni sehemu ya desturi ya zaidi ya miongo mitatu kwa waziri wa mambo ya nje wa China kufanya ziara ya kwanza barani Afrika. Lakini safari hii...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na Afrika kwa mwaka 2024 unatarajiwa kuimarika

    Katika kipindi cha miongo miwili iliyopita, China imejenga uhusiano wa kina wa kiuchumi na nchi za Afrika, na kuifanya kuwa mshirika mkubwa zaidi wa biashara wa nchi hizo, na chanzo muhimu cha uwekezaji wa moja kwa moja. Katika kipindi cha miaka miwili hadi minne iliyopita, kutokana na...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu

    Wanabodi, Kwa muda mrefu Tanzania tumekuwa na uoga wa maandamano, naomba kutoa wito kwa serikali yetu, let's do things differently this time. Hiyo 24 Jan, namuomba sana Rais Samia, amuite Waziri wa mambo ya ndani na IGP kuwaeleza watoe kila aina ushirikiano ili CHADEMA ili kufanikisha...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kwenye mabadiliko ya tabia nchi kuzinufaisha nchi za Afrika kwenye pande mbalimbali

    Mwishoni mwa mwezi Desemba Balozi wa China nchini Botswana Bwana Wang Xue aliikabidhi Botswana kituo cha utabiri wa hali ya hewa kinachohamishika. Huu ni moja ya misaada inayotolewa na China kwa nchi za Afrika kwenye eneo la mabadiliko ya tabia nchi, msaada ambao kwa sasa unaonekana kuwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa makundi ya kiislamu Gaza ni mfano wa kuigwa Kwa pamoja wamekataa ombi la kusitisha vita

    Ndani ya Gaza kuna makundi kadhaa yanayopigana dhidi ya Israel kwa lengo moja la kuitetea Palestina na kuulinda masjid al aqsa. Kila kundi lina wapiganaji wake na hazina ya silaha.Kuna vikundi ya kisunni na mkubwa wao ni Hamas.Kuna vikundi vya mlengo wa kishia wakiongozwa na al qassam brigade...
  20. JamiiForums Tanzania Jumuiya yenye hatma ya pamoja: Ushirikiano wa kilimo kati ya China na Afrika ni wa kunufaishana

    Afrika ina rasilimali kubwa za kilimo. Lakini kutokana na sababu mbalimbali, kiwango cha maendeleo ya kilimo barani humo kimebaki nyuma kwa muda mrefu, na hata nchi nyingi haziwezi kujitosheleza chakula. Kwa hivyo, nchi za Afrika zinachukulia maendeleo ya kilimo kama kazi kuu ya kujiendeleza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…