ushahidi

Ushahidi is an open source software application, and a non-profit technology company with staff in nine countries whose mission is to help marginalized people raise their voice and those who serve them to listen and respond better. It has been instrumental in creating the Kenyan tech ecosystem, known as the Silicon Savannah, and its employees have gone on to found iHub, Akirachix, and BRCK.The organisation uses the concept of crowdsourcing for social activism and public accountability, serving as an initial model for what has been coined as "activist mapping"—the combination of social activism, citizen journalism and geospatial information. Ushahidi offers products that enable local observers to submit reports using their mobile phones or the internet, while simultaneously creating a temporal and geospatial archive of events. The Ushahidi platform is often used for crisis response, human rights reporting, and election monitoring. Ushahidi (Swahili for "testimony", closely related to shahidi which means "witness") created a website in the aftermath of Kenya's disputed 2007 presidential election that collected eyewitness reports of violence reported by email and text message and placed them on a Google Maps map.The Ushahidi platform has been used by the United Nations Department of Field Services and Peacekeeping, in response to the Haiti Earthquake in 2010, to monitor the Nigerian elections in 2011, by the Obama Campaign for America 2012, by the Nepalese army to respond to the earthquake of 2015, in and by local activists groups such as Humanitarian Tracker to monitor violence in the Syrian civil war and HarassMap to help women report on sexual harassment.Successful deployment of crisis mapping applications like Ushahidi benefits from careful attention to how the technology fits into the relevant cultural settings, and focusing on realistic goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa hujui, Waisraeli wana haki ya kuichukua Gaza! Ushahidi huu hapa

    Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, amedhamiria kuitwaa Gaza yote bila kujali kelele za mataifa yanayompinga. Ujasiri huo anaupata wapi? Katika kupitia pitia Maandiko nimegundua kumbe ni halali yake kibiblia. Waisraeli wana haki kabisa ya kuimiliki Gaza, kwa sababu ni sehemu ya eneo...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wengi sana majukwaani wanapenda ,wanatafuta ,wanahoji, wanauliza, wanajenga na kuijadili h CCM ni ushahidi wanavutiwa na sera zake

    Wadau huo ni ukweli usiopingika labda kama takwimu husika ni za kughushi
  3. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi mashahidi watavyotoa ushahidi wao kesi ya Lissu

    Hebu tucheke kwanza! Hii kesi gani kama si aibu tupu? Mnataka kumshtaki Lissu kwa nia tena ya watu wengine eti walihamasika wakati hakuna kitendo chochote? Kuweni na aibu kidogo @judiciarytz hebu DISMISS this case urgently! Hakimu Kiswaga ulitaka livestream izimwe kwa sababu ulijua madudu haya...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kwa tusi hili na ushahidi naweza kufungua kesi?

    Kuna jamaa amenitukana matako ya bibi yangu Pia akasema navuta bangi na kuvuta unga mbele ya watu Je naweza kufungua kesi? Ushahidi wa simu ninao pia
  5. JamiiForums Tanzania Samia kumuachia Lissu kama inavyoongelewa. Somo hili ni ushahidi

    Habari za Jumapili. Inavyoonekana Samia anatamani sana kumuachia Lissu kama mfalme Sedekia alivyotamani kumuachia Nabii Yeremia, ila kuhofia ushawishi wa watesi. Kama Pilato alivyotamani kumuachia Yesu ila nguvu ya watesi (wahuni) ikawa kubwa. Na kuachiwa kwake kutakuwa ni jambo la kihistoria...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa Ushahidi huu hakika nakubaliana na Uongozi wa Yanga SC kusema kuwa Yanga SC haijachangia Hela yoyote ile katika Harambee ya CCM na Inasingiziwa tu

    Yanga SC kupitia Msemaji wao wamekanusha vikali kuwa hawajachangia Shilingi Milioni 100 kwa CCM na kusema kuwa aliyechangia ni GSM na wala siyo Yanga SC. Lala salama Ruge Mutahaba kwani ile Kauli yako uliyosema kuwa hapa duniani tuogope sana Vitu viwili Mungu na Teknolojia inaishi na itaishi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Imani, Ushahidi na Ushuhuda wa Kuaminika

    Imani, Ushahidi na Ushuhuda wa Kuaminika Biblia hushuhudia kwamba imani ya Wakristo ina msingi katika ukweli, kufikiri, ujuzi, na uthibitisho (Warumi 1:20; Zaburi 19:1-4; Yohana 5:31-47; Matendo 1:3; 26:25). Baadhi ya watu wanashangaa kwa nini Yesu aliwakemea mitume kwa kutilia shaka ufufuo...
  8. JamiiForums Tanzania WanaJF, Nawaahidi mashahidi wa Siri wa serikali tutawaweka wazi taarifa zao baada tu ya kutoka kutoa ushahidi

    Inachekesha sana, serikali ya Samia ipo nyuma ya muda. Kipindi cha nyuma, kuna askari magereza walikuwa wanamsindikiza Lissu wakiwa wamevaa kininja. Walim-treat vibaya kwa kudhani kwamba hawatajulikana, lakini nyinyi ni mashahidi. Niliwaletea full details za askari aliyemsukuma Lissu, kuanzia...
  9. C

    JamiiForums Tanzania "The Seismic Myth of Matthew" ni tukio lilio kosa ushahidi wa kigiolojia.

    " "Hadithi ya Kutikisika kwa Ardhi isiyokuwa ya kweli katika Mathayo 27:51. Wanasayansi wa geolojia* hawajapata ushahidi wa tetemeko kubwa la ardhi linalo lingana na hilo katika historia ya Yerusalemu mnamo karne ya kwanza. Tacitus, Josephus, au Pliny the Elder ndo wana historia wa kubwa wa...
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna Shahidi Anayeweza Kutoa Ushahidi Kwa Kificho Halafu Asijulikane Milele

    Uamuzi wa Mahakama wa kuruhusu mashahidi wa kificho, kwa kweli ni uamuzi wa kishetani, unaolenga kudhulumu haki. Hii ni njia ya waliombambikizia Lisu kesi ya uhaini, kuwatafuta mashahidi wa kutengenezwa. Hakuna msema ukweli anayeweza kuogopa kujulikana. Hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kuleta...
  11. JamiiForums Tanzania Mnaopangwa mashahidi wa kificho kwa Lissu kataeni kua mashahidi

    Kama Kuna Jambo ambalo Mashahidi wa Jamhuri Wanatakiwa walikwepe kwenye Kesi ya TUNDU LISSU ni KUKUBALI KUFICHWA TAARIFA ZAO Kwa kuogopa Et Wataonekana machoni mwa Watanzania. Nina wahakikishia, Ni heri Taifa liwafahamu ili baadae hali ikibadilika mjue namna ya Kujitokeza wazi na Kujitetea...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

    taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za...
  13. JamiiForums Tanzania Kutafsiri hotuba zilizotolewa kwa kiingereza ni ushahidi wa elimu yetu hafifu

    Mitaala yetu inafundisha Kiingereza kuanzia elimu ya msingi hadi vyuo vikuu. Kuanzia elimu ya sekondari hadi vyuo vikuu lugha ya kufundishia ni kiingereza tu. Tanzania ina watu wengi (90%) waliopata angalau elimu ya msingi ambao pia katika hali ya kawaida wangepaswa kujua kusoma, kuandika...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu vikubwa ambavyo Wanasiasa hasa wa CCM, vitendo vinaongea zaidi ya maneno, na wanasheria wanasema ushahidi wa kimaandishi unaheshimika zaidi

    Kuna vitu vikubwa ambavyo Wana siasa hasa wa Sisiemu, vitendo vinaongea zaidi ya maneno. Na wanasheria wanasema ushahidi wa kimaandishi unaheshimika zaidi wa kimaneno. Hivyo haya maneno ya dira, Haki, tume Huru, tume ya marekebisho ya utendaji Haki na maneno Mengine, haya maana kama haya...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  16. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu wapendwa Wasabato naomba leteni ushahidi kamili kupinga hoja kuwa Roho ya mwanadamu ina yo hali ya kutokufa au inayo hali ya kuishi milele

    Njooni na Ushahidi kamili Maandiko yaani Biblia na siyo maelezo kuthibitisha kuwa ROHO ya mwanadamu Haina hali ya kuishi Milele au Haina hali Kutokufa
  17. JamiiForums Tanzania WHO wathibitisha pombe ni sumu. Sasa nina ujasiri wa kusema: "kunywa pombe bila kulewa ni dhambi."

    Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mwenye ushahidi wa njama za kumuwekea sumu Lissu auweke hadharani na siyo kuichafua Serikali yetu kipindi hiki cha Kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazima tufahamu kama Taifa tuna maadui ambao kila siku wanawaza na kufikiria namna ya kuichafua Nchi na Taifa letu kimataifa,namna ya kuharibu taswira nzuri ya Taifa letu,namna ya kuvuruga amani na utulivu wa Taifa letu,namna ya kuharibu umoja wa kitaifa,namna ya...
  19. JamiiForums Tanzania Wale jamaa "USHAHIDI: JINSI MKOJO WANGU WA ASUBUHI ULIVYONIPONYA" waliishia wapi

    Watu wakaoga mamikojoo weee🤣🤣, sijui huko wanaendeleaje Mara sijui akashinda bet ya milioni 250 , aisee wabongo 🤣🤣
  20. JamiiForums Tanzania Inasikitisha kanisa katolilki nalo limeingia kwenye kundi la makanisa ya mchongo; ushahidi huuu hapa!

    Kabla ya kuandika uzi huu, naomba kutangaza maslahi kuwa mimi ni mmojawapo wa watu waliokuwa wakiliamini kanisa katoliki 100% hadi juzi nilipogundua kuwa hata kanisa katoliki nalo kumbe ni kanisa kanjanja kama yalivyo makanisa mengine ya ovyo hapa nchini Tanganyika. Katika pitapita zangu za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…