Shughuli za upigaji kura zimechelewa kuanza katika maeneo mengi nchini Uganda. Awali ilitarajiwa kuwa vituo vingefunguliwa saa moja asubuhi, lakini kufikia saa mbili na nusu asubuhi, wapiga kura walikuwa bado hawajaanza kupiga kura. Zaidi ya raia milioni 21 wanatazamiwa kushiriki uchaguzi wa leo...
Watanzania wengi wakipata ajira hawataki kujisumbua, kwanza kumekuwa na malalamiko mengi ya dharau, muda mwingi hawapo maofisini, kazi ya siku 1 inafanywa mwezi, kupenda kitu kidogo (Rushwa), n.k. Pesa za marekebisho ya miundombinu zinapigwa sana. wengi wapo kwenye ajira kama kitega uchumi...
Wana-JF,
Mnamo Agosti mwaka huu, Serikali kupitia Wizara ya Ardhi ilitangaza fursa kubwa kwa wakazi wa Arusha na Watanzania kwa ujumla. Tulitangaziwa uuzaji wa viwanja katika eneo la Olmoti/Oloresho, eneo ambalo limezunguka uwanja mpya wa kisasa wa Samia Suluhu Stadium.
Lengo lilikuwa ni...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Dar es Salaam una jumla ya majimbo ya uchaguzi (12) ambayo ni
Jimbo la Kinondoni
Jimbo la...
Ni wazalendo wachache sana wanaochukia ufisadi, Ukali Wetu wengi si kwa Sababu ya Maumivu ya Ufisadi, Ni kwa sababu hatukuitwa meza ya mgao
Dili likipigwa iwe ni ofisi au watu flani wamepiga hela, ghafla tunakuwa wakali sana, midomo inapiga kelele kama injini ya gari ya mgambo. Lakini...
TRA angalieni hawa mawakala wenu,Bei za marekebisho za machines pindi zikipata hitilafu ni kubwa sana ukilinganisha na biashara zenyewe tunazofanya. Hapo pia bado gharama za uhuwishaji ambapo ni kias Cha TZS 45,000 kila mwaka.
Inawezekana na Iliwezekana huko kwa nchi za wakubwa wetu..kutumia Afya,magonjwa na milipuko ya magonjwa kama chanzo cha upigaji fedha.
chondechonde tusiingie kwenye mtego huu.
Makampuni ya dawa,vifaa tiba na other medical supplies yamekamata uchumi duniani na yapo katika ushindani wa kiuchumi...
Colina Pierluigi moja ya marefa Bora katika Historia ya soka na Mwenyekiti wa marefa wote toka shirikisho la mpira duniani FIFA.
Amenukuliwa akitoa pendekezo kuhusu upigaji mpya wa penati zitakazo patikana ndani ya dakika za mchezo kuwa Kama zile za Matuta Yani unapiga Mara moja ukikosa au...
Nchini Kyrgyzstan Serikali ya nchi hiyo inajenga uwanja wa kisasa kweli wa michezo wenye uwezo wa kuchukua watu 45,000 kwa gharama za Dola Milioni 60 tu za Marekani sawa na shilingi Bilioni 154 za Kitanzania.
Huko Arusha Serikali ya CCM wanajenga uwanja wa michezo wenye uwezo wa kuchukua watu...
Katika mwaka wa uchaguzi mkuu wa 2025, kuna haja ya dharura ya kuboresha mfumo wa upigaji kura nchini Tanzania.
Kila uchaguzi umekuwa na kadhia ya wizi wa kura, hali ambayo inakosesha uaminifu na uhalali wa matokeo. Katika juhudi za kukabiliana na tatizo hili, shule ya sekondari ya Kibaha...
Tumeshuhudia nchi isiyo na mwenyewe Ya DRC kila mlipuko mpya wa ugonjwa Africa lazima iingie.
Halafu kifuatacho ni harakati za misaada "mingi" sina hakika kama ni yote.
Rasi Samia anafanya hadaaa za kiwango cha juu kabisa, na pia anacheza na akili za wajinga kwenye hii Jamhuri ilio jaa wajinga.
Report ya CAG mwaka huu watuhumiwa wote wamesamehewa kwa asilimia 100 kwa kuombewa msamaha na kamati ya CCM ya kuombea watuhumiwa mbalia mbali msamaha kwa raisi...
Siku ya jana jumatano ya tarehe 27/11/2024 ambapo kulikuwa na zoezi la uchaguzi mdogo Tanzania nzima wapiga kura wamelalamika kwamba waliteseka kutafuta majina yao ili wakapige kura pia wamesema kuna baadhi ya majina hayakuwepo hivyo imepelekea watu wengine kushindwa kupiga kura
Serikali...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 27 Novemba 2024 amepiga Kura ya kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika Mtaa wa Unyamwezini Kata ya Itumbili, Magu mkoani Mwanza.
Mara baada ya kupiga Kura, Dkt. Stergomena Tax, amesema ameridhishwa na...
Mbali na baadhi ya wananchi kujitokeza lakini kumekuwa na changamoto mbalimbali kama vile
Utaratibu wa majina haujafuata mpangilio wa majina ya watu (alfabeti) na kuchanganywa hali ambayo inasababisha usumbufu kwa wapigaji kura
Mfano Katika kituo cha kupigia kura cha National Housing Kata ya...
Wananchi na viongozi wa kada mbalimbali wameendelea kujitokeza katika upigaji kura kwenye vituo mbalimbali kuanzia majira ya saa 2 asubuhi
Akizungumza muda mfupi baada ya kupiga kura Mkuu wa mkoa wa Iringa Peter Serukamba amewasihi wananchi kuimarisha utulivu wakati wote wa zoezi hilo
Baadhi ya wananchi wa Igwachanya Halimashauri ya Wanging'ombe, waliojitokeza katika zoezi kupiga kura leo November 27, 2024 ili kuwapata viongozi wa mitaa, vijiji na vitongoji watakaowaongoza kwa kipindi cha miaka 5.
Soma Pia: Yanayojiri kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoa wa Njombe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.