Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetangaza kuwepo kwa upungufu wa uzalishaji na usambazaji wa maji kwa wakazi wa Jiji la Mwanza kutokana na hitilafu ya umeme katika vituo vya uzalishaji na usambazaji wa maji.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa Juni 9, 2026, hali...
Katika shambulio la Iran lililolenga Qatar siku ya Ijumaa shambulio hilo limeharibu sehemu za kiwanda cha umeme na uchujaji wa maji,
=========
Kuwait imesema kuwa kituo cha kusafisha maji ya bahari (desalination plant) pamoja na kiwanda cha kusafisha mafuta vimeshambuliwa na Iran huku mataifa...
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar Es Salaam(DAWASA) @dawasatz Mhandisi Mkama Bwire amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusaidia upatikanaji wa maji katika Wilaya ya Kinondoni kufikia asilimia 97%.
Akizungumza katika Kikao Kazi cha DAWASA na...
USAMBAZAJI WA MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI
Jimbo la Musoma Vijijini lenye vijiji 68 linayo miradi ya usambazaji wa maji ya bomba ndani ya vijiji vyote 68 - tunaishukuru sana Serikali yetu
Mradi wa Kata za Busambara & Kiriba:
Tenki la ujazo wa lita 500,000 limejengwa Kijijini Mwiringo kwa...
WAKAZI DAR ES SALAAM YA KUSINI WAPEWA UHAKIKA MAJISAFI IFIKAPO DISEMBA 2024.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi (Mb) ameridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa usambazaji maji Dar es Salaam ya kusini maarufu kama Bangulo na kuahidi kukamilika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.