uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jesca Magufuli: Katika safari yake ya uongozi Magufuli alijifunza kwa Hayati Nyerere, Mkapa na Ally Hassan Mwinyi. lipo lakujifunza hapa

    Katika kumbukizi ya Miaka minne ya kifo cha Magufuli yaliyoazimishwa Wilayani chato, Binti wa HAYATI Magufuli, Jesca alihutubia mamia ya wanacchi waliohudhuria katika Ibada hiyo. Moja ya sehemu ya hotuba yake nanukuu "katika safari yake ya uongozi ALIJIFUNZA toka kwa viongozi waliomtangulia...
  2. Tetesi: Press ya Haji Manara kumshambulia Wallace Karia imelipiwa na uongozi wa yanga..dhahiri makomandoo walitumwa kuizuia simba..kama uongozi utakaa kimya

    Ukimuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa..Manara anapata wapi ujasiri wa kuisemaea yanga..Manara ni nani kwenye uongozi wa yanga...Manara ndio mratibu mkubwa wa mambo ya kitoto kwa kisingizio cha utani wa jadi...Manara anasahau kama anadhalilisha watu....juzi kati alimdhalilisha askari...
  3. Yanga: Hatuna Mwanasheria, Hatuna Watu wenye Busara kwenye Uongozi, hatuna watu wenye Elimu ya kufaa

    Tuna UTOTO MWINGI NA USHAMBA. HILI SUALA NILIMWAMBIA MTU AKAISHIA KUNIITA MIMI MKIA. TUMEKUWA KAMA LAST BORN ALIYEDEKEZWA SANA NA ANAYEPENDA KUDEKA.
  4. PreGE2025 CCM Mbeya: Yaowaonya wanaotaka Kugombea Uongozi, kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu ili kupata madaraka

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimewaonya wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao, kuacha kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu wenzao, ambapo vitendo vingine vinasababisha kukatisha maisha na kuharibu mustakabali wao kisa uroho wa madaraka...
  5. Uongozi Wa Timu ya Dodoma jiji Unapaswa kuvunja benchi la Ufundi na kumtimua kocha kwani wasipoangalia timu itashuka daraja.

    Ninasikitika sana Kuona kocha mzawa (Mexime) Kuleta Maigizo kama vijana vijana Wa TikTok ya kuwatania Simba SC Kuwa hawaleti timu badala ya kuchanganua mbinu namna gani ya kumkabili Mpinzani wake (Simba SC). Kocha na benchi lake la Ufundi wamejisahau kabisa wanacheka Cheka tena na kutokumbuka...
  6. Baada ya Vyama vya Ukombozi kuziharibu nchi zao kwa kuingiza siasa kwenye Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Kagame avifundisha nini maana ya Uongozi!

    Kwa wataalam wa masuala ya Ulinzi na Usalama aibu waliyoipata SADC baada ya Mission yao kufeli nchini Congo DRC, sio jambo lililotokea kwa bahati mbaya. Baada ya kuingia siasa za ushindani kusini mwa Bara la Afrika, Vyama vinavyofahamika kama vyama vya ukombozi ambavyo vingi vinatawala nchi za...
  7. Uongozi wa Simba SC tafadhalini leteni Mechi zenu Uwanja wa Namboole hapa Uganda kwani mnakubalika na msipeleke Amahoro Rwanda kwa Yanga SC wengi

    Na GENTAMYCINE nitakuwa wa Kwanza kuwapokeeni na kuwapa kila aina ya Ushirikiano na mtafanya vyema Kimichezo.
  8. Kiatu cha Mbowe ni kikubwa kwa Lissu? "No refom, No election" fupa gumu kwa Lissu, aanza kujitoa na kusema liliamuliwa na uongozi uliopita wa chadema

    Nimesikia hotuba ya Lissu katika sherehe za siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na BAWACHA. Hotuba hiyo ilidhihirisha kwamba hakuna mpango kazi wowote wa "no reform no election". Tundu Lissu alionekana kujivua lawama kuhusu kauli hiyo na kusema iliasisiwa na uongozi uliotangulia. Kwa...
  9. Uongozi wa Yanga, mnapotaka twende ndiyo tunapataka

    Uongozi wa Yanga mnataka kutingisha kiberiti ila sidhani kama mmefikiria vya kutosha madhara ya haya mnayofanya. Kuna matendo mengi ya hovyo mmehusishwa nayo ambayo yalifukiwa kwa sababu za kisiasa. Huku mnapokwenda tutalazimika kuyafukua na hamtabaki salama. 1. Tutafufua udhamini usio halali...
  10. Karia uongozi wa TFF umemshinda huo ndo ukweli

    Kiukweli ukiangalia matukio mengi ya mpira kwa Tanzania chanzo ni uongozi mbovu tunafanya mambo kwa kubembelezana sana hakuna professionalism kabisa Ligi ya series A wanaadhibu timu bila kujali ukubwa juventus walishashushwa daraja na ac milan kukatwa point Mpira wetu ili uendelee tunatakiwa...
  11. Technically Uongozi wa Yanga SC kama ungekuwa na Akili na ili kuleta Utulivu na Amani ya Mchezo wangefanya hili haraka lingesaidia ila hawajalifanya

    Tukiwaambia kuwa nyimwa vitu vyote na Mwenyezi Mungu ila siyo Akili na uwezo wa kuona mbali mambo na kuyakabili haraka mnakuwa wagumu Kuelewa. Ni kwamba kama kuna Kosa la Kiufundi ambayo Uongozi wa Yanga SC na hasa Kurugenzi yao ya Mawasiliano na Habari imefanya ni Kukaa kimya kwa kutokutoa...
  12. Waziri Prof. Kabudi aufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) kutokana na tuhuma mbalimbali

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi ameufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) baada ya uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zilizowasilishwa na wadau wa mchezo wa ngumi. Taarifa kutoka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeeleza...
  13. Uongozi wa Simba SC niwaambieni mara ngapi kuwa mkiwa mnajiandaa na Mechi na Yanga SC ficheni Kambi yenu na msiwe huko Bunju / Mbweni kimazoezi?

    Yaani kuna muda huwa mnanikera sana na natamani hata nibebe tu Grenade nije niwarushie mpukutike kabisa duniani.
  14. K

    Rais Samia Suluhu Hassan ni Kielelezo cha Uongozi wa kina Mama Duniani

    Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, hakuna mfano bora wa mwanamke shupavu, mwenye maono na anayevunja vikwazo kuliko Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Safari yake ya uongozi si tu fahari kwa Tanzania bali pia ni mwangaza kwa wanawake duniani...
  15. J

    Uongozi Hospitali ya Sekou Toure unafahamu hili?

    Nimefika clinic ya NHIF saa 08.03, hadi kutika saa 09.15 hakuna daktari vyumba vyote 1-3. Maelezo yanatolewa kuwa wako "round". Tunadubiti dakika kama kumi anapatikana daktari mmoja( chumba no1). Kuna wagonjwa zaidi ya 50, tunasubiri kudra ya wakuu hawa. Sasa ni saa 09.57 hakuna dalili ya...
  16. PreGE2025 Kuelekea Machi 8 , Wanawake wasipewe nafasi za Uongozi/Kiutendaji Kwa sababu ya Jinsia yao!!

    Ndio unaweza niita Mkoloni au Mfuasi wa Mfumo Dume , Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kwamba, Kuna Nafasi za Kiuongozi na Kiutendaji hazitakiwi kupewa Wanawake Kwa sababu tu ni Wanawake !!. Badala yake ni Lazima Wanawake wao wenyewe kuonyesha Uwezo na uthubutu wao Kila sehem waliyopo ili...
  17. Uongozi serikali ya mtaa babati mjini kwa hili vumbi mnalotulisha wapiga kura wenu ni haki?? Mkurugenzi na timu yako mjitathmini

    Tunafahamu kuna ujenzi wa daraja maeneo ya msasani barabara ya kuelekea stendi mpya inaendelea na ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuboresha miundo mbinu,ila kosa la kwanza mlilofanya ni kumpa tenda mkandarasi asiye na weledi kabisaa kabisaa,kwa maarifa yangu madogo alipaswa ajenge njia...
  18. Viongozi wa AFC/M23 Bukavu, wanusurika kuuwawa na uongozi wa DRC

    Leo,kwenye mkutano wa viongozi wa AFC/M23 huko mjini Bukavu, Kivu kusini, katika mkutano wa hadhara baina ya uongozi wa M23 na raia wa Bukavu, jeshi la serikali liliandaa shambulizi kutumia Drones, kwa bahati mbaya zote zilidunguliwa kabla hazijafika zilikokuwa zimeelekezwa. Siku mbili...
  19. Na hapa ndipo Uongozi wa Simba SC mnaponikera na Kuamua kuwaacha mpotee, sasa huyu Striker Jonathan Sowah wa nini Simba SC Kwetu?

    Hivi angekuwa mzuri hivyo angekuja Tanzania ambapo tunajua Ligi Kuu yetu ni full Mix by Yass, Mpesa na Airtel Money?
  20. Mkutano wa wananchi na uongozi wa M23 huko BUKAVU

    https://x.com/kivunews24/status/1893282140516667574
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…