unabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mbatia na unabii wako wa kishetani umegonga mwamba

    Katikati ya mwezi uliopita Mbatia alijitokeza kwenye vyombo vya habari (mwanahalisi tv online) akasema baada ya wiki mbili kutakuwa na vifo vingi sana vya corona nchini kwetu katika namna ambayo haijawahi kutokea na hospitali zitazidiwa sana! Ni janga kubwa!! Wee mbatia wewe!! yaani unaamua...
  2. Sikiliza mpaka mwisho huu ni Unabii au uganga wa kienyeji?

    sikiliza audio clips zote na kisha useme neno
  3. D

    Nabii Shilla afanye unabii wake bila uchochezi. Yaliyoamriwa kijeshi asiyatumie kama mtaji wa kujipatia waaumini

    Mimi kama mwanainchi nimesikitishwa sana na moja ya unabii wa kijana anayejiita Nabii shilla! Katika sehemu ya unabii wake akiwa madhabahuni Nabii huyo anasikika akimtabilia mtu mmoja (muumini wake) kuhusu namna alivyofukuzwa kazi katika jeshi la polisi huko Moshi. Ukimsikiliza vyema nabii...
  4. Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?

    Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa...
  5. Unabii unavyotumika vibaya Tanzania

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya uchuro unaofanywa na watu wanaojiita manabii katika Nchi ya Tanzania. Bila shaka nimefuatilia uchuro mwingi sana jambo ambalo nimeona siyo vyema kuacha kuandika ili kama wapo humu waelewe tumeshawagundua na jambo la msingi zaidi waache uchuro ili...
  6. J

    Pascal Mayalla alimtabiria Paul Makonda kuwa mgombea urais wa CCM 2025. Je, unabii wake utatimia?

    Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa. Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM 2025. Kwa sababu mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2020 atakuwa kijana, Je...
  7. Mch. Josephat Gwajima: Maeneo mengine hatukuhitaji kupiga kura ili kushinda bali kutaja jina la John P. Magufuli tu, kura zilipatikana

    Hata hatujafika mbali sana, tayari wanaanza kusema waziwazi wenyewe mbinu haramu na za wizi wa kura walizotumia kushinda uchaguzi huu. Katika video hii inayomwonesha mbunge mpya wa CCM - Jimbo la Kawe - DSM, Mch. Josephat Gwajima kuanzia dakika ya 8:50 ukitazama na kumsikiliza bila kujua ana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…