urais 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    GE2025 Sugu: Tunataka matokeo ya Urais kuweza kupingwa mahakamani

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwa njia ya mtandao, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amesema kwamba moja ya reforms ambazo zinatakiwa kufanyika ni matokeo ya Urais kuweza kupingwa mahakamani Anasema kuwa inatakiwa kama wapinzani hawayaamini matokeo ya Urais basi inatakiwa wawe na uwezo wa...
  2. E

    GE2025 Wasifu wa wagombea urais 2025

    Jamii Forums inakuletea wasifu wa wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano kwa mwaka huu 2025. Tutaendelea kutoa nafasi kila wasifu unapopatikana kupitia uzi huu. 1. Mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan- Wasifu Samia Suluhu Hassan aliyezaliwa Januari 27, 1960, Zanzibar sehemu ya, ni Rais wa...
  3. mwanamwana

    GE2025 Coaster Jimmy: Kauli yangu ya kumuajiri Rais Samia si utani, atashughulikia Diplomasia

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Jimmy Kibonde amezidi kusisitiza kuwa endapo atashinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, atamwacha Rais wa sasa, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndani ya serikali yake kwa kumpa nafasi maalumu ya kushughulikia...
  4. Dr Adam Francis

    GE2025 Kishindo cha DR. Samia Urais 2025

    Kama kuna mtu anamashaka, basi Samia anamuhakikishia yeye ndiye Rais wa JMT. https://vm.tiktok.com/ZMA1uXWfh/
  5. REJESHO HURU

    Pamoja na kukitumikia chama na serikali chama kimeshindwa mkumbuka Ndugai katika mapokezi ya uchukuaji form ya ugombea Urais 2025

    Nilitegemea Rais katika hotuba yake angewaongoza wanachama wa ccm kumuombea kheri mh Ndugai ambaye ametangulia mbele za haki na ambaye bado ajazikwa badala yake hilo halijafanyika zaidi nikuomba burudani iendelee
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Huenda Profesa Lipumba akakosekana miongoni mwa watakaogombea urais 2025

    Huenda jina la Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba likakosekana miongoni mwa watakaogombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala...
  7. Griss

    Tetesi: Makundi MANNE ya URAIS 2025

    Wasalaam!! 1: Kundi la kwanza ni kundi la pure wazalendo wa nchini lenye ushawishi ni kundi linaloongozwa na Tundu Lissu,John Heche, Lema na umma wa wapenda mabadiliko ya kweli, Hawa ni wale ambao hawajawai kuwa serikalini lakini serikali wanaijua nje ndani na uozo wao wote na wakiingia...
  8. figganigga

    KUMBUKIZI: Samia Suluhu asema hana wazo la kuwania Urais 2025

    Katika kumbukumbu za Siasa za Tanzania, Rais Samia Suluhu aliwahi kusema kwamba hana wazo la kuwania Urais 2025. Habari hiyo ikachapishwa na Gazeti la CCM linaitwa Gazeti la Uhuru. Japo Gazeti watendaji wake walipata Misukosuko kwa kuandika nukuu ya kweli. Swali langu kwa Samia leo Tarehe 19...
  9. K

    Kumbukizi: Dkt. Samia - yanayosemwa sasa ni stress za urais 2025 na 2030

    Profesa wa siasa Samia Suluhu Hassan aliyaona haya mapema. Hapa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO - 19 tarehe 04 Januari, 2022 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.
  10. technically

    Ni rasmi Sasa Vita ya Urais 2025 imeanza

    Vita ni Kali mno watu hawalali Sasa wanaseti mitandao. Yule Unguja Yule Singida Yule Kigoma Yule Mara Yule Ruvuma Yule Tanga Tutasikia kila aina ya milio na miguno Nani kuibuka Rais wa Tanzania baada ya uchaguzi? Ogopa Sana nyoka alijificha chumbani. No reform no Election Ubaya ubwela!!
  11. Yoda

    Mwanaume gani maarufu mwenye hamasa wa kugombea urais 2025?

    Mpaka sasa sioni dalili za kuwa na mgombea mwanaume maarufu na atakayeleta ushindani na msisimko kwenye uchaguzi wa mwaka huu October 2025. Kama ikitokea akakosekana kabisa mwanaume wa kuleta ushindani kwenye uchaguzi mwaka huu basi chondechonde wanaume hata tuonewe huruma tuachiwe hata uspika...
  12. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Othman apanda mtumbwi hadi Kisiwa Panza kuusaka Urais 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman akiambatana na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Zanzibar Ismail Jussa Ladhu wamefanya ziara ya ujenzi wa Chama eneo la kisiwa Panza kuelekea uchaguzi mkuu mwezi Oktoba 2025. Ziara hiyo ya kisiwani imefanyika 29 April 2025 ni ya...
  13. W

    PreGE2025 Dkt Malisa awasilisha ombi la kupinga Samia kugombea Urais 2025

    Moshi. Aliyekuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Godfrey Malisa, amewasilisha maombi kortini akiomba uanachama wake ulindwe, ili afungue maombi ya kupinga mchakato wa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais. Dk Malisa amewasilisha ombi hilo akiomba mahakama itoe zuio la muda...
  14. Chachu Ombara

    PreGE2025 Mzee Wasira nani kamtuma kusemea wananchi kuwa tunaunga Rais Samia kupewa mitano tena?

    Huyu Mzee naona anakoelekea siko kabisa, ni mwendelezo wa kujikomba. Akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 48 ya CCM ametoa kauli hiyo.
  15. GENTAMYCINE

    Huyu Meneja wa TRA Tanga kuipongeza CCM Kumteua Rais Samia kugombea Urais 2025 inaruhusiwa katika Sheria za Utumishi wa Umma na ni rukhsa Kikatiba?

    Kwa wale Wote ambao leo Asubuhi tulitizama Jambo Tanzania na TBC1 nadhani tulimuona Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga alipokuwa akimpongeza Rais Samia kwa Siku yake ya Kuzaliwa leo na baadae akaenda mbele na kusema kuwa anakipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Kumpitisha Rais Samia kugombea Urais...
  16. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Tabora: Wananchi Wampongeza Dkt. Samia, Dkt. Mwinyi na Dkt. Nchimbi kwa Kugombea Urais 2025

    Wananchi wakiwemo wazee, viongozi wa kiserikali na wnachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoani Tabora leo tarehe 22 Januari 2025 wamefanya matembezi ya Amani kuanzia Ofisi za CCM Mkoa hadi Viwanja vya CCM Wilaya ya Tabora kumpongeza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Godbless Lema: Mbowe alitaka kugombea Urais 2025

    Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA amesema Mwenyekiti aliyemaliza muda wake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alitaka kugombea Urais 2025 Soma, Pia: Godbless Lema: Uchaguzi 'huru na haki', umeongeza heshima kwa Mbowe
  18. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wazee mashuhuri mkoa wa Tabora Wafanya Matembezi Kumpongeza Viongozi wa CCM kwa Kuteuliwa Kugombea Urais 2025

    Viongozi wa dini, wazee mashuhuri pamoja na wakazi wa mkoa wa Tabora, wamefanya matembezi katika kila kona ya manispaa ya Tabora kwa lengo la kumpongeza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar Dkt...
  19. M

    Utabiri wangu: Mbowe atashinda uchaguzi na atamtangaza Tundu Lissu kuwa mgombea urais 2025, imeisha hiyo

    Mimi nimesoma Political Science, siasa za Tanzania tangu 1992 vuguvugu linaanza la mfumo wa vyama vingi nilikuwa nafatilia. Nimekuwa nikimsikiliza Mbowe akihubiri amani ndani ya chama, in fact kwa mahela aliyoweka katika kusaidia chama chake ni mengi na hawezi kuachia chama coz hatalipwa mahela...
  20. Doctor Mama Amon

    Mkutano Mkuu Chadema Kesho Kujibu Mapigo Dhidi ya CCM kwa Kusimka Lissu Mwenyekiti Taifa, Kumtangaza Mgombea Urais 2025 na Kumpatia Mgombea Mwenza?

    Mhe. Tundu Antipas Mughway Lissu, Mwenyekiti Mtarajiwa wa Chadema na Mgombea Urais Mtarajiwa Katika Uchaguzi wa 2025 Kutokana na mikutano mikuu ya Chadema na CCM inayofanyika kwa kufuatana ndani ya Januari 2025 sasa ni wazi kwamba busara kongwe za wanazuoni zitaanza kutimia. Wanazuoni wengi...
Back
Top Bottom