upendo wa mama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Upendo wa mama kwa mtoto ni bond ambayo haiwezi kutenganishwa

    Hiii ni kwa mabimkubwa wote Duniani Sijui kwanini huwa kuna upendo mkubwa kutoka kwa mzazi hasa mama kwa watoto wake
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Upendo wa Mama katika Klabu ya AC Milani

    Katika kuungana na dunia kusherehekea Siku ya Mama Duniani Jumapili hii Mei 11, 2025, klabu ya AC Milan imeendeleza utaratibu wa wachezaji wake kuvaa jezi zenye majina ya Mama zao mgongoni badala ya majina yao kama ilivyozoeleka. Wachezaji wa AC Milan kwa mara nyingine walivaa jezi hizo dhidi...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tujivunie Majasho ya Mama zetu katika kutuandalia leo yetu

    Leo tutumie platform hii kutambua, kuthamini na kuheshimu majasho ya mama zetu katika kutuandalia maisha yetu ya leo. Binafsi naheshimu na kutambua thamani za Baba zetu katika kutufanya kuwa tulivyo na nitaleta uzi wa kutambua thamani yao ila leo naomba tutambue harakati za mama zetu katika...
  4. The25824

    JamiiForums Tanzania Tuliowapoteza mama zetu ,tunawasihi sana muwapende wa kwenu kama bado wako hai

    Habari, Kwenye haya maisha, kama bado una mama yuko hai na unaweza kumtafuta kwa simu nakusihi sana usiache kufanya Hivyo. Ikitokea ni zaidi ya mtoto mmoja, usiamini kila mmoja ana jukumu la kumuangalia mama katika familia yenu, hivyo umuhudumie au usimuhudumie wengine nao watamuhudumia...
  5. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania I miss my Mama kama umemmiss Mama ako show love

    Its been Ten years since you left me, i real miss you uliniambia every thing that happens has a meaning just follow the sound of God maana ndo tegemeo lako pekee duniani. Pia, ulisema sio kila rafiki anakuja kwa urafiki kwako wengine wanakuja kukuangamiza na nimewaona na kuwadhibiti. Mama i...
  6. rajiih

    JamiiForums Tanzania Ulifanya 'Kisanga' gani ambapo Mama yako alikutetea kwa Nguvu zote ili kukuokoa?

    Habari wana Jf, poleni na majukumu ya kazi. Leo tufunguke ni visanga gani ambavyo uliwahi kuvipata na ukweli ulifanya lakini kwa namna fulani mama yako akasimama mbele yako na kukutetea kwa nguvu zake zote. [emoji1787][emoji23][emoji1787] Funguka!
Back
Top Bottom