ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata wa kienyeji kibiashara

    Wanajamii, Kama kuna mtu ana utaalam wowote wa ufugaji wa bata naomba tupeane elimu ili tuweze kufuga kisasa kwa ajili ya kutengeneza kipato. ===============
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Habari JF Doctor na wana jamii wote. Mdogo wangu wa kiume (23yrs) ana tatizo la kuwashwa mwili mzima tokea mwaka 2002. Nimezunguka naye takribani hospitali zote kubwa hapa Dar lakini hatujafanikiwa kupata ufumbuzi wa tatizo lake. Kwa ufupi ni kwamba alianza tu kuwashwa jichoni, macho...
  3. JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU GARI HII Wakuu rafiki yangu mmoja yupo interested na hizi gari aina ya Subaru Forester lakini kabla hajaingiza maamuzi mzima mzima alitaka kujua yote ya husuyo hizi aina za haya magari. Stability zake, upatikanaji wa spare na mengine yote ambayo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

    Mambo vipi wakuu, Nimeamua kujikita kwenye biashara ya daladala na bado nipo kwenye hatua ya utafiti. Nimepitia threads nyiiingi sana humu na watu wengi wanaoipiga vita hii biashara wanakuwa na hoja za "Biashara pasua kichwa", "Madereva watakunyonga" n.k bila kuelezea kiundani changamoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…