Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akifuatilia majadiliano ya Mkutano wa pili wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Afrika na Urusi maarufu kama “Russia-Africa Partnership Forum” unaoendelea jijini Cairo nchini Misri.
Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
afrikaafrikamashariki
akutana
balozi
balozi mahmoud thabit kombo
bunge
jackson
kamati
mahmoud thabit kombo
mambo
mambo ya
mambo ya nje
marekani
mashariki
mazungumzo
mbunge
mjumbe
ndogo
nje
thabit kombo
ushirikianoushirikianowaafrikamasharikiwawakilishi
waziri
waziri kombo
Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anafanya ziara Rasmi ya kikazi jijini Washington, D.C., nchini Marekani.
Katika ziara yake hiyo, Mhe. Waziri Kombo atakukutana na wadau Mbali mbali muhimu katika kuimarisha uhusiano wa baina ya...
afrikaafrikamashariki
balozi
balozi mahmoud thabit kombo
kiapo
mahmoud thabit kombo
mambo
mambo ya
mambo ya nje
mashariki
nje
thabit kombo
ushirikianoushirikianowaafrikamasharikiwaziri
afrikaafrikamashariki
balozi
balozi mahmoud thabit kombo
diplomasia
kiuchumi
mahmoud thabit kombo
mambo
mambo ya
mambo ya nje
mashariki
nguvu
nje
thabit kombo
ushirikianoushirikianowaafrikamashariki
wizara
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewasili jijini Kigali, Rwanda, kushiriki Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Rwanda.
Mhe. Kombo amepokelewa na Mshauri wa Waziri wa Mambo ya Nje wa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameipongeza Msumbiji kwa kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru.
Pongezi hizo amezitoa kwenye hafla iliyoandaliwa na Ubalozi wa Msumbiji nchini Tanzania na kufanyika katika Ukumbi wa Polisi uliopo Masaki...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Morocco nchini Tanzania Mhe. Zakaria El Guomiri,
Kikao hicho kimefanyika leo Julai 02, 2025 kwenye ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam, ambapo...
https://www.youtube.com/watch?v=DHqu2q18Qzg
"Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili kama nyenzo ya diplomasia."
"Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara iliidhinishiwa jumla ya...
afrikaafrikamashariki
balozi
balozi mahmoud thabit kombo
bunge
bunge la 12
dodoma
kikao
mahmoud thabit kombo
mambo
mambo ya
mambo ya nje
mashariki
mei
mkutano
mkutano wa 19
nje
tarehe
thabit kombo
ukumbi
ushirikianoushirikianowaafrikamasharikiwaziri
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake katika Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam.
Katika ziara hiyo ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Taifa hilo na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu...
afrikaafrikamashariki
balozi
balozi mahmoud thabit kombo
jamhuri
katika
mahmoud thabit kombo
mambo
mambo ya
mambo ya nje
mashariki
nje
thabit kombo
ushirikianoushirikianowaafrikamasharikiwaziri
ziara
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pamoja EAC- SADC unaojadili masuala ya amani nchini DRC.
afrikaafrikamashariki
balozi
balozi mahmoud thabit kombo
eac
mahmoud thabit kombo
mambo
mambo ya nje
mashariki
mkutano
nje
pamoja
thabit kombo
ufunguzi
ushirikianoushirikianowaafrikamasharikiwakati
waziri
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, katika mazungumzo hayo yaliyojikita katika masuala mbalimbali ya maboresho katika Tasnia ya Diplomasia...
afrikaafrikamashariki
kamati
kufanya
mahmoud thabit kombo
mambo
mambo ya nje
mashariki
mazungumzo
ndogo
nje
thabit kombo
ushirikianoushirikianowaafrikamasharikiwaziri
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesisitiza kuwa Tanzania itaendelea kuunga mkono juhudi za kurejesha hali ya amani na usalama zinazoendelea kufanywa sehemu mbalimbali barani Afrika ikiwemo Ukanda wa Afrika Magharibi, Pembe ya Afrika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.