urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waingereza wawili na Mmorocco waliokamatwa na jeshi la Urusi wahukumiwa kifo

    Waingereza wawili na mwanamume mmoja wa Morocco waliokamatwa na vikosi vya Urusi nchini Ukraine wamehukumiwa kifo, shirika la habari linalomilikiwa na Urusi RIA Novosti linaripoti. Aiden Aslin, 28, kutoka Nottinghamshire, Shaun Pinner, 48, kutoka Bedfordshire, na mtu wa tatu, raia wa Morocco...
  2. 5

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Nina hakika Putin hawezi kutembelea wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine'

    Kwa mara ya pili baada ya wiki mbili, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alitembelea ngome za jeshi kwenye mstari wa mbele - kwanza katika mkoa wa Kharkiv, na sasa katika sehemu hatari zaidi za mkoa wa Donbass na Zaporizhia. Wataalamu wa Ukraine na nje ya nchi wana hakika kwamba, licha ya...
  3. JamiiForums Tanzania Urusi yabuni kitengo kitakachoratibu sheria za kijeshi zitakazotumika kusimamia nchi

    Jameni Warusi wanalo, ni mwendo wa nchi kusimamiwa kijeshi, ujikune uone. Kule Ukraine wanajeshi Warusi wanauawa kwenye vita visivyokua na umuhimu wowote kwa nchi, huku ugumu wa maisha ndani ya Urusi unazidi kukidhiri, halafu wasimamiwe kijeshi. === Russia’s Interior Ministry has created a new...
  4. JamiiForums Tanzania Putin: Hawawezi kukataa nishati ya Urusi siku zote

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema Nchi za Magharibi haziwezi kuendelea kugomea nishati ya mafuta na gesi kutoka katika taifa lake wa miaka mingi ijayo. Amedai kuwa makampuni ya Urusi yanaendelea na mchakato wa kuchimba visima kwa kuwa wanajua biashara ya nishati itakuwepo. Kauli hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Urusi na Uturuku zashindwa kupata muarobaini wa kusafirisha nafaka za Ukraine

    Serikali ya Urusi na ya Uturuki zilifanya kikao maalum kwa ajili ya kupata njia ya kusafirisha nafaka kupitia bahari nyeusi eneo ambalo limewekewa milipuko na Serikali ya Ukraine ili kujilinda na mashambaulizi ya Urusi. Ukrain imepandikiza milipuko katika bandari za Mikolaev na Odesa ambazo...
  6. JamiiForums Tanzania Ukraine: Urusi wametukabidhi miili 210 ya wapiganaji wetu

    Imeelezwa kuwa Urusi imekabidhi maiti 210 za wapiganaji wa Ukraine, ambao wengi wao walifariki wakati wa mapigano walipokuwa wakilinda Mji wa Mariupol dhidi ya Wanajeshi wa Urusi Asilimia kubwa walifariki wakati walipokuwa wamezuiwa katika kiwanda cha chuma cha Azovstal kwa wiki kadhaa wakati...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Putin Atuma Ujumbe kwa India Baada ya Kumtusi Mtume Mohammad. Je, Biashara ya Mafuta Kati ya Urusi na India Kukwama?

    Niliwahi kuandika humu kwamba hapa JF asilimia 90 ya wanaomuunga mkono Putin ni Waislam na nikatoa na sababu ila moderators walifuta ule uzi. Wengi wanaamini hivyo kwamba Putin analipiza madhira ambayo muslims na nchi za kiislamu wamekuwa wakiyapata wanyaodai chanzo chake ni Marekani na...
  8. JamiiForums Tanzania Majenerali wawili wa Urusi wauawa ndani ya siku moja

    Sijui Putin atatoka vipi kwenye hili shimo alilotumbukiza jeshi lake, maana majanga na aibu kila siku wanafyekwa hadi wakuu jeshini.... A second Russian general is reportedly dead after heavy fighting in Ukraine’s eastern Donbas region over the weekend. Lt. Gen. Roman Berdnikov, formerly the...
  9. JamiiForums Tanzania Urusi ndiyo iliyeweka vikwazo kwa Dunia, si Dunia iliyomwekea vikwazo Urusi

    Sioni kwa namna yoyote ile dunia ikinufaika kwenye vikwazo ambavyo wao wanadai wamemwekea mbobezi na mbabe huyu wa dunia. Kwangu mimi ninachoona ni ubinafsi na unafiki wa mataifa ya magharibi kwa dunia. Dunia inapata tabu kisa Ukraine, hii Ukraine ina nini hadi inafanya nchi nyingi za Afrika na...
  10. JamiiForums Tanzania Balozi wa Urusi asusia kikao cha Umoja wa Mataifa (UN)

    Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa (UN), Vassily Nebenzia ametoka nje ya kikao ya Baraza la Usalama baada ya Rais wa Baraza la Ulaya, Charles Michel kuishutumu Moscow kwa kusababisha janga la Chakula duniani Michel ameyashutumu Majeshi ya Urusi kwa uhalifu wa kivita na makosa mengine ya...
  11. JamiiForums Tanzania Vikwazo vya EU vyakwamisha ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi nchini Serbia

    Wizara ya Mambo ya Nje nchini humo, imethibitisha kuahirishwa kwa ziara ya Waziri Sergei Lavrov nchini Serbia kwa sababu ya majirani watatu wa Serbia (Bulgaria, Macedonia na Montenegro) kuzuia ndege yake kutumia anga yao. Serbia inadaiwa bado kuwa na mahusiano mazuri na Urusi licha ya nchi...
  12. JamiiForums Tanzania Raia wa Urusi ni wahanga wakuu wa vita inayoendelea

    Raia wa urusi ni wahanga wakuu wa vita inayoendelea sasa, awali waliaminishwa kuwa vita ina nia njema ya kuikomboa nchi dhidi ya wanazi na kuwa itachukua muda mfupi lakini sasa haijulikani itaisha lini FUATILIA HAPA As war drags on, weary Russians yearn for a return to normal life Robyn Dixon...
  13. JamiiForums Tanzania Naiona timu ya Taifa ya Ukraine inacheza mechi hapa, imekuwaje? Urusi si walisema wameigeuza Ukraine magofu?

    Naona wanacheza na Wales mechi kali kabisa. Taarifa kwamba ndani ya siku tatu wanaiteka zimefikia wapi? Na zile kwamba nchi imekuwa magofu nazo niaje?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Urusi yashikilia ⅓ ya hifadhi ya yuan Duniani

    Kwa mujibu wa shilika LA fedha Duniani(IMF) nchi ya urusi imehodhi zaidi ya ⅓ ya hifadhi ya sarafu ya China(yuan) duniani
  15. JamiiForums Tanzania Jeneral wa Urusi nusra auawe na wanajeshi wake alipotoa amri ya ovyo

    Kawaamrisha waingie kwenye mapambano wakati brigade yenyewe imefyekwa na kubakia na wanajeshi wachache, ilimbidi atoke nduki huku akilindwa na special forces wa Urusi.....hali mbaya...
  16. JamiiForums Tanzania Most admired brands in Africa, hakuna brand ya Urusi hata moja

    Urusi ndani ya JF International Forums ni nchi inayokuzwa sana kiasi cha kulinganishwa na nchi namba 1 duniani US, lakini kiuhalisia Urusi hata kwa Wahindi, Wakorea, Wajapan, Wajerumani, nk hatii mguu. Katika brands 100 Bora zinazokubalika Afrika hakuna brand hata moja ya urusi wakati huohuo US...
  17. JamiiForums Tanzania Asilimia tisini ya silaha za nuclear za Urusi zimesha-expire

    Japokuwa urusi inasema kwamba wanazo nuclear warhead 6257, nyingi zilishapitwa na wakati. Silaha za nuclear zinaishi kwa miaka 45 (plutonium) na 85 (tritium). Za urusi zilizotengenezwa na USSR miaka ya 1960s mpaka 1990s zimeshakufa maana zilikuwa plutonium. Ikumbukwe kwamba urusi hakuwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Sall: Urusi imeonesha nia ya kuruhusu usafirishaji nafaka Afrika

    Rais wa Senegal na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Macky Sall amesema Rais Vladimir Putin ameonesha utayari wa kuruhusu mauzo ya nje ya nafaka za Ukraine ili kupunguza makali ya janga la chakula ambalo linaathiri zaidi Afrika Katika mazungumzo yao, Putin amekanusha kuwa Moscow inazuia...
  19. JamiiForums Tanzania Video: Baadhi ya wabunge wa Urusi bila uwoga waanza kukosoa hivi vita na kuagiza vikomeshwe

    Wadai taifa linazidi kupoteza wanajeshi na watoto wao wamebaki mayatima kwa vita ambavyo havina tija yoyote
  20. JamiiForums Tanzania Ugumu kwa NATO kuingiza majeshi moja kwa moja katika mgogoro baina ya Urusi na Ukraine

    Tofauti na nchi za Yugoslavia, Iraq, Afghanistan, Libya na hata Syria. Urusi ni nchi yenye jeshi kubwa sana hapa duniani na lililokamilika. Urusi Ina majeshi kamili ya Ardhini,angani na majini. Sio TU kamili,Bali pia Ina silaha za Kila aina na za kipekee,katika majeshi hayo matatu. Russia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…