unajimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lattafa

    Unajimu na Nyota : 29 October predictions

    Kuelekea 29 October. Kwanza Je, Tanzania kama nchi nyota yake ni ipi? 26 April 1964, Tanzania ilizaliwa. Baadani ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hii inaifanya nchi, wananchi, uongozi wa juu kuwa na sifa za nyota Taurus /Ngombe. Sifa zake kuu ni kupenda vitu vya thamani, ufahari...
  2. Dogoli kinyamkela

    UNAJIMU *(ASTROGEOLOGY)*

    UNAJIMU (ASTROGEOLOGY) Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ Tabia za Nyota Unajimu au astrolojia ni elimu juu ya uhusiano kati ya nyota na maisha ya binadamu duniani. Wanazuoni wa unajimu wanaeleza ya kwamba nyota zinaathiri maisha ya watu na matukio kama amani, vita au maafa. Mahusiano haya...
  3. Yoda

    Elimu ya kusoma nyota (unajimu) inaruhusiwa katika Ukristo?

    Ukisoma biblia mamajusi(wanajimu) watatu kutoka mashariki walisoma na kuifuata nyota kutoka mashariki iliyowaongoza kutoka mashariki walipokuwepo hadi Bethlehemu alipozaliwa mfalme wa Wayahudi(Yesu Kristo). Je ni sawa kwa mkristo kushiriki kwa namna yoyote katika usomaji nyota(unajimu)?
  4. J

    SI KWELI Sheikh Yahya Hussein alitabiri baada ya Rais Mwanamke kumaliza Mihula yake Upinzani utaongoza nchi

    Kwanza Kabisa nawatakieni ninyi nyote Sabato yenye Baraka. Nimesoma mahali kwamba Mtabiri wa taifa enzi za Nyerere Shehe Yahya Hussein alitabiri Uongozi ujao kuanzia awamu ya 4 hadi ya 6 Watatawala CCM lakini awamu ya 7 atachaguliwa Kiongozi wa Upinzani Kuongoza nchi Kwamba mwisho wa CCM. Je...
Back
Top Bottom