unabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni mpango wa Mungu. Ni unabii ambao ni lazima utimie

    Wanasiasa huja na kuondoka, lakini wachache huacha alama za kudumu.Ni yeye tupende tusipende kwa maana imeandikwa. Safari yake ina mkono wa Mungu. Ndiyo maana tunasema yeye ni mpango wa Mungu ni unabii ambao lazima utimie. Yeyote atakaye jaribu kumzuia hatafanikiwa.
  2. JamiiForums Tanzania Part 2. Unabii kuelekea October: CCM itashinda kwa 85% , Makonda atakuwa miongoni mwa viongozi wakuu

    Habari! Kuna nyuzi kadhaa za kisiasa huenda nimeandika humu ndani. Moja ambayo niliitoa mwaka jana ndiyo nilisema unabii maana niliongea kitu ambacho Roho wa Bwana alisema, na nyuzi zingine zilikuwa personal view. Hii ya pili naandika UNABII. Thread 'Unabii kuelekea uchaguzi mkuu 2025' Soma...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Pale taifa la linalodhaniwa ni la Mungu linapokua chokozi na sio peacemaker Kwa kigezo Cha unabii kutimizwa!!Linatia udadisi kwenye bongo huru!!

    Mi nilidhani kwakua ewe Israel wa Sasa unaedhaniwa umtakatifu mteule wa Mungu kama wengi wasemavyo basi ungekua peace maker na sio kuwa chaos inducer Kwa ulimwengu!! Ukifikiri kwa kina unakosa uhalali was utakatifu wa taifa hili hasta katika zama hizi za "vita vyetu sio vya mwilini,Bali vya...
  4. JamiiForums Tanzania Je, tupo kwenye dakika za lala salama unabii wote wa biblia umeshatimia ?

    Kulingana na unabii kulikuwa na falme nne katika danieli 7 zilizotabiriwa kuwa baada ya hizo ufalme watapewa watakatifu na ndipo mwisho wa dunia. wafalme hao waliotabiriwa ni babeli, umedi na uhajemi, uyunani na rumi. je, tawala hizi zina uthibitisho na ushahidi wa kihistoria nje ya biblia ili...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Utabiri; Uchaguzi hautafanyika Oktoba, sababu kuu ni hizi

    Unabii tu ; uchaguzi Oktoba hauwezi kufanyika , na sababu kuu itakuwa ni hizi, 1. Kuelekea karibu na uchaguzi , Kanisa Roman Kathoriki watatoa tamko kali la kuwazuia waumini wake nchi nzima kuto kwenda kupiga kura. Waraka huo utasomwa kwenye majimbo hadi Jumuiya zote nchini. 2. Kanisa la...
  6. JamiiForums Tanzania Unabii:Tundu Lissu aliponywa Kifo kutimiza kusudi fulani la Mungu kwa Tanzania,2025,Akiisha Timiza Tu Anatwaliwa - Huu ni Unabii wa Kweli au wa Uongo?

    Wanabodi Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani ambalo naliendesha kwa hoja za maswali Kwanza hebu msikilizeni nabii huyu na unabii wake kumhusu Tundu Lissu https://youtu.be/Isx1OohuSwE Je Nabii huyu ni nabii wa ukweli...
  7. JamiiForums Tanzania Mhubiri mwingine atoa Unabii mzito juu ya Tundu Lissu na Tanzania

    Ukisoma vitabu vitakatifu vya Biblia na Quran tukufu, utajionea mwenyewe kuwa Mungu alikuwa anawasilisha ujumbe wake kwa watu kabla ya kufanya jambo. Ni bahati mbaya sana kwa upofu waliopewa watu na Shetani huwa ni wagumu sana kupata ujumbe wa Mungu pale unapowasilishwa kwao. Mimi Lord...
  8. JamiiForums Tanzania Unabii huu tayari umetimia!

    Yesu alipokuwa akiwaeleza wanafunzi wake dalili za kuja kwake, na za mwisho wa dunia, alitamka maneno haya ya kinabii: “Na kwa sababu ya kuongezeka kwa maasi, upendo wa wengi utapoa.” (Mathayo 24:12). Huu ni unabii unaoeleza hali ya kijamii na ya kiroho itakavyokuwa duniani kabla ya kuja kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Picha yenye unabii mzito kwa Tanzania

    Akiwa njiani kwenda Namtumbo katika kata ya Mangaka jimbo la Nanyumbu Tundu Lissu alisimamishwa na umati wa Wananchi uliotaka kumsikia. Wakati amesimamishwa eneo hilo Mwananchi mmoja aliyekuwa na hamu ya kumuona na kumsikiliza Lissu alipanda mti wa mnazi ili aweze kumuona Lissu. Picha hii hapa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Waziri Mkuu kuhusu wenye degree kwenda VETA, Likud apewe unabii

    Kila siku mkuu LIKUD amekuwa akiimba humu jukwaani akishauri watanzania wenye vipato vya kuunga unga wasi jistress kulipa hela nyingi kwenye shule za Ems zinazo fuata mtaala wa Necta na badala yake wawarejeshe Kayumba kwa sababu mtaala wa Necta unamuandaa mhitimu kuwa muajiriwa. Hela wanayo...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Trump Ametimiza Tena Unabii Mwingine!!

    Mdogo, mdogo, mambo yaliyotabiriwa na kuandikwa kwenye Biblia yanazidi kutimia. Katika kitabu cha 2 Timotheo 3:1-17 BHN imeandikwa hivi: "Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Unabii wa makamu wa Rais mstaafu Mh Mpango utatimia 2026

    Makamo wa Rais kwa akili timamu ameamua ku step down nakuwaacha vijana waongoze... ila nyuma ya pazia wapambe hawakufurahi ila hawakufurahi kwa sababu Mh Mpango ameona mbali kuliko wenzake wameona na kiukweli hakuna atakaye kwambia uwone nijukumu lako uwone. Alama zinaonyesha uwenda utabiri na...
  13. JamiiForums Tanzania Aliyoyatamka Rais Trump mbele ya Rais Zelensky yametimiza Unabii

    Heshima zenu wakuu. Hongereni kwa kazi. Na mnaopumzika, hongereni kwa mapumziko. Haya, twende kwenye mada. Mambo mengi yanayotokea nyakati hizi duniani, yalitabiriwa na manabii wa Mungu miaka mingi iliyopita, na kuandikwa katika Biblia. Yesu Kristo pia alipokuwa duniani, alinena mambo...
  14. JamiiForums Tanzania ChatGPT imetimiza unabii uliotolewa takriban miaka 2500 iliyopita!!

    Miaka takriban 2500 iliyopita, Mungu alimwambia Nabii Danieli awaambie watu kuwa wakati wa mwisho maarifa yataongezeka. Tunasoma hivyo katika kitabu cha Danieli 12:4: "Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie mhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huku na huko, na...
  15. JamiiForums Tanzania UNABII: mwaka huu nchi itapigwa tetemeko kubwa la ardhi , pamoja na ulimwengu kwa ujumla

    Amani iwe kwenu watu wa MUNGU Serikali ijiandae kwa janga kubwa ambalo liko mbele yetu ndani ya mwaka huu Kuna tetemeko kubwa sana la ardhi litaipiga inchi yetu litaipiga Dunia EARTHQUAKES EARTH POWER EE BWANA YESU KRISTO tusaidie AMINA SAYUNI BOY
  16. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unabii wa Festus Chinolo waendelea kutimia kuhusu KITI kikuu kuwa cha moto

    Hellow!! Nabii huyu alitabirri kuwa baada ya kifo Cha Hayati Magufuli kuwa KITI kikuu kitaendelea kuwa Cha moto na kutokalika, Alidai itafika time watu watakuwa wakipendekezwa kwenye nafasi za juu kuelekea KITI hicho watakataa, Yameendelea kutimia juzi baada ya Mh Philip Mpango kuomba...
  17. JamiiForums Tanzania Ndani ya Unabii 2025, Siasa, Tanzania, Afrika Mashariki na Dunia nzima

    Heri ya mwaka mpya! Mnapongezwa tena kwa kazi yenu njema ya kufahamisha na kuelimisha kote duniani. Ujumbe unaofuata (umewasilishwa kama shairi lenye unabii wa mambo yanayoenda kutokea 2025). Ujumbe unaweza kuchapishwa n.k. Shukrani. NDANI YA ROHO WA UNABII 2025! Kenya +254729011324, Tanzania...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Huu umati anao ukusanya mwamposa ata wakiungana wasanii wa TZ nzima hawawezi, Unabii unalipa !!

  19. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe ulitimia kuhusu kufanyika au kuyeyuka Kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024?

    Salaam, Shalom!! Palikuwa na ujumbe usemao: "Bila Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, hapatafanyika uchaguzi wowote wa HAKI ( uchaguzi utayeyuka). Swali: 1. Palikuwapo uchaguzi, au uchaguzi uliyeyuka na kuota mbawa? Swali no 2. Na kama uchaguzi uliyeyuka, lini tutafanya uchaguzi huo wa...
  20. JamiiForums Tanzania Nabii Mtalemwa alitabiri kuhusu ajali ya Kariakoo. Kuna haja ya kuanza kufatilia tabiri hizi au alibahatisha?

    Katika nyakati tofauti Apostle Mtalemwa alitoa unabii juu ya maafa yanayoweza kutoka Kariakoo na ilikuwa 21/ 1/ 2024 na alisema hivi kutakuwa na dibeti wakandarasi wafanye hivi wafanye vile is matter of prayer na kumuuliza Mungu turehemu. Niliona ramani ya Nchi imezungukwa na waganga wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…