usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: 'Pattern' ya matukio ya jana, inaonesha kuna ushiriki wa idara ya usalama wa taifa, na serikali moja kwa moja

    "Matukio haya kwa Pattern yake pamoja na kuwa mzigo wote unaliendea jeshi la polisi kwa sababu jeshi la polisi na vyombo vyake ndilo ambalo lilikuwa mstari wa mbele siku ya jana kwenye kamatakamata kwenye vipigo, kwenye matukio yote. Lakini ukiyatazama kiundani matukio ya jana kivyovyote vile...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi, Tume ya Uchaguzi, na Kamati za Ulinzi na Usalama Dar vinara wa kufanya uovu wa kimfumo: Tunakwenda wapi baada ya hapa?

    RC Chalamila akipiga marufuku mikutano ya kisiasa eneo la Kariakoo pasipokuwa na mamlaka ya kisheria kufanya hivyo Uovu binafsi hutendwa na mtu mmoja mmoja kutokana na maamuzi ya mtu mmoja huyo. Lakini, uovu wa kimfumo hutendwa na watumishi wa taasisi kutokana na maamuzi ya vikao vya ndani ya...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Hatari Zilizofichika Katika Uchapishaji (Printing): Wasiwasi wa Usalama Katika Maghala ya Uchapishaji Kariakoo

    Katika baadhi ya viwanda na maghala ya uchapishaji yaliyoko Mtaa wa Jangwani, eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, shughuli za uchapishaji zinaendelea katika mazingira yasiyo salama na yasiyozingatia viwango vya usalama kazini. Majengo mengi ya biashara yenye ghorofa yanatumika kwa shughuli...
  4. JamiiForums Tanzania Chatgpt inavyoweza kua Hatari kwa Usalama wako na Taifa..

    Wapenzi wa Movie Kuna movie ya zamani Sana Tom Cruise kijana mdogo inaitwa The Color of money,. Story,Kuna mzee ujana wake alikua fundi Sana wa kucheza Pool table alikua maarufu na ndoto yake aje kua bingwa wa dunia na kutajirika kupitia Pool table,.Ila akazeeka hajafanikisha hayo,so mzee akaja...
  5. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Usalama wa Ndani Marekani aibiwa pochi nene!

    Katibu Mkuu wa Usalama wa Ndani nchini Marekani, Kristi Noem ameonja adha wa wananchi wa kawaida nchini humo Kaibiwa pochi nene kabisa. Ndani ya pochi mlikuwemo bulungutu la kushiba mtu, $3,000(dola elfu tatu na ushee) Kwa hela hiyo mimi ningeagiza Subaru Forester. Mkuu huyo wa Usalama...
  6. JamiiForums Tanzania Vyombo vya ulinzi na usalama viko wapi wakati CCM wanahatarisha usalama wa nchi kwa kukataa reforms?

    “Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
  7. JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama wa Kitaifa Itamar Ben Gvir anaapa kupambana

    Waziri wa Usalama wa Kitaifa Itamar Ben Gvir anaapa kupambana na uamuzi wa Israeli wa kutaka kurejesha msaada kwa Gaza, akiita "kosa la kihistoria." Anasema, "Maadamu mateka wetu wanakufa wakiwa kwenye Mahandaki, hakuna sababu ya pun je ya chakula au msaada kuingia Gaza," akiwataka Netanyahu na...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kukutana na Trekta, Guta, au mikokoteni ya ng'ombe na punda inayohatarisha usalama wa barabarani?

    FUNGUKA! Huenda safari zako nyingi ni za usiku. 1. Je, uliwahi kukutana na Trekta, Guta, au mikokoteni ya ng'ombe na punda ambayo inahatarisha usalama wa barabarani? 2. Taja wilaya/mkoa, au eneo lolote lenye changamoto ya wingi wa matrekta, guta, au mikokoteni ya ng'ombe na punda ambayo...
  9. JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa mnatuatilia maoni ya watanzania kuhusu Uchaguzi?

    Swali huwa najiuliza toka Miaka mingi Hivi Usalama wa Taifa huwa wanasoma Comment za watu Katika Mitandao ya kijamii, kuhusu comment za Raia wanavyouona Uchaguzi ktk Nchi ya Tanzania. Je Wao kama Usalama wa Taifa wanaona Nini kimo ndani ya miyoyo na uelewa wa Tanzania.
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima ahimiza Serikali za Mitaa kuimarisha ulinzi na usalama kwa mtoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima amesema serikali za mitaa ni kitovu cha utekelezaji wa mikakati ya ulinzi na usalama wa mtoto iwapo jamii itatoa taarifa kwa wakati kuhusu changamoto za kifamilia ambazo ni tishio kwa ustawi wa watoto Ili wataalamu wa ustawi wa jamii kwenye...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Moto ni Moto tu, Yeyote Anayetaka Kuhatarisha Usalama wa Nchi Shughulika Nao

    Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada. Mimi nitaenda wapi kikinuka, nitaenda Msumbiji? Nitaenda Uganda? NItaenda...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua usalama wa fedha za mwekezaji wa UTT pamoja na uhakika wa faida

    Wakuu wasalaamu, naomba niulize kuhusu usalama wa kuwekeza fedha katika mfuko wa uwekezaji(UTT), vipi bei za vipande zikishuka, hutopata hasara? Hakuna member hata mmoja humu aliyewahi kukumbana na kadhia ya hasara kutokana na kushuka kwa bei za vipande? Au ni changamoto gani mliyokumbana...
  13. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mh. Rais: Ombi la Haraka kwa Mh. Rais la kulinda Usalama wa Raia na Mali zao Jijini Dodoma kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

    Kwa sasa, usalama wa raia na mali zao jijini Dodoma umekuwa katika hali mbaya sana. Kila siku, vifo vya watu vinarekodiwa mitaani, huku serikali ikiendelea na kimya. Hali hii ya kutisha inahitaji hatua za haraka na madhubuti ili kuokoa maisha ya watu. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni...
  14. JamiiForums Tanzania TUNDU LISSU dhidi ya CCM +Mbowe+Chawa wa Mbowe +Vyombo vya Usalama Nchini !!.Nyuma ya Lissu Kuna nguvu ya KIUNGU !!.

    Ukiwa Hauna D mbili, unaweza kushupaza Shingo tu na kumchukulia LISSU kama mtu wa kawaida sana . Sasa Iko hivi, Mungu muumbaji humtegemeza MTU mwenye HAKI , Kwa Mungu ukiwa mwenyé HAKI na Usokua na MAWAA utatengenezwa kua Very powerful kuliko kitu chochote kile. Silaha pekee alizonazo LISSU...
  15. JamiiForums Tanzania Maadui wa Israel popote hawana usalama

    Maadui wa Israeli hawako salama popote. Kiongozi wa Namba 1 wa Hamas, Sinwar, aliangamizwa Gaza 🇵🇸. Kiongozi wa namba 2 wa Hamas, Haniyeh, aliangamizwa Iran 🇮🇷. Kiongozi nambari 1 wa Hezbollah, Nasrallah, aliondolewa nchini Lebanon 🇨🇦. Israeli itaendelea kuwawinda magaidi popote walipo!!
  16. JamiiForums Tanzania Picha: Chombo cha usafiri kutembea bila taa usiku, je ni salama?

    Picha inajieleza, chombo hakina taa kinatembea usiku kwa hisani ya aliyetangulia mbele na kimenyofolewa namba za usajili ili kisitambuliwe. Je usalama barabarani unabagua?
  17. K

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya usalama vikiweka uzalendo Tanzania itabadilika

    Vyombo vya kiusalama vikianza kufanya kazi kwa viapo vyao na sio kusaidia chama chochote hii nchi itabadilika. Malawi , Kenya, na Zambia vyombo vya usalama vilikataa kuiba kura ndiyo mabadiliko yakaja 1. Wafuate viapo vyao 2. Walinde wananchi, haki, kura, na chaguzi huru 3. Wasitumike kwenye...
  18. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Majengo ya Skuli ya Msingi Mchangamdogo - Pemba yanahatarisha usalama wa Walimu na Wanafunzi

    Nimepita katika mitaa ya karibu na ndugu zangu, nilichokiona kilinipa masikitiko, kuna baadhi ya majengo la Skuli ya Msingi Mchangamdogo iliyopo Wilaya wa Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba sio salama kwa matumizi. Wazazi pamoja na Walimu wa skuli hiyo wamekuwa wakilalamikia juu ubovu wa madarasa ya...
  19. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nitashangaa ikiwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vitaliacha hili jambo lipite bila kuchukua hatua. Tunakoelekea sio kuzuri

    Habari zinazosambaa mitandaoni zinatisha. Kama ni za kweli au la hilo tuliache kwa vyombo vyenye mamlaka. Imefika mahali Watu wanashirikiana na watu wasiolitakia mema Tanzania kutia hofu, kuleta taharuki na vurugu. Hii yoote ni kwa sababu gani? Kwanini chama cha siasa kisitumie mbinu zake za...
  20. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latolea ufafanuzi tahadhari ya usalama iliyotolewa maeneo ya Pwani, Kisiju, wasema nchi ipo salama

    Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Msemaji wake, Limetoa taarifa kwa umma likiwasihi wananchi wake kuendelea kufanya shughuli zao kwa amani utulivu huku likiwahakikishia kwamba nchi ipo salama. Aidha katika taarifa hiyo hiyo jeshi limeutaarfu umma kwamba bado linashirikiana na vyombo vingine vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…