Yani kaka na dada zangu, hebu tusimame tuangaliane machoni kama watu waliopigwa butwaaa na bumbuwazi……..!
Siku hizi, uroda ni kama chips za kwa Mama Mlewa ziko kila kona, bei poa, na hakuna foleni. Hata ukiamka na hangover ya roho, ukivaa kaptura ya jana na tshirt ya promotion ya sabuni, bado...