Maduka, Migahawa na Shule za Mji Mkuu wa Urusi, Moscow zimefungwa wakati Taifa hilo likikabiliwa na ongezeko la maambukizi na vifo vinavyotokana na Covid-19. Maduka ya bidhaa muhimu na yale ya Dawa yataendelea kuwa wazi.
Urusi imerekodi vifo 1,159 katika saa 24 zilizopita. Vilevile Mamlaka...