usafiri wa mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushtukiza Kivukoni kukagua hali ya usafiri wa mwendokasi

    02 September 2025 WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHTUKIZA MWENDOKASI AZUNGUMZA NA WANANCHI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara katika kutuo cha Mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) cha Kivukoni kilichopo Posta jijini Dar es Salaam kukagua hali ya usafiri na usafirishaji kupitia magari...
  2. Waufukweni

    Mabasi mapya ya Mwendokasi ya MOFAT yaanza kubeba Abiria Gerezani–Mbezi

    Mabasi Mapya yaendayo haraka ya Kampuni ya Mofat yameonekana asubuhi ya leo (2/10/2025) yakibeba abiria katika vituo vya mwendokasi yakitokea Gerezani kwenda Kimara-Mbezi. Hii inakuja siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila kufika kituo cha mwendokasi Kimara na...
  3. DuaZaMama

    Polepole uliahidi kufichua yanayoendelea kwenye usafiri wa mwendokasi, huu ndio muda mwafaka

    Aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, aliwahi kusema kupitia njia ya mtandao kwamba atafichua uozo uliopo ndani ya mradi wa mwendokasi. Kauli hiyo bado inabaki vichwani mwa watanzania wengi, hasa wakati huu ambapo huduma za mwendokasi zimekuwa zikilalamikiwa kwa...
  4. Mindyou

    Hii video ya wanafunzi wa Primary wakiwa wanasubiri mwendokasi hadi Saa 2 Usiku inafikirisha

    Wakuu, Kuna hii video nimekutana nayo ambapo hawa wanafunzi wanasemekana wamekaa hapo kwa mwendokasi kuanzia saa 10 jioni hadi saa 2 usiku.
  5. Yoda

    Tusidanganyane, Tanzania hakuna usafiri wa mwendokasi ila daladala za kawaida zinaweza kugeuzwa mwendokasi

    Kinachotakiwa ni kuweka dalala katika madaraja mawili ya nauli kama ilivyo katika vivuko ferry(Azam na cha serikali). Mfano Makumbusho mpaka posta zinawekwa daladala ambazo nauli ni shillingi 2,000 na inakuwa hakuna kupakiza abiria njiani itakapotoka stendi mpaka itakaposhusha abiria wote posta...
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Prof. Kitila: Nitatatua changamoto ya usafiri wa mwendokasi Kimara

    Huyu naye kama alikuwa hayupo Dar hivi miaka yote hiyo, leo hii ndio aseme atatatua changamoto ya mwendokasi Kwamba siku zote alikuwa wapi? Uongo mwingine ni wakishamba sana. Analipambania tumbo lake tu hapo hakuna lolote ==================== Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha...
  7. aise

    KERO Responded Usafiri wa Mwendokasi umekuwa kero, afadhali ya Daladala!

    Wakati basi za mwendokasi zinaingia Dar es salaam tulijua italeta ahueni kwenye swala la usafiri wa Umma, lakini yameleta mateso afadhali ya Daladala mara mia! Hivi hii inatokana na nini? Uhaba wa mabasi? Ratiba za mabasi zisizo tabirika? Au shida ni nini? Pia soma ~ Albert Chalamila: Mabasi 99...
  8. Abraham Lincolnn

    Abiria wakiwa wengi mabasi yanaonekana, wakiwa wachache mabasi yanawekwa parking, Kwa kifupi usafiri wa mwendokasi upo kwa ajili ya kutesa watu

    Yaani ni kama vile abiria haruhusiwi kusafiri kwa furaha ndani ya mwendokasi, Muda wa alfajiri abiria wanapokuwa wengi utaona mabasi mengi sana, ila yameshona mpaka watu wananing'inia milangoni! Cha kushangaza ikifika muda wa mchana hautayaona hayo mabasi na utawaona madereva wakivinjari na...
  9. A

    KERO Usafiri wa mwendokasi umekuwa wa udhalilishaji. Tunaomba mabasi ya kawaida yaruhusiwe kutoa huduma

    Niishauri serikali yangu ya Jamhuri. Changamoto huwa zipo, na tunakiri kabisa kwa sasa kuna changamoto kubwa ya usafiri kwa wakazi wa Kimara-Mbezi kutokea mjini Posta na Kariakoo. Serikali tunaomba mruhusu mabasi yatoe huduma. Ubinadamu kwenye mwendokasi umepotea. Watu wanaumia kila siku...
  10. M

    Rais Samia wakati unaingia madarakani mwaka 2021 usafiri wa mwendokasi ulikuwa unatoka Kariakoo hadi Kibaha lakini sasa hakuna

    Rais Samia wakati unaingia madarakani mwaka 2021 usafiri wa mwendokasi ulikuwa unatoka Kariakoo hadi Kibaha lakini sasa hakuna. Mwaka 2021 magari ya mwendokasi yalikuwa yanatoka Kariakoo mpaka mbezi lakini sasa hakuna. Tunashukuru sana Rais Samia kwa kuwafanya wanyonge kuwa wanyonge zaidi.
  11. O

    Usafiri wa mwendokasi: Ukombozi uliogeuka mateso kwa wakazi wa Dar es Salaam

    Katika mji wa Dar es Salaam unaokua kwa kasi kubwa – kijamii na kiuchumi – changamoto ya usafiri wa umma imeendelea kuwa doa kubwa katika jitihada za kuimarisha maisha ya wakazi wake. Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), ambao ulizinduliwa kwa mbwembwe na matumaini makubwa ya kupunguza...
  12. mwanamwana

    PreGE2025 Mradi wa Mwendokasi kutumia mabasi ya Scania yanayotumia gesi

    Tanzania Yageukia Mabasi ya Gesi ya Scania kwa Usafiri wa Jiji Mabasi yanayotumia gesi kutoka Brazil sasa yataanza kusafirisha wakazi wa Dar es Salaam katika awamu mpya ya mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) jijini. Mradi wa BRT ni sehemu muhimu ya juhudi za Tanzania kuboresha miundombinu...
  13. A.MTALE

    Usafiri wa Mwendokasi DSM ni tatizo kubwa. Mamlaka zichukue hatua za Dharura

    Watu husubiri mpaka masaa 2 kwenye vituo vikubwa na muda mwingi vituo vingine, mfumo wa watu kugombania kupanda gari za mwendokasi kwa vituo vya kimara, Morocco, Gerezani na Kivukoni ni mfumo hatari sana kiusalama. Watu wanaumizana sana na hata kuvunjika. Gari linaweza fika kwenye hivyo vituo...
  14. mimi mtakatifu

    Usafiri wa mwendokasi kwa sasa ni roho mkononi. Vituo vya kupakia abiria ni hatarishi kwa walemavu, wajawazito, watoto, wazee na wagonjwa

    Usafiri wa mwendokasi umekuwa ni usafiri uliojaa changamoto kwa muda mrefu. Pamoja na changamoto zake umebaki kuwa usafiri wa haraka na tegemeo kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam. Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa mabasi kiasi kwamba unaweza kukaa kituoni mpaka masaa mawili unasubiri usafiri hivyo...
  15. Waufukweni

    Bunge labaini kusuasua kwa usafiri wa Mwendokasi Dar

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imetoa taarifa kuhusu uendeshaji wa mradi wa mabasi yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Salaam na kubaini tija ndogo katika utekelezaji wake licha ya uwekezaji mkubwa wa serikali. Hayo yamebainishwa bungeni jijini Dodoma leo...
  16. M

    KERO UDART wekeni utaratibu wa baadhi ya Mabasi yenu ya Mwendokasi kuanza kupakia abiria wanaoanzia safari katikati ya njia zenu

    Salaam Imekuwa kero, shida, usumbufu na tabu kwa abiria wanaotegemea usafiri huu katika vituo vya kati vilivyopo katika njia kuu za mabasi ya mwendokasi. Mfano njia ya kimara kuelekea gerezani ama kivukoni kwa abiria anayeanza safari yake katika vituo vya Korogwe, Bucha ,Baruti, Shekilango...
  17. Leak

    Kupitia Bashungwa na Chalamila sasa Usafiri wa mwendokasi unakwenda kufa rasmi kama ilivyo Tanroads

    Tangu Bashungwa amekabidhiwa wizara hii ni wazi na ukweli ulio wazi ameharibu kila kona hasa kule Tanroad! Cha kushangaza zaidi ni uamuzi wake wa kuruhusu barabara ambazo hazikabidhiwa kuanza kutumika hasa za mwendokasi…..hakuishia hapo na Sasa kwa kushirikiana na chalamila wamevuruga kabisa...
  18. Selemani Sele

    Wizi katika mwendokasi umezidi. Je, nini kifanyike?

    Mimi ni mdau na mwananchi nayepanda usafiri wa Udart. Mwezi huu wa June nimeshuhudia wezi wanne kukamatwa na watu zaidi ya 30 kulalamika kuibiwa simu na pesa wakati wa kugombania mwendokasi hasa hasa vituo vya kivukoni na Gerezani na Manzese ambapo nimeshuhudia watu wakikamatwa katika vituo...
  19. Common Folk

    KERO Usafiri wa Mwendokasi umekuwa kituko na aibu kwa nchi dhidi ya wageni!

    Kwa jinsi hii DART ilivyokuwa inapigiwa promo enzi mradi unaanza, na hali halisi ya sasa ya uendeshaji wake, ni dunia mbili tofauti. Kuna kipindi mradi ulivyokuwa unafunguliwa na Hayati Magufuli huu mradi ulitumika kama benchmark kwa nchi kadhaa za Afrika ambazo walidai watakuja lujifunza...
Back
Top Bottom