usaili

  1. H

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili Jumamosi ni kama ubaguzi kwa Wasabato

    Kumezuka tabia ya baadhi ya Waajiri ikiwemo Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili siku za Jumamosi ( hususani Usaili wa Mchujo). Kitendo hiki ni Kinatafsiriwa kama Ubaguzi (Discrimination) kwa waumini wa Kanisa la Waadvetista Wasabato ambao Jumamosi ni siku ya Ibada therefore, by doing so...
  2. JamiiForums Tanzania Mliofanya Usaili leo Utumishi (Oral Interview) tupeni habari Usaili ulikuwaje

    Wasaka shavu wote mlikuwa mnapambania keki Serikalini Leo, Usaili umeendaje huko? Tupeni info's basi, maana najua hayo maswali huwa wanarudiaga hamna mpya chini ya jua.
  3. JamiiForums Tanzania Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

    Habari, Nini kilikusaidia kufaulu usaili wa ana kwa ana (oral) au ulikosea wapi? Naomba tushare expirience wakuu.
  4. JamiiForums Tanzania Wahukumiwa kifungo cha nje miezi sita kwa kufanyiana usaili ulioratibiwa na Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma

    Mahakama ya Wilaya ya Dodoma imewatia hatiani waombaji kazi wawili Mabula Edward Kanga pamoja na Joel Johnson Kimatare baada ya kufanya udanganyifu wakati wa zoezi la usaili kwa nafasi za Uhandisi Ujenzi uliofanyika tarehe 08 Mei, 2021 katika Ukumbi Wa Chuo Kikuu cha UDOM. Kutokana na umakini...
  5. JamiiForums Tanzania Usaili TRA

    In God, we trust.
  6. JamiiForums Tanzania Waliofanya usaili wa nafasi ya Data Officer MDH

    Heshima kwenu wakuu, Kwa tuliofanya interview ya Practical nafasi ya Data Officer MDH pale Kijitonyama kuna yeyote ambae kashapigiwa simu kwenda kwenye Oral Interview?
  7. JamiiForums Tanzania Majina ya walioitwa kwenye usaili manispaa ya Temeke-postikodi

    Wale wa manispaa ya Temeke kwenye ukusanyaji anwani za makazi na postikodi majina haya hapa
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua kwa wale waliofanya interviews za ICT Officer DUCE

    Wadau humu ndani. Nilikuwa nataka kujua kwa wale waliofanya interviews za ICT Officer DUCE tarehe 05/01/2022 mifumo ya maswali ilikuwaje kwa Kada za Business Analysts, Network Administrator, System Design and Development na User and Support kwa paper za written. Siyo mbaya kwa waliofanikiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Usaili udom

    Habarini za asubuh, alofika Leo hapa udom kwajili ya usaili Wa kada ya technician II signal and telecommunication tujuane
  10. JamiiForums Tanzania Usaili kada ya Business System analyst

    Wadau naomba hints wenye uzoefu kada ya ICTO BUSINESS SYSTEM ANALYST...hasa kwenye practical nipitie vitu gani?Msaada
  11. JamiiForums Tanzania Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira ya Konstebo wa Uhamiaji 2022

    Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira ya Konstebo wa Uhamiaji 2022.
  12. JamiiForums Tanzania Usaili EWURA unafanyika Lini kwa waliotuma maombi ya kazi?

    Usaili EWURA unafanyika Lini kwa waliotuma maombi ya kazi? Hii imekuwa unyanyasaji mkubwa Kwani maelfu walituma maombi ila ewura wamepiga kimya au walishaajiri? Tunaomba majibu
  13. JamiiForums Tanzania Majina ya walioitwa usaili TANAPA

    Habari wana jamii forum, Walioitwa kwenye usaili TANAPA mkeka huo hapo
  14. JamiiForums Tanzania Usaili wa PCCB Dodoma umenikutanisha na Ex’s wangu kwa ufupi tu ukiona manyoya jua keshaliwa

    Baada ya jana kumpokea stendi kuu ya Dodoma na kumlipia lodge, akanipa tunda maana tuna miaka miwili hatujaonana na huyu Mama E. Asubuhi nikampeleka chuo cha Dodoma kwenye usaili, mchana nikamfuata nikampeleka Malaika Annex kula kuku wa kuchoma baadae nikampeleka room kwake akapumzike kidogo...
  15. JamiiForums Tanzania PCCB usaili Dodoma

    Habari zenu wakulungwa!! Naomba kujua mtu ambaye ataenda/yuko invited kwenye usaili wa PCCB Jumamosi ijayo pale Dodoma? Anayetokea Dsm, Mwenye private car tuchangie mafuta twende naye Asante
  16. R

    JamiiForums Tanzania Jamani TAKUKURU, kuita watu 12,377 kwenye usaili kwa nafasi 200 ni sawa?

    Wakuu mmeshasikia usaili utakaofanyika 8/1/2022. Usaili huu utajaza jiji la Dodoma umati wa watu 12,377 hao ni wa nafasi ya afisa uchunguzi tu. Kuna nafasi ya afisa uchunguzi wasaidizi wameitwa watu 9,729 kwa nafasi ya watu 150 tu. Jumla ya wasailiwa inakuwa 22,106 kwa ajili ya jumla ya...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Udhalilishaji katika Usaili unaofanyika na Sekretarieti ya ajira

    Wanaita watu wengi Sana katika usaili hii nilifanikiwa kuifatilia ni fani ya ICT Officer (System Administrator) wanaitaji nafasi moja lakini wameita watu 752. Vijana waliohudhuria pale wamezuiliwa kuingia kwenye usaili ni wengi sababu ya kuzuia mfano mwingine alikua anashiriki hizo interview...
  18. JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa kwenye usaili jeshi la polisi makao makuu 2021

    DOWNLOAD PDF FILE CHINI
  19. P

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye orodha ya majina ya usaili wa jeshi la polisi anisaidie

    Kumradhi mwenye orodha ya majina ya usali wa jeshi la polisi kwa zile kada/ fani maalum anisaidie
  20. JamiiForums Tanzania Hivi FINCA wanatoaga majibu ya Usaili baada ya muda gani?

    Nmefanya Usaili Finca J4 ila mpaka Leo siku ya 5 naona Kimya au ndio ule msemo wa ukiona manyoya ujue kashaliwa😂😂😂 Ila nilifanya vizuri nina uhakika Labda kama kuna mtu yoyote anaefahamu recruitment process yao huwa inachukua muda gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…