urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine kumpatia silaha mwananchi yeyote anayetaka kupigana vita dhidi ya Urusi

    Rais wa Ukraine, Volodymyr ZelenskyImage amewahamasisha wananchi wake kuwa tayari kupigana kwa taifa lao na kuwa atampatia silaha mtu yeyote anayetaka kushiriki katika vita dhidi ya Urusi. Picha kadhaa zilionekana hivi karibuni mitandaoni zikionesha raia wa Ukraine wakipewa mafunzo ya msingi ya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania China yatangaza kuiunga mkono Russia, yailaumu Marekani kusababisha mzozo wa Ukraine, yasema Urusi imelazimika kujilinda

    China imetangaza kuiunga mkono Russia, huku ikiilaumu Marekani kwa kusababisha mzozo wa Ukraine na hata kuvamiwa kwa Ukraine (na Urusi). Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China amesema Marekani imekuwa ikituma silaha za kivita nchini Ukraine, ikatengeneza hali ya hofu na paniki (kwa Urusi...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa mawazo yangu Urusi inataka kurudisha sehemu zake zote zilizovunjika USSR

    Leo nimejaribu kuangalia historia ambayo ndio taifa kubwa katika mabara la umoja wa Kisovieti na kuangalia sababu zipi zilipelekea kuvunjika. Cha kwanza kinaonesha kuwa Urusi imejipanga muda mrefu kwa haya na si kwa hayo kwa yoyote ambaye atajaribu kuingilia. Wakitoka Ukraine tambua Afghan...
  4. JamiiForums Tanzania Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin mara baada ya kutangaza mashambulizi dhidi ya Ukraine, ametoa onyo kwa mataifa ya Magharibi kuwa yeyote ambaye atajaribu kuingilia kinachoendelea baina ya mataifa hayo mawili atakutana na kitu ambacho hajawahi kukutana nacho. Milipuko ilisikika Mji Mkuu wa Ukraine...
  5. JamiiForums Tanzania UN yaitaka Urusi iondoe wanajeshi wake Ukraine

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN), Antonio Guterres amemtaka Rais wa Urusi, Vladmir Putin kurudisha wanajeshi wake aliwapeleka Ukraine Guterres ameandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter ambapo katika ujumbe mwingine aliandika watu wengi wameshafariki kutokana na mzozo unaoendelea...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Balozi wa Kenya aishambulia Russia kwa kuyatambua kama majimbo huru ya Ukraine

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilifanya mkutano wa dharura baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kusema kwamba sasa anatambua sehemu ya Ukraine kama Urusi na atatuma wanajeshi wake kuwa walinzi wa amani katika majimbo hayo mawili. Uingereza ilichukua hatua ya haraka kutangaza vikwazo...
  7. JamiiForums Tanzania Bunge la Urusi lamruhusu Rais kupeleka majeshi mahala popote Duniani

    Bunge la Urusi limempa Rais wa n hi hiyo nguvu ya kupeleka majeshi yake mahala popote Duniani pale itakapo hitajika. Bunge hilo limefikia uamuazi wake Leo 22.02.22 siku moja mara baada ya Urusi kuyatambua majimbo yaliyokua yanapigania kujitenga na Ukraine. Kwa mtazamo wangu hii nayo ni moja ya...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi Putin alivyoibadilisha Urusi kuwa na nguvu ya kibabe ulimwenguni

    Unazima moto wa msitu, lakini bado unawaka," yalisoma maandishi juu ya picha ya mwanamke mchanga wa Kirusi, akitabasamu huku akiwa nusu uchi. Kama hii, picha zingine 11 zenye maneno ya kuudhi zilitengeneza kalenda ya mwaka 2011 iliyohusisha wanafunzi wa uandishi wa habari wa Chuo Kikuu cha...
  9. JamiiForums Tanzania Dunia hii chagua upande, aidha Urusi au Amerika, kamwe usiwe katikati, utalipa gharama kubwa siku moja !

    Kama Kiongozi kamwe usiwe katikati, chagua upande ambao utaona unakufaa na uende mazima siyo nusu nusu, nusu nusu itakufaa tu kama kila kitu kiko sawa, lkn kikinuka hauna msaada wowote na wanakushukia kama mwewe. Mfano Erdogan wa Uturuki mwaka 2016 kama asingekuwa rafiki wa kweli wa Putin...
  10. JamiiForums Tanzania Picha za Satelite zaonesha harakati za kijeshi nchini Urusi

    Picha za hivi karibuni zilizotolewa na kampuni ya ujasusi ya teknolojia ya anga ya Marekani Maxar zinaonyesha kwamba shuguli za kijeshi za jeshi la urusi zimeendelea kuwepo karibu na mipaka yake na Ukraine, licha ya madai ya hivi karibuni ya Urusi ya kuondoa vikosi vyake kwenye mipaka hiyo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kimenuka! Rais Putin atoa kitisho, asema anaweza kutumia nguvu za kijeshi kwa Marekani na NATO kutokuzingatia mistari miekundu (red lines) za Urusi

    Jisomee mwenyewe hapa! Siku zote vita kubwa huanzaga kama utani vile na kama haitatokea vile, lakini mwisho wa siku huwa ni mlipuko mkubwa wa vita. Hatimaye Urusi inaelekea kuchoka kuoneshwa ubabe na Marekani kwa kutishiwa vikwazo. Anadai wakiendelea kupuuza red lines zake, "liwalo na liwe"...
  12. JamiiForums Tanzania Inadaiwa baadhi ya majeshi ya Urusi yaliyokuwa Belarusi kwa ajili ya mazoezi ya Kijeshi yaanza kurudi, baada ya mazoezi kuisha

    Urusi na mahodari Sana wa mchezo unaotumia akila Sana wa CHESS. Wamefanikiwa kuzima propaganda za west kuwa Urusi ingeweza kuivamia Ukraine ndani ya mda mfupi Sana. Urusi tayari imefanikiwa kupeleka ujumbe kwa west kwamba kwa ajili ya kulinda usalama wake iko tayari kwa lolote like,kuharibu...
  13. JamiiForums Tanzania Hillary Clinton alilipa majasusi kudukua mifumo ya Ikulu kupika skendo ya Trump kusaidiwa na Urusi uchaguzi wa 2016 (Russian Hoax)

    Kwa ufupi hiki kilichofanyika ni uhaini kwenye katiba ya marekani na adhabu pekee ni kifo. Mama Clinton alilipa majasusi waweze kuingilia mifumo ya mawasiliano kipindi cha kampeni kuingilia hoteli ya trump na baada ya kampeni kuingilia mifumo ya white house lengo likiwa ni moja kwa moja kufanya...
  14. JamiiForums Tanzania Urusi inaweza kuivamia Ukraine muda wowote, Marekani yatoa angalizo, yataka raia wake waondoke Ukraine

    Marekani imeonya kuwa Urusi inaweza kuivamia kijeshi Ukraine muda wowote. Mshauri wa masuala ya usalama wa Marekani, Jake Sullivan amesema uvamizi huo unaweza ukaanza kwa makombora na mashambulizi ya anga. Tangazo la Marekani linatokana na taarifa mpya za kijasusi kuhusu kuongezeka kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Urusi yatiwa hofu na inteligesia ya Marekani kuhusu uvamizi Ukraine

    Wachambuzi wa medani za kivita wanasema kati ya mambo ambayo yamechelewesha Russia kuivamia Ukraine ni taarifa za kiintelijesia ilizonazo US zinazohusu mipango ya kuivamia Ukraine. Taarifa hizi, sio tu zinatokana na images za setilaiti bali ni zile ambazo zinatoka ndani kabisa ya jeshi la...
  16. JamiiForums Tanzania Urusi yaanza mazoezi ya kijeshi ya siku kumi na Belarus

    Urusi na Belarus zinaanza siku 10 za mazoezi ya pamoja ya kijeshi huku kukiwa na hofu inayoendelea ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine. Belarus ni mshirika wa karibu wa Urusi na ina mpaka mrefu wa kusini na Ukraine. Marekani imetaja mazoezi hayo - ambayo yanaaminika kuwa ndiyo makubwa zaidi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Ukraine yaiomba Ujerumani silaha za kujilinda dhidi ya Urusi

    Ukraine imetuma ombirasmi kwa serikali ya Ujerumani kwa ajili ya msaada wa "silaha za kujihami", kwa mujibu wa ripoti ya gazeti. Katika barua iliyonukuliwa na Gazeti la Ujerumani la Süddeutsche Zeitung, ubalozi wa Ukraine umeiomba Berlin kutoa jibu la haraka, kutokana na hali tete ya kiusalama...
  18. JamiiForums Tanzania Urusi yafunga Ofisi za DW kulipiza kisasi kwa Ujerumani

    Urusi imesema leo kuwa itajibu kwa njia sawa kama Ujerumani itaumaliza mzozo kuhusu vyombo vyao vya habari, lakini itauongeza mvutano huo hata zaidi kama Berlin itaamua kufanya hivyo. Urusi ilisema jana kuwa inazifunga shughuli za shirika la habari la Ujerumani - DW mjini Moscow na kuwapokonya...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Putin asifia uhusiano wa karibu wa Urusi, China

    PUTIN ASIFIA UHUSIANO WA KARIBU WA URUSI, CHINA Rais wa Urusi, Vladmir Putin, leo ameyasifu mahusiano ya karibu ya nchi yake na China, katika mkutano na mwenzake wa China, Xi Jinping, kabla ya kufunguliwa kwa Michezo ya Olimpiki ya majira ya Baridi mjini Beijing. Viongozi hao wawili...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je, Urusi itaivamia Ukraine

    LENGO LA PUTIN LIMEANGUKIA PUA? Putin alijua akitishia kuivamia kijeshi Ukraine Basi NATO wataogopa na kukubali matakwa ya Urusi ili asiivamie Ukraine. Malengo ya Urusi yalikuwa Kama ifuatavyo; 1. Marekani na Washirika wake wa NATO wasaini mkataba na URUS ambao utaipiga Marufuku nchi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…