Kwa mujibu wa Mfumo Salama wa Usalama Barabarani (Safe system approach), kunapotokea ajali barabarani, maana yake kuna sehemu kwenye mfumo wa usalama barabarani ni dhaifu na hivyo pamefeli. Kufeli huko husababisha madhara mbalimbali ikiwemo ajali yenyewe, vifo, majeruhi, na uharibifu wa mali...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde, amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua za haraka katika kuimarisha usalama barabarani kwa kuboresha usanifu wa miundombinu, kuimarisha utekelezaji wa sheria, pamoja na kuwajengea uwezo wataalamu ili juhudi hizo ziweze kuleta matokeo...
Na utaambiwa mamla husika haioni haya?
Gari mbili tofauti na zina plate number moja zinatamba barabarani alafu utaona trafic wako busy kukamata daladala na vyombo vya usafiri vya watu wa hali ya chini.
Mamla husika tafadhali mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Haiwezekani hawa big fish...
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Alhaj. Jabir Shekimweri ametembelea banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane' yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, ambapo ametoa wito kwa taasisi hiyo kushirikiana na taasisi nyingine na...
Hii hali imekuwa ikijitokeza mara kadhaa, kuanzia dereva hadi kondakta wamekua na utamaduni mbovu sana kwa kuonyesha namna walivyokosa maadili kwa kutumia lugha za matusi na maneno makali kwenye vyombo vyao vya usafiri bila kujali watu walio wapakia na wanajua fika kuwa watu wanaowapakia ni...
Badala ya kukimbia barabarani ,washiri kwa kujiunga kwa kutumia linki ya mtandao huku wakifanya mazoezi haya ya kukimbia marathoni katika maeneo maalumu na mahususi kwa ajili ya michezo na mazoezi kama vile viwanja vya michezo, na wengine wanaweza kushiriki wakiwa hata nyumbani kama wana...
Jeshi la Polisi kupitia Makao Makuu ya Kikosi cha Usalama barabarani Tanzania limewaonya Madereva na Makondakta wa vyombo vya moto mikoa yote nchini kuacha kuzidisha abiria wanapokuwa safarini na kuzingatia kanuni za Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini (LATRA) kwani jeshi halitosita kuchukua...
Wakuu katika watu ambao wapo reckless kabisa kwenye swala la driving ni madereva wa Mabus
Mabus yameshapoteza ndugu zetu wengi sana na Wengine Kuwapa ulemavu wa kudumu Ajabu ni Kuwa mamlaka hazina habari kabisa na uvunjifu wa sheria unaofanywa na mabus, Wao kila muda ni kuwahi tu wanaendesha...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga ambaye pia ni Mlezi wa Kamati ya usalama barabarani Mkoani humo Juni 12, 2025 aliwaongoza wajumbe wa kamati hiyo kufanya ukaguzi wa maendeleo ya utekelezaji wa maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Dkt...
Picha inajieleza, chombo hakina taa kinatembea usiku kwa hisani ya aliyetangulia mbele na kimenyofolewa namba za usajili ili kisitambuliwe. Je usalama barabarani unabagua?
Katibu Mtendaji wa Kamati hiyo SSP. Zauda Mohamed (wa kwanza kushoto) akiwa pamoja na Maafisa, Wakaguzi na Askari kutoka kikosini wakipokea vifaa vya TEHAMA kwa Mjumbe wa Kamati hiyo Bi. Veronica Ignatus mapema wiki hii jijini Arusha.
Na Mwandishi Wetu.
Kamati ya Usalama barabarani Mkoa wa...
Hii dunia ya Duara. Tutakutana tu.
Yaani ata kuelezea nashindwa, ila mmenikera sana. Kila anaeingia ofisini kwenu anatoka analalamika. Nikajua labda wao ndio jau.
Kuingia, mnakaripia tu kila mtu. Vitoto vidogo mnakaripia wakubwa zenu kisa mmevaa izo sare za khaki.
Nilishindwa kusoma jina au...
Ukiwa KENYATA ROAD (Mataa/Makoroboi) hadi kufika nata bajaji zimekua nyingi sana wa mbaya zaidi wanavunja sana sheria.
Wanapaki wanavyojisikia, wanageuza katikati ya barabara kuna wakati unaweza kuta zinatembea Bajaj mbili lane moja wamejaa wao mmoja kushoto mwingine kulia na wanatembea mwendo...
Habari Mbaya sana.
Askari Polisi wa Uslama Barabarani kagongwa huko Gongo la Mboto na kupoteza maisha hapo hapo barabarani.
Picha haitazamiki mara mbili kwani Ubongo upo nje.
Huwa aka yake anaitwa Mzee wa Busara.
Taarifa kamili watatoa polisi wenyewe.
Apumzike kwa amani.
picha kwa hisani ya Masoud Kipanya,toka mtandaoni!
👉🏾Kwani toka lini bodaboda hasa katika jiji la Dar Es Salaam ,mkapata exceptions kwenye mataa na junction mbalimbali hasa taa za barabarani zinapowaasa msimame??,Kwanini kwenu kufuata taa na alama za barabarani imekuwa nongwa?? Mnahatarisha...
Kwa kasi ya ukuaji wa teknolojia kwenye tasnia ya magari, self driving cars sio muda itakua kitu cha kawaida.
Kwa nchi za wenzetu, wameshajipanga kwa ilo na kua na sheria na miongozo mbalimbali ya self driving cars.
Wana sheria zitakazo solve migogoro endapo itatokea ajali, kutakua na...
Kwangu binafsi naona ni mwendelezo wa unafiki wa Polisi Tanzania. Umesikia hata siku moja pale inapotokea ajali ya gari za serikali, hasa hizi Landcruiser ST.. wakisema ajali imesababishwa na uzembe wa dereva? Na kila mtu anajua madereva wa hizi ST.. wanaendesha gari kwa fujo bila kufuata sheria...
Kama kila kosa la Bajaj na bodaboda ni sh. 10000 mkiwatoza effectively hata mabosi wao hesabu hawataziona. Mkiwapeleka Mahakamani watajazana huko na serikali itakuwa busy kwa vitu visivyo na msingi.
Dawa ni vibao tu kwa hili kundi la vijana wa bodaboda na Bajaj.
Makofi sometimes huweka akili...
Ndugu zangu Watanzania hususan abiria mnao abiri hayo mabasi, jitahidini sana kuwakemea madereva wajinga kama huyo hapo kwenye video.
Eneo la makazi kama hilo ni wazi mwendo kasi ni chini ya 50. Lakini pamoja alama inayo ruhusu watembea kwa miguu kuvuka bado basi linapita likiwa mwendo kasi...
Wanabodi Habarini...
Leo Nimesimamishwa Na Askari Wa Usalama Barabarani akwa Kosa La Kutofunga Mkanda. Nilipomuona Ananifata Nikajiongeze Kufunga Kumbe Kashaniona. Ikanibidi Nikiri Kosa Na Kuomba Kujirekebisha, Tukaongea Kikubwa Yakaisha.
Swali Ambalo Nilijiuliza Na Hata Yeye Nilimuuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.