urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Wahenga hawakukosea, tamaa mbele mauti nyuma: Huyu boss wa Wagner alipewa tenda yote kulisha majeshi ya Urusi, bado hakutosheka!!

    Fikiria jamaa alikuwa anapata mabilioni mangapi kwa kupewa tenda ya kulisha majeshi yote ya Urusi!! Lakini bado akawa hajaridhika na kuwa na bifu na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wanaoidhinisha tenda yake!! Bila shaka alitamani yeye ndio awe top kwenye jeshi la Urusi!! Sasa atakula jeuri...
  2. Jenerali wa pili pia katoweka, huyu ana hadi funguo za nyuklia za Urusi

    Uasi uliomtetemesha Putin ulipoisha kumekua na matukio ya watu kutoweka huku uchunguzi ukiendelea, mpaka sasa majenerali wawili hawafahamiki waliko, japo mmoja (Sergei Surovikin) inasmekana kakamatwa, ila huyu mwingine (Valery Gerasimov) kutoweka kwake ni hatari maana ni mojawapo wa wachache...
  3. Urusi na Vina Saba vya Kingoni

    Asili kamili ya watu wa RUSSIA ni Afrika ya Kusini hasa zile Jamii za wawindaji ixhosa. Neno Russia ni muunganiko wa maneno mawili. 1.Ru uxembana ndaba na ezolo -- Uruuu. 2.Ishiya. Ru (Uru ) + Ishiya ---->Russia. Pichani ni Vyademriri Mbutiini ambaye leo kizazi chake Cha 9 kimemleta Vladimir...
  4. Weledi wa vita vya Urusi na Ukraine naomba mnieleweshe

    Ninavojuwa kabla ya kundi la Wegner kuanzisha uasi walikuwa ndio wahusika wakuu wa vita katika jimbo la Bakhmut na ndio ambao walikuwa wanalishikilia jimbo hilo. Sasa najiuliza: je, waliamua kuondoka kwenye jimbo hilo na kuliacha kwa wenyewe Ukraine? Au ni mchezo wa kuigiza tu ambao ulikuwa na...
  5. Waziri wa Ulinzi wa Urusi aonekana hadharani baada ya Wagner kugeuza

    Huyu ndio Wagner walikua wanalalamika kumhusu na kusababisha wambabaishe Putin kwa kuthubutu kutaka kuiteka nchi, jamaa alikwenda underground hadi leo ndio kaibuka na kuonekana akiongea ongea. Nimeona pia humu JF Warusi wa Buza wamechomoza vichwa, walikua kimya juzi. ==========================...
  6. Ukraine wafaulu kukomboa eneo lililokaliwa na Urusi tangu 2014 - counteroffensive update

    Huku Putin akijambishwa na kakundi kake ka Wagner ambako kalimzingua hadi ikabidi kabembelezwe, Ukraine wanaendeleza kicha cha kurejesha ardhi yao, hili eneo lilikaliwa tangu 2014, liko mikononi mwa Ukraine sasa. Ukraine has liberated an area that had been occupied since 2014 as the country...
  7. Twende mbele turudi nyuma, hili lizee la Wagner kuongoza Urusi ingekua majanga kwa dunia

    Japo binafsi nimeshabikia huo uasi, lakini nisingependa hili lizee la Wagner kutwaa uongozi nchi ile, ni hatari sana, ligaidi tena liuaji lisilokua na huruma mithili ya wale magaidi wa dini. Kuongoza nchi yenye silaha za nyuklia zisizopungua 5,000 aisei mbona tungeona shetani kwa macho. Bora...
  8. Rais Lukashenko aingilia Mapambano ya Wagner dhidi ya Urusi

    Rais wa Belarus imebidi aingilie kati kumsadia Putin kuongea na Kiongozi wa Wagner kumsihi asiende kuishambulia Russia. Kiongozi wa Wagner amekutana na Yevegny Prigozhin kumwomba asiwafaidishe Wamagharibu na kumtaka asielekee Moscow kumwondoa Putin. Rais huyu wa Belarus inaonekana ameombwa na...
  9. R

    Putin katika hatari ya kupoteza utawala wake wa mabavu. Masaa 24 yajayo ni muhimu sana

    Rais wa Urusi anakabiliwa na tishio kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa utawala wake katika miaka 23 yote aliyokuwa akiongoza taifa lenye nguvu ya nyuklia. Ni jambo la kushangaza kuona jinsi alivyoweza kuendeleza udhibiti kamili kwa muda wote huo; sehemu muhimu ya kuonesha utawala wake wa kiimla...
  10. M

    Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

    Wapiganaji wa Wagner waelekea Moscow kuuondoa utawala wa kijeshi unaoongozwa na SERGEI SHOIGRU. Kiongozi wa Wagner anadai kwamba majeshi ya urusi yamekuwa yakishambulia kambi zao nchini UKRAINE. Huu Uzi nitatoa update ya kila kinachoendelea. ===== Update: Maafisa wa Ukraine wasema watatumia...
  11. Russia yavurugana na Wagner Group, waanza kutuhumiana kwa Uasi

    Katika muendelezo wa kinachoonekana ni uasi kwa serikali ya Urusi Wagner group wanaripotiwa kutekea na kutwaa makao makuu ya jeshi katika mji wa Rostov. Misururu ya wapiganaji wa Wagner katika maeneo mbalimbali inazidi kuoenkea ndani ya Urusi, kwa sasa wapo Voronezh na kuna taarifa wanataka...
  12. F

    Vuguvugu la mapinduzi lanukia Urusi. Wagner group yafarakana na vikosi vya serikali. Askari watanda miji yote mikubwa. Putin kuongea muda mfupi

    Ndio habari zinazojiri huko Urusi. Kiongozi wa Wagner Group kikundi cha wapiganaji binafsi kilichokuwa kinaisaidia Urusi kwenye vita Ukraine amefarakana na waziri wa ulinzi wa Urusi. Kumekuwa na hali ya hatari kote Urusi na watu kuamriwa kubaki majumbani. Kiongozi wa Wagner Group anashutumiwa...
  13. Urusi yaomba mamluki wa Wagner wamkamate kiongozi wao

    Huyu mzee alisifiwa sana humu na pro-Russians, haya amekua mwiba sasa na naona anatumika kuishusha supapawa zaidi, Urusi imeomba mamluki wake wamzunguke na kumkamata, ila yeye amesema atafanya kishindo humo humo Urusi kama njia ya kulipiza kisasi mauaji yaliyofanywa kwa wapiganaji...
  14. Finland imetishia nchi za Afrika na Asia kuziondolea misaada iwapo zitaunga mkono Urusi

    Serikali ya Finland imetoa onyo kali kwa nchi za Afrika na Asia kuchagua kuiunga mkono Urusi ama kuchagua misaada. Finland imesema ukiunga mkono Urusi inakata misaada na mikopo nafuu. Soma hapa.
  15. J

    Tanzania na Urusi kushirikiana katika kueneza lugha ya Kiswahili

    Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Urusi nchini Mhe. Andrey Avetisyan ambapo wamejadili namna bora ya Tanzania na Urusi kushirikiana katika sekta ya Utamaduni na Sanaa kwa manufaa...
  16. Ugunduzi wa vitu 50 wa Urusi

    50 groundbreaking Russian INVENTIONS (PICS) SCIENCE & TECH JUN 12, 2022ANNA POPOVA Alena Repkina “Human history is in essence a history of ideas,” Herbert Wells wrote. Thanks to the drive to uncover the world’s mysteries, humans invent new devices, make new discoveries, form entire schools of...
  17. S

    Serikali yakaribisha wawekezaji kutoka Urusi

    Serikali ya Tanzania imewakaribisha Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza Tanzania kwa maslahi ya pande zote mbili na ustawi wa Dunia kwa ujumla. Mwaliko huo umetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk...
  18. Ukraine yafanikiwa kurejesha maeneo muhimu tokea April 2022 Urusi wayanyakue

    Ni mafanikio makubwa miamba hii ya Ukrain ambayo kabla Urusi walipovamiwa Jeshi la Ukraine lilipewa masaa kusarenda waweke silaha chini.,
  19. Tanzania yawakaribisha wawekezaji kutoka Urusi, Balozi Mbarouk atoa neno

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza nchini kwa maslahi ya pande zote mbili na ustawi wa dunia kwa ujumla. Mwaliko huo umetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi...
  20. Wanajeshi 100 wa Urusi waliokuwa wanasubiri hotuba wapigwa bomu na kuuawa

    Walikua wanasubiri hotuba ya kuwatia hamasa, maskini hawakujua satelite inawaona. =========== As many as 100 Russian troops gathered for a motivational speech near Ukraine’s eastern frontline may have been killed in a strike earlier this week, prompting fury among Russian military bloggers...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…