Watu ukikosoa wanasema kisa mi si muislamu ndo maana namkosoa Samia,
Kwamba hata Jakaya nilimkosoa ila Magufuli hapana!
Kama kuna mtu alimlaza Magufuli basi alikuwa Mimi, na kule twitter nilikuwa na combination na Kigogo kabla hajarejea kusifu,
Ila Magufuli nimemkaanga sana...
Tazama hiyo artwork yao hapo chini, kuhusu jaji wa Namibia, ndipo unaweza kunielewa kirahisi.
Na sio mara ya kwanza wala mara moja kwa BBC kudanganya umma kwa makusudi namna hii. Hapajawahi kutokea Rais wa Tanzania amemteu jaji wa Namibia kua mjumbe wa tume ya uchaguzi Tanzania.
Na hapa sio...
Watu hutafuta Maridhiano baada ya kugombana au kuhujumiana ata kupigana. Kama ilivyokuwa kenya. Ulikuwa ugonvi kati ya Odinga na Kenyata. Watu wakakaa wakataka waridhiane. Lengo ni kuondoa tofauti zao.
Tanzania ni tofauti kabisa, Tena mbali mno. Je kuna ugonvi binafsi kati ya Lissu na Samia. Au...
Wana-JamiiForums,
Leo tarehe 9 Julai 2026, tumeshuhudia kile kinachoitwa 'Tamko la Pamoja la Maridhiano' kati ya CCM na ACT-Wazalendo huko Zanzibar. Wakati viongozi wakitabasamu mbele ya kamera, hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan imeacha maswali mazito na simanzi kubwa kwa mtu yeyote...
Uhusiano wa Tanzania na washirika wake wa maendeleo na kidiplomasia kote ulimwenguni ikiwa ni pamoja na serikali ya Marekani, Umoja wa Ulaya EU, Urusi, Japan, China n.k ni mzuri sana na unaendelea kuimarika kila uchwao kwa maslahi mapana ya wananchi wa nchi zote husika.
Porojo na upotoshaji...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amewataka Watumishi wa Wizara ya Fedha na wananchi kwa ujumla kuwa makini na taarifa zisizo sahihi kuhusu lishe kupitia mitandao ya kijamii, ikiwemo taarifa zinazopinga matumizi ya vyakula vya wanga kwa watoto...
Kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 37 cha Sheria ya Takwimu, kinachokataza utoaji na upotoshaji wa takwimu rasmi kwa nia ya kuwahadaa wananchi, Serikali inapaswa kuimarisha usimamizi kwa wanasiasa na viongozi wa kijamii wanaotoa takwimu bila weledi. Nukuu ifuatayo inapaswa kuwa muongozo...
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica, Maxence Melo, akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM, amesema Serikali inapaswa kujibu hoja kwa wakati, na pale panapokuwa na upotoshaji, itoe ukweli kwa wakati badala ya kukimbilia kusema mtu kapotosha, kwani hali hiyo haisaidii na badala yake...
Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema.
Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha chadema.
Kwasababu matusi kwao ndo njia ya kufikishia ujumbe, upotoshaji kwao ndo ajenda ya kupata...
UPOTOSHAJI WA MALISA GJ NI WA KUPUUZWA, SINA MPANGO WA KUDAI FIDIA BAADA YA KUSHINDA KESI, MIMI SINA DHIKI YA KISIASA MPAKA NIDAI FIDIA, NINAJITOSHELEZA NA SIASA ZENU NIMEWAA CHIA.
Bwana Malisa ameandika waraka wa uongo mwanzo mwisho juu yangu CIVILIAN COIN ambaye yeye kanitambulisha Kama...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ametoa rai kwa wabunge kupinga na kusahihisha upotoshaji wa taarifa kuhusu Muungano, hususan kupitia mikutano ya hadhara na mitandao ya kijamii.
Ametoa rai hiyo wakati wa semina kuhusu Muungano na...
Vichawa vya CCM kujeni mjibu hili swali
Kwa nini jana timu ya Tanzania walishindwa kulinda Amani ilihali mwamzi alikuwa akiwasisitiza kuilinda hiyo Amani
Nini kilitokea hadi washindwe kuilinda Amani?
Kati ya Haki na Amani, nini kitangulie ili kulinda Neno moja wapo ya hayo mawili?
Mwanasheria Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Hassan Athuman, amesema kuna upotoshaji mkubwa unaoendelea kuhusu tafsiri ya hukumu ya Mahakama Kuu ya Tanzania iliyotolewa Desemba 24, 2025, akisisitiza kuwa mahakama haikuitupilia mbali BAKWATA wala kuikuta imekiuka Katiba...
Tuache upotoshaji dhidi ya wapumbavu hakuna kibali cha maandamano na huwezi kumuomba kubali mtu namba moja unaye mpinga.
Sasa kibali cha nini kwenye maandamano waulizeni vizuri hicho kibali ni chanini kwenye maandamano na ni kwa matakwa yao wanatoa au sheria imesema ?
Kuna mafundisho ktk dini zetu hizi haswa walokole wanawapoteza watu , sioni kama kuna tatizo kwa mtu ambaye ana matatizo ya kiafya kwenda kutafuta tiba kwa waganga wa kienyeji hakuna ubaya wowote wala dhambi. Tiba za kienyeji ni uumbaji wa Mungu kuwasaidia watu kuondokana na maradhi mbali...
Wakuu,
KInachoendelea wakati huu media hizi kubwa kubwa zinapost taarifa wakati huu zikiripoti hali na shwali na zoezi la kura linaendelea vizuri, wengine wanasema polisi wamezuia waandamanaji wakati sio kweli.
Taarifa zinasambazwa ili umma ujue wananchi hawajatoka barabarani kuzuia uchafuzi...