uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Uongozi wa Simba ubadili uwanja, Uwanja wa Jamhuri tutakula za uso, huu ni mwanzo tu

    Simba kuweka uwanja wa nyumbani Moro ni sawa na Yanga waweke uwanja wao Tanga, Haraka sana maamuzi yafanyike
  2. Je, PhD hewa zipewe kipaumbele kwenye nafasi za uongozi na siasa?

    Miaka ya hivi karibuni Tanzania imekuwa na ongezeko la watumishi wengi wa umma ambao wanaongeza elimu ili kujiweka katika nafasi nzuri za kuwa viongozi katika ngazi mbalimbali za serikali. Asilimia kubwa wakiwa ni watumishi wanaowania Masters na asilimia iliyobaki ni PhD. Hii imepelekea mfumo...
  3. M

    Uongozi Ngome ya Vijana ACT ni mtihani kwa Ndolezi Petro

    Ngome ya vijana wa Chama cha ACT Wazalendo itafanya mkutano wake kesho wa kuchagua mtu atakayekuwa mwenyekiti kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Kwa mujibu wa vyombo vya habari wagombea wanne wamejitokeza kuwania nafasi hiyo miongoni mwao akiwemo binti wa mwanasiasa mahiri na mwanadiplomasia...
  4. Simba tusibabaishwe Team tunayo na uongozi tunao JWANENG GALAXY anakufa 4G Road To Semi Final.

    πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ila nyie kumtetea Mtu asiejielewa na ana makosa ya kujirudia ni kazi. Nimeshindwa kutetea uzi wenu wanasimba Njooni Mjitetee wenyeweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ waiten wana simba wote waje naanza na hawa πŸ˜‚πŸ˜‚ Kalpana Scars OKW BOBAN SUNZU
  5. We need Babra Gonzales kwenye uongozi wa Simba

    Uongozi wa Simba ni wa hovyo maana umejaza usajili wa 10% tofauti na huu mwamb Eng. Hersi ambaye akiona Mchezaji mzuri anampandia ndege pasipo hayo ma 10%. Babra alikuwa anawamotivate wachezaji Sana na sio hawa wazee. Uongozi ukishajaaa wazee ni tatizo!
  6. Ivi ndivyo Nchi Walivyotaka Kuiongoza Lakini Sio Kama Ule Uongozi.

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya mungano...... mtamalizia wenyewe!
  7. R

    Lowassa alichanganya damu ya Mmeru na Mmasai, alivaa nafsi ya uongozi kama Japhet Kirilo, Sokoine na Jenerali Sarakikya

    Tukiwa Monduli hapa majira ya usiku tunakula nyama kama ishara yakumuenzi ndugu yetu na kaka yetu Lowasa. Wazee wa kimila kutoka ukanda huu wa kaskazini wanapiga soga na kubadilishana mawazo huku wakifukua historia ya viongozi mbalimbali waliofaha kuwa viongozi wakubwa ila wakatengwa na...
  8. Uongozi wa Yanga kwanini mnapenda sana kucheza mechi zenu za kimataifa usiku?

    Nimejaribu kuangalia ratiba ya mechi ya Yanga dhidi ya Belouizdad, nimeshangaa kuona mechi inapigwa saa moja usiku. Hivi kweli mnataka kushinda mechi halafu mnawawekea mazingira rafiki mpinzani wako? Mamelod ni timu kubwa zaidi ya Yanga lakini huwezi kuona wanawachezesha waarabu usiku, bali...
  9. Waafrika uongozi umetushinda; huo ndo ukweli hatakama hatuupendi

    Baada ya miaka 60+ Tumefeli kabisa kwenye swala la umeme. Ukija kwenye maji mfano kwa Dar es Salaam kuna maeneo wana week ya pili maji hayatoki despite kulikua na mvua za vuli dawasco nao wanasema tatizo ni umeme eti ni mdogo hauwezi kupush maji-kipindi cha nyuma walikua wanasema tatizo ni...
  10. Anayokutana nayo Makonda ziarani mikoani ni yaleyale ambayo yangetatuliwa kupita shule ya uongozi ya Humphrey Polepole bila matumzi makubwa ya fedha

    Katibu Mwenezi, Itikadi na sisa wa CCM Paul Makonda, yupo barabarani akizungukia maeneo mbalimbali ya nchi ambako amekutana na shida lukuki. Kuna shida zingine ni rahisi sana kutatuliwa bila kutumia nguvu wala migogoro. Shida zingine wananchi hukutana nazo kutoka kwenye idara za serikali...
  11. Chama asamehewa na Uongozi wa Simba Sc

    Kiungo Clatous Chama amesamehewa na Uongozi wa Simba SC na Februari 01 atajiunga na wenzie kambini kwa ajili ya michezo ya mzunguuko wa pili wa ligi pamoja na maandalizi ya mchezo wa CAFCL dhidi ya Asec Mimosas, mchezo utakaochezwa nchini Ivory Coast. Clatous Chama atakuwepo michezo miwili ya...
  12. PreGE2025 Hii ndiyo itakuwa safu mpya ya Uongozi CHADEMA

    Maneno yasiwe Mengi. 1. Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu 2. Makamu Mwenyekiti Tanganyika - Godbless Lema 3.. Katibu Mkuu - John Heche 4. Naibu Katibu Mkuu Tanganyika - Mdude Nyangali 5. Nafasi za Zanzibar zinabakia kama zilivyo.
  13. Kongamano la UVCCM Kuelekea Miaka 3 ya Uongozi wa Rais Samia na Miaka 47 ya Kuzaliwa kwa CCM

    KONGAMANO LA UVCCM KUELEKEA MIAKA 3 YA UONGOZI WA RAIS DOKTA SAMIA NA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wamefanya Kongamano kubwa kuelekea Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan madarakani na Miaka 47 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi lililofanyika...
  14. Katika uongozi ukiwatumikia wananchi kikwelii utapendwa tu

    Mambo ni magumu sana, Katika uongozi mambo ni tofauti sana. Kiongozi unaongoza watu, watu wote wanakuangalia wewe. Hivyo ndugu yangu ukitaka kupendwa na hao watu wekeza akili yako kwao. Hata ungekuwa na utajiri kiasi gani wananchi hawawezi kukupenda kama huwatumikii. Hiyo ndio kanuni...
  15. PreGE2025 Uongozi ni karama ya kuzaliwa, Paul Makonda anaendelea kulithibitisha hilo

    Huhitajiki kua Rais ili uwe Kiongozi Bora Bali kuielewa tafasiri halisi ya Uongozi inatosha kabisa kuwekwa Moyoni mwa Wananchi. Mpango, Majaliwa, Mko wapi?? Mbona Uthubutu alonao Makonda, ni mkubwa kuliko hata Nafasi yake?. Ni sahihi kusema Makonda amezaliwa kua Kiongozi?. Katibu Mwenezi...
  16. Uongozi wa Polisi watambua waliotoa huduma bora kwa Wananchi Arusha

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha katika kuhakikisha linaboresha huduma bora kwa Wananchi limeendelea kuwatambua na kuwapongeza Askari wa Jeshi hilo wanaofanya kazi vizuri zaidi ya kuhudumia wananchi Mkoani humo. Akitoa vyeti vya Pongezi kwa Askari hao katika siku ya β€˜Police Day’ leo Januari 26...
  17. Uongozi wa Simba SC kwahiyo mlidhani kuwa mtaificha hii Taarifa ya Kocha Benchika kuwakataa Adebayor na Manzoki na haitojulikana nasi?

    Benchika kiboko hakyanani yaana baada tu ya Wachezaji hawa kutua Dar es Salaam kimya kimya na kwenda Kwanza kutambulishwa Kwake (anakoishi) na kuambiwa na Uongozi kuwa Unawasajili ili watumike Kikosini Yeye bila ya Kuchelewa akauambia Uongozi (wa Simba SC) na Bonge la Sonyo kuwa wachague nani...
  18. Kundi la M23 latangaza uongozi wake katika eneo la Kivu, hofu ya kuundwa taifa huru yaibuka

    DR CONGO: Kundi la Waasi la M23 limeripotiwa kutangaza Uteuzi wa Uongozi wake katika maeneo yaliyopo chini ya udhibiti wake huko Mashariki mwa DRC, hali inayodaiwa kuzua wasiwasi kwamba linapanga kuunda Taifa huru katika eneo hilo. Kupitia taarifa yake iliyochapishwa katika Mtandao wa X (zamani...
  19. Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

    Wananzengo, usiku saa 9 nimejikuta navamiwa na wanangu chumbani, wanaogopa radi kabambe zinazopiga sambaba na mvua hii kubwa yenye upepo wa kuhamisha milima. Soon kunakucha. Tujuzane endapo kuna maafa maeneo yenu. Lengo ni kupashana taarifa. Tupia picha . Nawalinda wanangu hapa wasipigwe na...
  20. PreGE2025 Mwenyekiti ACT Wazalendo Dodoma asimamishwa uongozi. Alitoa kauli kuyapinga maandamano ya CHADEMA

    Chama cha ACT Wazalendo kinafuatilia kwa karibu mwenendo wa mambo katika mjadala wa kitaifa unaoendelea kuhusu Miswada ya Sheria ya Tume ya Uchaguzi, Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani. Ikumbukwe kuwa msimamo wa ACT Wazalendo ambao unatokana na azimio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…