BAADA YA KUSOMA ANDIKO HILI,NAAMINI HATO KUWEPO TENA ATAKAYE IBIWA MTANDAONI LABDA WEWE UAMUE
Kwa siku za karibuni kumekuwa na mifumo mbali mbali ya kigigitali Ambayo imekuwa iki jinasibu kutoa fedha kwa watu,kwa kuweka fedha kidogo na Kupata fedha kubwa,huku waki jinasibu kuwa hakuna hasara...