usambazaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Kituo cha usambazaji kilichojengwa na Wachina nchini Tanzania charahisisha biashara ya kikanda kote Afrika Mashariki

    Kwenye ghorofa ya tatu ya Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki (EACLC) nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania, majora mengi ya vitambaa yaliyopangwa vizuri yamejaza rafu huku wateja kutoka kila pembe ya nchi na nje ya nchi wakiingia ndani. Na kwa Ayoub Katuga...
  2. N

    Wanaofanya kazi ya usambazaji mashine, vifaa vya umeme haswa unaotumika migodini naomba mawasiliano

    Nahitaji masiliano ya ukaribu na wauzaji na wasambazaji wa vifaa vinavyo uzwa mgodini, bila kujali mahali walipo
  3. Polisi Geita: Maadimi wa magroup ya Whatsapp chukua hatua madhubuti kudhibiti usambazaji wa taarifa za uchochezi

    Kwahiyo tumeanza kupangiana cha kufanya kwenye magroup au sio? ============= Jeshi la Polisi mkoani Geita limewataka viongozi wa makundi Whatsapp kuchukua hatua madhubuti kudhibiti usambazaji wa taarifa za uchochezi na uvunjifu wa amani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo ametoa...
  4. L

    Mradi wa usambazaji maji uliojengwa na China wanufaisha maisha katika mji mkuu wa Angola

    Katika eneo la ujenzi wa Mradi wa Usambazaji Maji wa Quilonga unaotekelezwa na Shirika la Ujenzi wa Nishati la China (PowerChina) mashariki mwa Luanda, mji mkuu wa Angola, wafanyakazi wanashughulika na kazi zao kwa utaratibu mzuri. Figueira Kalunga, fundi wa usimamizi wa usalama, anazunguka...
  5. REA kuanza usambazaji na uuzaji wa majiko banifu mkoani Rukwa

    REA KUANZA USAMBAZAJI NA UUZAJI WA MAJIKO BANIFU MKOANI RUKWA . Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Ndugu Msalika Makungu, leo Agosti 27, 2025, ametembelewa na ugeni kutoka Wakala wa Nishati Vijijini katika ofisi yake iliyopo katika mtaa wa 1 Barabara ya mkoani mkoa wa Rukwa.. Wakala huo ambao...
  6. GE2025 Je, usambazaji wa vifaa kama tisheti, Kofia na vitenge vya vyama kabla ya kampeni ni sawa, au ni mbinu ya kudhoofisha demokrasia?

    Wakuuuu! Wakati taifa letu likielekea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, vyama vya siasa vimeanza mchakato wa kuwapata wagombea wao. Hata hivyo, kumekuwa na hali inayoibua mjadala, baadhi ya vyama vimeonekana kugawa kofia, tisheti na hata vitenge vyenye nembo zao kabla ya muda rasmi wa kampeni...
  7. Wananchi Njombe waomba kasi kuongezwa katika Usambazaji wa Umeme Vijijini (REA)

    WANANCHI wa Mkoa wa Njombe ambao bado hawajafikiwa na huduma ya umeme wameiomba serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme katika kaya zao ili waweze kuutumia kwa shughuli za kiuchumi na kijamii. Hayo yameelezwa...
  8. Mfumo wa usambazaji fiber (mkonga ) TTCL umekosa plan japo wana huduma nzuri ya internet

    Katika shirika ambalo kampuni za simu nyingi utumia kama shamba la bibi ni TTCL. Ukija kwenye huduma za fiber yani hawana tofauti na Shirika la maji na mabomba yao kwenye usambazaji. Kunapotokea njia ndefu za kupeleka fiber yani ni kama zimewekwa tu kupeleka huduma. Ili linawakumba sana...
  9. A

    Biashara ya usambazaji bidhaa za dukani.

    Habari wakuu, Husika na kichwa Cha habari, Tumekuwa tukifanya usambazaji wa bidhaa za dukani(pipi,tomato,n.k) kwa kutumia mfumo wa store, Yani unaingiza mzigo store Kisha unapita maduka ya jumla kutafuta oda za vitu mbalimbali ili uweze kumpelekea mteja. kwa ufupi Ni Kama distributor lakni Katka...
  10. Tunatafuta ubc aluminum scrap kwa usambazaji wa kuaminika kwa ajili ya usafirishaji kwenda Thailand

    Habari wana forums, Nina mteja (company) kutoka UAE ambaye anatafuta reliable supply ya UBC aluminum scrap. Ikiwa una bidhaa hii au una taarifa za mtu/mashirika yanayoweza kuwa nayo, tafadhali tuwasiliane kwa mazungumzo zaidi. Malipo ni cash, na bidhaa zitapelekwa nje kwenda Thailand...
  11. I

    Kwanini TANESCO wasiruhusu sekta binafsi kusambazia umeme wananchi majumbani?

    Katila jambo ambalo huwa linanifikirisha mpaka leo, ni jinsi ambavyo wateja wanaotaka kuunganishiwa umeme ni wengi sana, lakini Tanesco imeshindwejekuwafikia. Na wale wanaounganishiwa umeme,basi kasi ni ya kusuasua sana, tena wengine ni mpaka watumie njia ya mkato. Hii ina maana Tanesco, pamoja...
  12. Nani anayelipia usambazaji wa habari hii kuhusu kukamatwa wanachadema?

    Viashiria vinaonesha yupo mtu au kundi la watu wanaolipia hii habari ili iwe viral.
  13. S

    SoC04 Serikali ichukue hatua madhubuti kudhibiti utengenezaji na usambazaji wa pesa bandia

    Kumekuwa na utiriri wa pesa nyingi za bandia mtaani noti pamoja na sarafu za mia tano serikali inatakiwa kufanya yafuatayo ili kuondokana hali hii I) KUELIMISHA UMMA Uhamasishaji unatakiwa kufanyika ili kuwaelimisha wananchi jinsi ya kutambua pesa halisi na pesa bandia hii ni pamoja na...
  14. G

    Vita ya Wasafi na kampuni ya usambazaji wa Muziki 'ZIIKI MEDIA' imefika pabaya, ZIIKI wazuia utoaji wa wimbo wa Lavalava, Diamond awachana

    Ziiki Media kampuni kutoka Kenya inasimamia usambazaji wa muziki kidijitali, Ziiki inashirikiana na kampuni zaidi ya 200 za ku-stream muziki online, wao wanakusambazia muziki kwenye platforms online kisha hukusanya mapato ya kwenye hizo platforms kwa niaba ya msanii. Pichani ni boss wa ziiki...
  15. Kiongozi wa HAMAS anayesimamia usambazaji auawa ndani ya hospitali ya Al Shifa

    Kaenda zake kujilia mabikira..... he IDF has intensified operations within Shifa Hospital in recent weeks, where they killed numerous terrorists, including a Hamas official. By JERUSALEM POST STAFFMARCH 28, 2024 20:23Updated: MARCH 28, 2024 20:51 Hamas official Ra'ad Tabath.(photo credit...
  16. Tusifanye usambazaji wa konekshen za watu kuwa jambo la kawaida, tunaharibu maisha ya watu

    Naona tumefanya unyanyasaji wa mtandaoni uonekane kama kitu cha kawaida bila kujali kwa kufanya hivyo tunaweza kuharibu maisha ya watu wengi sana, kwasababu unyanyasaji au bullying kwa kimombo inaathiri sana afya za akili za watu. Siku hizi mambo mengi yapo hadharani na yanaelezewa kwa upana...
  17. Waziri Aweso aigaza DAWASA kuboresha miundombinu ya uzalishaji maji ya Ruvu Chini na Ruvu Juu

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha inafanya maboresho kwenye mitambo ya uzalishaji maji ya Ruvu Chini na Ruvu Juu hususani pampu za kusukuma maji ili kuwezesha huduma ya maji iweze kupatikana kwa ufasaha na kwa...
  18. Waziri Mchengerwa aagiza Wakuu wa Mikoa kusimamia usambazaji wa sukari

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua wafanyabiashara wote wanaohujumu upatikanaji wake. Akitoa agizo hilo leo Februari 21, 2024 Ofisi ndogo...
  19. Usambazaji wa Sukari nchini kusimamiwa na Wakuu wa Mikoa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua wafanyabiashara wote wanaohujumu upatikanaji wake. Akitoa agizo hilo leo Februari 21, 2024 Ofisi ndogo...
  20. Naibu waziri Ridhiwani Kikwete azindua usambazaji wa mifumo kuboresha uwajibikaji kazini

    Uzinduzi wa Zoezi la Usambazaji wa mfumo wa kutathmini na kuhakiki utendaji wa kazi wa Watumishi na Taasisi yaani PEPMIS/ PIPMIS NA HR Assessment limefanyika mapema tarehe 20 Novemba 2023 katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, mjini Iringa. Akizungumza wakati anazindua mpango huo wa usambazaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…