ushahidi

Ushahidi is an open source software application, and a non-profit technology company with staff in nine countries whose mission is to help marginalized people raise their voice and those who serve them to listen and respond better. It has been instrumental in creating the Kenyan tech ecosystem, known as the Silicon Savannah, and its employees have gone on to found iHub, Akirachix, and BRCK.The organisation uses the concept of crowdsourcing for social activism and public accountability, serving as an initial model for what has been coined as "activist mapping"—the combination of social activism, citizen journalism and geospatial information. Ushahidi offers products that enable local observers to submit reports using their mobile phones or the internet, while simultaneously creating a temporal and geospatial archive of events. The Ushahidi platform is often used for crisis response, human rights reporting, and election monitoring. Ushahidi (Swahili for "testimony", closely related to shahidi which means "witness") created a website in the aftermath of Kenya's disputed 2007 presidential election that collected eyewitness reports of violence reported by email and text message and placed them on a Google Maps map.The Ushahidi platform has been used by the United Nations Department of Field Services and Peacekeeping, in response to the Haiti Earthquake in 2010, to monitor the Nigerian elections in 2011, by the Obama Campaign for America 2012, by the Nepalese army to respond to the earthquake of 2015, in and by local activists groups such as Humanitarian Tracker to monitor violence in the Syrian civil war and HarassMap to help women report on sexual harassment.Successful deployment of crisis mapping applications like Ushahidi benefits from careful attention to how the technology fits into the relevant cultural settings, and focusing on realistic goals.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Kenyatta (Mwanza–Shinyanga) imekuwa changamoto

    Ukipita katika hii barabara utajiuliza maswali mengi sana. Kama kweli Tanzania tuna viongozi na serikali inayojisifu kuwa inakusanya Kodi kupita malengo. Ni aibu sana kuwa na barabara kuu Kama Ile tena katika Jiji la pili kwa ukubwa. Haina hadhi hata ya kuwa barabara ya mtaani tu. Kama Kuna mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Huenda Rais Samia ndiye alikuwa anamshauri Hayati Magufuli jinsi ya kudili na wakosoaji wake. Anayoyafanya sasa ni ushahidi

    Naanza pata picha kwamba Rais Magufuli huenda hakuwa Mbaya kivile na aliyekuwa Makamu wake wa Raisi ndie alikuwa ana mshauri mambo mabaya. Make huyu wa sasa mambo anayo yafanya hata Magufuli hakuyafanya ni beyond yale aliyofanya Magufuli Au labda Ofisi ya Makamu wa Raisi wakati wa Magufuli...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushahidi Video: MwanaCHADEMA aliyepigwa rungu la kichwa na kung'atishwa mbwa. Je, polisi bado mnakana kwamba hamhusiki?

    Katibu mkuu John Mnyika anaonesha video ya mtu mmoja aliyemtaja kwa jina la Noeli Mhema akiwa amelala chini baada ya kupigwa rungu la kichwa na kung'atishwa mbwa ambapo pembeni wanaonekana polisi pembeni na baadaye wakimpakia kwenye gari kumpeleka hospitali. Kwenye taarifa ya jeshi la polisi...
  4. JamiiForums Tanzania Elimu ya darasani haimfanyi mtu kuwa na akili nyingi kuliko wengine – Ushahidi uko wazi kwenye viongozi wetu.

    Kwa muda mrefu sana tumekuwa tukidanganywa kwamba elimu ya vyeti ndio kipimo cha akili au uwezo wa mtu kufikiri. Lakini tukitazama hali halisi ya nchi yetu, tuna viongozi wengi wenye PhD, Master's, au shahada, lakini wanashindwa kufanya maamuzi ya msingi yanayowanufaisha wananchi. Tuna walimu...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hizi Royalty Pranks zinazoendelea ni ushahidi Tosha hakuna mwanamke mwaminifu

    Kwema Wataalam ! Ndio linapokuja swali... Hivi mnaosema unawekeza kwa mwanamke una moyo imara vya kutosha kihimiri tukio atakalokutandika nao. Hapo chini nimeweka tu baadhi ya Comments za wadada asee ni balaa. Ushauri kwa wanaume wenzangu, Kama unataka kuwekeza na kuweka akili yako kwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Namna sura au muonekano wa mtu unavyosaidia kukamata suspects /watuhumiwa ikiwa hakuna ushahidi wa wazi

    sura ya mtu, muonekano wa nje hua unasaidia sana kudaka suspects mtuhumiwa Katika mazingira uhalifu ,au tukio limetokea lakini hakuna ushahidi wa moja kwa moja au wa wazi unaoweza kuonesha aliyefanya uhalifu huo, hua panapitishwa msako sasa kama kundi ni kubwa hua kuna factors hua...
  7. JamiiForums Tanzania 'Nyaraka yenye utata' yaibuka Mahakamani wakati shahidi akitoa ushahidi katika Kesi ya Mwalimu kutuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake

    Shahidi wa tatu upande wa Jamhuri katika Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi (11) ametoa ushahidi Aprili 15, 2025. Katika ushahidi huo ambao ulitumia takribani saa tano...
  8. JamiiForums Tanzania Ushahidi kuhusu kampuni za mikopo mtandaoni

    Habari wana JF, Ngoja nisonge kwenye mada, kwa kipindi cha miezi ya hivi karibuni nilikumbwa na changamoto iliyohitaji fedha ya haraka. Basi katika pita pita zangu nikaangukia kwenye kampuni za mkopo mtandaoni ambazo ni PesaX pro na Zimacash. Nilikopa na kulipa kwa wakati. Baada ya hapo...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Historia Kupitia Maneno ya Kawaida

    Ushahidi wa Historia Kupitia Maneno ya Kawaida Maneno tunayoyatumia kila siku yanaweza kutufundisha mengi kuhusu historia. Mfano mzuri ni neno "algorithm," ambalo linatokana na jina la mwanasayansi wa Kipersia wa karne ya 9, al-Khwarizmi. Hapa chini ni hadithi za kuvutia nyuma ya baadhi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mrejesho ungekua wewe ni mimi ungeweza? nimeambatanisha na picha kama ushahidi

    Kuna watu ni wagumu saana kuelewa wanadai kwamba kisa changu nilicholeta ni cha uwongo mrejesho na ushilahidi huu hapa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushahidi huu, Simba hawakuwahi kufanyiwa vurugu popote mechi ya Dabi

    Ukitazama video hiyo hapo chini, hakuna mahali popote Simba walipofaniwa vurugu kabla ya mechi ya Dabi zaidi ya kuzuiwa tu kuingia uwanjani. Hakuna mtu aliyesukumwa, hakuna mtu aliyepigwa ngumi, hakuna mtu aliyepigwa hata kibao na wala hakuna jiwe lililorushwa labda likavunja kioo. Isitoshe watu...
  12. JamiiForums Tanzania Ushahidi; ndani ya CCM bado kuna watu makini, "smart"

    Wasalaam Huu ndio ukweli mchungu.
  13. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika watakiwa kutoa ushahidi wa pesa za misaada

    "Viongozi wa Afrika wanahitaji kutupatia ushahidi wa kile wamekuwa wakifanya katika zaidi ya dola bilioni 13 wanazopokea kutoka Marekani kila mwaka au warudishe fedha hizo." — Elon Musk "Fedha zinatumika vibaya zaidi unapokuwa unatumia fedha za mtu mwingine kwa watu usiowajua. Utajali kiasi...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mungu na shetani kushirikiana kumtesa Ayubu ni ushahidi tosha kama Mungu na Shetani ni Marafiki. ndio maana Mungu hamuui shetani mpaka leo

    Mungu aliruhusu Shetani kumjaribu Ayubu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Ayubu katika Biblia. Hadithi inaanza na Ayubu, mtu mwema na tajiri, ambaye anamcha Mungu kwa uaminifu. Shetani anapinga uaminifu wa Ayubu, na kumwambia Mungu kwamba Ayubu anamcha Mungu kwa sababy ya mali tu ila sio...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu anaitwa Mungu? Sababu na ushahidi huu hapa

    1. Ushahidi wa Kibiblia Yohana 1:1 – "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu." Tito 2:13 – "Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Mungu mkuu na Mwokozi wetu Yesu Kristo." Yesu mwenyewe alikiri kuwa ni Mungu: Yohana 10:30 – "Mimi...
  16. JamiiForums Tanzania Anayetuhumiwa kulawiti Mtoto kwenye Vyoo vya Kanisa ashindwa kutoa Ushahidi, adai anaumwa, kesi yaahirishwa hadi Machi 3, 2025

    Mshtakiwa katika Kesi Namba CC.5866, Baraka Benedicto ambaye anashtakiwa kwa kosa la ulawiti, licha ya kufika Mahakamani, Februari 26, 2025 ameshindwa kutoa ushahidi wake kama ilivyopangwa kwa maelezo kuwa anaumwa. Kesi hiyo ambayo ina kipindi cha mwaka mzima tangu ilipoanza kusikilizwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania video, ligi yetu imeingiliwa, wachezaji wamefungwa na Yanga lakini wanacheka na kutaniana, mechi ya Pamba yatajirudia haya haya

    kwa hii michezo inayoendelea kwenye LA FAMILIA, mechi dhidi ya pamba haiwezi kuwa na utofauti Hili ni goli dhidi ya Mashujaa, wachezaji hawaonyeshi masikitiko yoyote, tunaweza kuona wakifurahi na moja wao akitaniana na mchezaji wa Yanga. Kwa haya yanayoendelea, shughuli ni pevu sana katika...
  18. JamiiForums Tanzania Ni upi Wajibu mpya wa Jamhuri katika kesi za Mauaji ambazo washukiwa wa mauaji huachiwa huru na Mahakama kwa Hoja za Ushahidi kua na mashaka n.k

    Tuchukulie Mfano, Kesi ya Mauaji ya Dada wa Bilionea Msuya. Huyu Dada aliuwawa ndio, Kwa kuchinja kiasi cha mwili wake na Kichwa kutenganishwa. Jamhuri kupitia Polisi ilikamata washukiwa, na masuala ya ushahidi, mwisho kesi ikaanza. Hatimaye, Washukiwa kuachiwa Huru !!. Ni kama Kesi...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna ushahidi gani kuwa CCM na Serikali yake ya sasa Wanapiga vita ushoga na usagaji? Toeni ushahidi

    Mwaka huu wa uchaguzi vyama vya siasa vishindane kwa hoja za msingi, CCM wakileta propaganda za kitoto na za kishamba kama za 2005 na 2015 wataaibika sana. Kamati ya CCM ya mipango ya kimedani ijieupushe na propaganda zenye utoto na za kizamani, CCM iweke bayana ni wapi ni ukurasa gani wa ilani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…